- Thread starter
- #61
Hongera vipi ushapiga show au bado !! ?
Kama kawaida yan hapa nimeleta kama hitimisho tu baada ya show kali mkuu!!
Hongera vipi ushapiga show au bado !! ?
Face to face ndio ujasili wenyewe...mwanamke anayejielewa ukimtongoza kwa sms anakudharau sana anakuona poyoyo........
Ngoja ukutane nae LIVE utaskia "aam ndo wewe? BIG NO!"
Haya wewe ndugu yangu uliyeelewa maisha kwa kutongoza huku umejificha nyuma ya screen ya simu..........Mkuu acha kukariri maisha aisee angekuona poyoyo angekupa mchezo!!??
Hii saundi la sms ni kama alternative tu kama huna mkwanja wa bagamoyo au gari inakuaje, usidhan kila mtu mshua bana kuna wengine wabishi ndo maana tunakula urefu wetu bana!!
Domo zito afu hujiamini....
Niaje niaje humu ndani.
Kuna mtoto najaribu kumuweka sawa hapa kwa message yani sound linamuingia mpaka raha, maana anaelewa mno,face to face inakuwa ngumu kidogo si rahisi kudanganya lakini kwenye message unatiririka tu kama kawaida.Na pia chance ya kuwa rejected ni chache sana maana unamwaga uongo wote kwa maandishi.
No offence just an opinion.
nyie ndio ambao hamuwezi kujieleza mkiwa karibu na mwanamke
Ni raha kweli, manake unaweza kukuta mnatongoza watu watatu kwa wakati mmoja halafu wala hujui...
Wengine madomo zege kutongoza mpaka on bed. Alikutongoza kwa msaada wa mtandao.., ukimpa gemu hajui aanzie wapi. Domo zege kila sehemu. Shidaaa
MankaM unapigwa saundi kwa sms na point 3 unazitoa tu we shukuru hujakutana na wahuni!!