Haaahaaaaaahaaaa ngozi haaahaaaaaaaaAhhhhh Bujibuji pole kiongozi wangu...mi yamenikuta kama hayo jamaa linamwambia wife ur so sweet i will never leave you alone....mi nilitaka nipigane...nikamtaiti wife akasema kweli jamaa kagonga ngozi kama mara 3 hivi...nikamwambia aache mungu hapendi.
Aha,jamaa hapeleki mkong'oto vizurijamani huyo mama alikosa nini kwa mumewe lakini??? I cant stand that!!!!!!!!
Minaki high school ulimaliza mwaka gani? You are my schoolmateColeman naamini nimshikaji wangu nilisoma nae Minaki Boys, maana anafanya kazi mitaa ya Samora . kama ni huyo anamke mzuri sana, peleleza uthibitishe kama ni yeye, kisha nakushauri mmegee mkewe kwa kiwango kilekile ulichotendewa , kisha akikutumia msg yakukushukuru mahaba yako nawe jidai umesahau simu sebuleni ili mkeo aisome, akikomplain unamwambia huyo ni mke wa Coleman. ananishukuru kwa starehe nimpayo , tafadhali akikisha unaitunza hiyo msg vizuri ili akizidi kelele unamsomea huo ujumbe....otherwise pole, usimuache mkeo ila sera yako iwe jino kwa jino, sikio kwa sikio.
Mkuu hilo ni tatixo kubwa sana hilo Mimi limenikuta wiki iliopita Mimi kuna Dada nilizaa nae mtoto ambaye unamwona kwenye profile hapo tumedumu nae muda wa miaka 9 sasa Na unaenda wa kumi kwa kweli nilimpenda sana natukaaidiana tutakuja kuishi kama mume Na mke Na bahati mbaya Mimi Na yeye tunaishi mikoa tofauti Mimi Niko arusha Na yeye yuko morogoro sasa mkuu juxi natoka arusha namfuata my baby morogoro kufika akanichangamkia kama kawaida Na kunipokea sasa yeye huwa anatoka asubui Na kwenda kazini siku moja nikiwa nimekaa chumbani nikaangalia juu Na kuona simu yake moja huwa anaenda nayo job Na hii huwa anaiacha sasa Mimi huwa sina tabia ya kukagua simu yake nikawa nataka niandike namba nikawa naandika kwenye simu yake sasa kuna kitu kikanishawishi niende kwenye sent items yake kwenye SMS msg nilizozikuta sikuamini BT kuna msg moja nilikuta amemtumia jamaa ( baby kama usingekuja Jana nisingepata usingizi acha kufanya mchezo Na kupenda) mkuu don't trust a girl
Seriously unamshauri atafute mwanamke mwengine??????,sasa hapo si unazidi kubomoa ndugu yanguI've been there personally. Pole sana. Kuishi na mtu msaliti ni ngumu mnono esp pale anapokuwa ni mkeo na mna watoto.
Please, please.. Keep it cool for the sake of your kids. Binafsi nilichukua hatua ifuatwayo :
- Keep cool
- Acha kushiriki tendo mara MOJA. Coz hujui chochote kuhusu huyó mwizi.
- Tafuta mwanamke mwingine. Atakusahaulisha machungu yote. Weka mapenzi yako hapo.
- ishi na mkeo kama partner mliezaa watoto tu. Somesheni na watunzeni watoto. Muda ukifika mtaamua tu kama watu wazima muachane au muendelee na maisha.
Ukome kuchunguza chunguza simu ya mkeo.Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la PPF tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"
Basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.
Ukome kuchunguza chunguza simu ya mkeo.
Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la PPF tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"
Basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.
We unaonaje? Mpk hapo si imeharibika. Halaf km unaweza kuchanganua vzuri, haaribu kitu kupitia mfumo huo, in the long run. Inasaidia afanye maamuzi sahihi on a psychological perspective.Seriously unamshauri atafute mwanamke mwengine??????,sasa hapo si unazidi kubomoa ndugu yangu