SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
MKUU fukuza as soon as possible atakuua na UKIMWI HUYO
Uko sahihi mkuu
MKUU fukuza as soon as possible atakuua na UKIMWI HUYO
hii post ni ya mwaka 2010, maamuzi keshayafanya kitamboMKUU fukuza as soon as possible atakuua na UKIMWI HUYO
hili suala ulilitatuaje mkuu, inabidi u update post ya mwanzo kuwa ulichukua uamuzi gani maana naona kila mara wana ufufua huu uzi wakidhani ni kisa kipyaHii issue ya 2010
Buji ungemkuta live kwenye push up ingekuwaje? Waulize waliyoyaona hayo.hakika hii ishu imenitokea mimi binafsi na si mtu mwingine mchana huu wa leo
We ndo mke wake nn??uongo mtupu.
Nimecheka hadi nimepaliwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We ndo mke wake nn??
Ngoja nikusaidie kuchekaNimecheka hadi nimepaliwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la PPF tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"
Basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.
Ukweli gani hayo si maneno tu hakuna haja ya Mume au mke kuchunguzana chunguzana kwa kusomasoma msg za mwenzio.Akome nini na ndio Mungu kamwonyesha ukweli ulipo?
Ukweli gani hayo si maneno tu hakuna haja ya Mume au mke kuchunguzana chunguzana kwa kusomasoma msg za mwenzio.
ningebaki nahesabu push up kama za kaka Magufuli kipindi cha kampeniBuji ungemkuta live kwenye push up ingekuwaje? Waulize waliyoyaona hayo.
Lowassa Millennium challenge cooperation (LMCC).Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la PPF tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"
Basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.
yaani nyie "ke" sijui mfanyiweje mridhike...halafu ulivyo wa ajabu eti unakuja kutetea ujinga aliyoufanya mwenziouongo mtupu.
ningebaki nahesabu push up kama za kaka Magufuli kipindi cha kampeni
passport size?MREJESHO NA PICHA NI MUHIMU MKUU.