Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

UJUMBE: kwa wale wenye tabia ya kuchonokoa simu za wenzi wao watambue kuwa watakutana na meseji nzuri zaidi ya hiyo!


Hivi wewe kuchukua simu ya mwenza wako, si unatafuta BP za haraka haraka ufe na mwenzako abaki anatesa!!!

Kujua siri zake si kutatua tatizo. Na hata ukimfunga kamba bado atakula/kuliwa.
Na ukimuacha si kwamba utakayempata ni malaika zaidi unabadili location ndani ya boat moja.
Kila la kheri.[/QUOTE]
Watu kama nyie mnanichekesha. Sasa si bora ujue ukweli na u face the fact kuliko kuwa wapgiwa nje na mwisho wa siku upate ukimwi jamii iseme wewe ndiye uliyemuua mkeo
 
Hawa wadada ukifuatilia ktk uhuciono wa kmapenz hata ndoa Mara nyingi ni chanzo cha uvunjaji ukiwaza unakufa cku czako.pole sana broo inauma ile mbaya but tumia busara subili hasira ziishe utaamua ktu sahihi.
 
Ningekuwa mie ningelianzisha pale pale sinaga subiria subiria
 
Tayari umekuwa hakimu na hutaki ushauri, hebu jaribu kupima yeye angeukuta ujumbe kama huo kwenye simu yako!
 
hapana!!!!!!!!!!!!!!!!!! hakuna usawa kama huu!

back to the point.

nakuponkeza mkubwa kwa kifua halisi cha kiume. sasa tengeneza mtego halafu uondoke na mbwa wa mtu.

sasa msg umeona live eo ataingia home na wewe utapata usingizi kweli???????

nakushauri ukalale gest angalau kwa leo, isije kutokea immergency ukaua mtu
Gud point
 
dhumuni langu lilikuwa ni kuondoa tu donge la hasira..
We sema lolote tu lakini dhamira yangu imetimia.
Kwenye kila safari kuna vikwazo.. Wewe sio wa kwanza
Real soldier....bravo...on u feet soldier
 
Back
Top Bottom