Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

Chezea iyo bahati..utakuja kujuta baadae.
 
pole ndugu yangu haya ndo madhara ya maendeleo, usinyamaze mbane vilivyo akueleze, ikibidi tumia tena simu kumjibu huyo coleman ukijifanya ndo mkeo, utajua mengi zaidi, unaweza uliza ni lini nilkumake crazy zaidi?
unataka jamaa afe kwa presha inayoanzia kwenye visigino!!!
 
Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la PPF tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

Basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.
Mkuu mbona hiyo meseji haina shida kabisa??? Wala usipanic ni meseji ya kawaida kabisaa...Naamini mke wako ni mzuri..kwahiyo hakosi wawindaji..fuatilia kwa umakini naamini huyo jamaa bado hajapata papuchi ya mke wako..jamaa ndo yuko kwenye process...dhibiti mapema.
 
Ukigundua mke au mpenzi anachepuka mwanaume unatakiwa ujitafakari umekosea wap, hasa mambo haya
Matunzo
Muda wa kuwa naye
Kitandan usimuonee aibu
Lazima utambue aliyepita kapita wap
Ukijidai unamapenzi ya kichungaji wakati mwenzako alipotoka watu walishazama mpk chumvin.
Hamna namna utachapiwa tu.
 
Wadau mbona huu uzi ni wazamani sana,labda tumuulize bujibuji alichukua hatua gani,hii thread ni ya 2010
 
Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la PPF tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

Basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.
Bujibuji ndo tunayoyakataa hayo, ulianza vipi kukagua msg zake? Utakufa bure!
 
NITAFUTE NIKUUZIE SOFTWARE ITAKAYOKUWEZESHA KUPATA SMS ZOTE KUTOKA KWA HUYO COLMAN MARA TU ANAPOMTUMIA MKEO NA KWAKO UTAZIPATA.... ILA UWE NA MOYO WA SUBRA... NA UVUMILIVU USIJE KUFA KWA PRESSURE NIKAWA CHANZO CHA MAUTI.
Ndugu unataka watu wajilipue..
[emoji13] [emoji13]
 
Ingekuwa ni wewe kweli mtoa post umekuta hiyo meseji tena leo hii usingekuwa na nguvu wala kukumbuka kutuma hapa JF acha maigizo, wewewewewewewewew hapa umetuma ili tuburudike lakini I m sure 78% hujakutwa na hili janga
 
Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la PPF tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

Basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.
ukitaka kumjua coleman ni nani kuwa na subira tafuta mwanamke mjanja alafu mtegee ndoana mwanamke huyo amtongoze coleman alaf wapange kuonana then ndo umkamate kirahisi..
 
Back
Top Bottom