Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

simu ya mpenzi, mke au mume, iogope kama njaa, hata akiisahau muite aichukue. ukiiona akiwa tayari ametokomea, basi na wewe itakubidi uikimbie.
 
NITAFUTE NIKUUZIE SOFTWARE ITAKAYOKUWEZESHA KUPATA SMS ZOTE KUTOKA KWA HUYO COLMAN MARA TU ANAPOMTUMIA MKEO NA KWAKO UTAZIPATA.... ILA UWE NA MOYO WA SUBRA... NA UVUMILIVU USIJE KUFA KWA PRESSURE NIKAWA CHANZO CHA MAUTI.
 
Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la PPF tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

Basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.
Mkuu kabla ya kupata ushauri wa watu humu na kufanya mamuzi jichunguze wapi ulipokosea maana wanawake wa siku hizi wakichefuliwa kidogo tu utajuta ni wepesi qa kutafuta liwazo la pembeni. Ila pole sana ndio ukubwa kuchapia mke ni siri ya ndani bana
 
asante kwa kuningezea point
Hizo mbinu za kizamani braza siku hizi wanawake nao wamekuwa wa janja kupita maelezo mfano mm nikijenga mahusiano na mke wa mtu nampa code number kila tukichat lazima atangulize code hiyo ili kujilizisha ndio muhisika ninaye chati naye kama hajanitumia code najua tayari meli imeshazama
 
NITAFUTE NIKUUZIE SOFTWARE ITAKAYOKUWEZESHA KUPATA SMS ZOTE KUTOKA KWA HUYO COLMAN MARA TU ANAPOMTUMIA MKEO NA KWAKO UTAZIPATA.... ILA UWE NA MOYO WA SUBRA... NA UVUMILIVU USIJE KUFA KWA PRESSURE NIKAWA CHANZO CHA MAUTI.
Unatafuta kumuua mwenzio Na pressure
 
Back
Top Bottom