Meseji ndio njia rahisi ya kutongoza mwanamke

Meseji ndio njia rahisi ya kutongoza mwanamke

Acha uoga njoo usaidiwe..hlo tayar lishakua tatzo...
 
Kwa niaba ya madomo zege naomba niwaambie kwamba tumesikia kilio chenu tutajitahidi tutongoze face to face tumejisikia vibaya sana kusemwa mitandaoni

imetolewa na MO11
msemaji wa madomo zege
 
Last edited by a moderator:
Mizigo mingi inaliwa kwa mahusiano kuanza kwa message iwe jf,text za kawaida au whatsapp,wengi wamemegwa sana japo hapa wanapondea domo zege.
 
Mizigo mingi inaliwa kwa mahusiano kuanza kwa message iwe jf,text za kawaida au whatsapp,wengi wamemegwa sana japo hapa wanapondea domo zege.

Mkuu umeuwa, wanapigiwa madem zao kwa sms tu, we unadhan ntampigia dem wako simu na najua upo naye
 
Unaona raha kwa kuwa ni domo zege pia na mtoto ni mjanja wa mjini ukute anakupa majibu mazuri na ya mvuto basi mwenyewe unajua ume-win ngoja uombe appoitment sasa utakomaje na kuchomeshwa mihogo, sms inatakiwa iwe ni muendelezo baada ya ku-introduce subject.
 
aisee i like everything about malovey dovey kwa phone iwe kutongozana au hata kugegedana wooooy
 
Mitongozo ya kavukavu bila simu imepungua sana siku hizi,hata wanaozani ni mashujaa wa kutongoza hapa sidhani kama wanaongea ukweli
 
Mitongozo ya kavukavu bila simu imepungua sana siku hizi,hata wanaozani ni mashujaa wa kutongoza hapa sidhani kama wanaongea ukweli

hawa jamaa nishawashtukia, hamna kitu hapo aisee
 
Unaona raha kwa kuwa ni domo zege pia na mtoto ni mjanja wa mjini ukute anakupa majibu mazuri na ya mvuto basi mwenyewe unajua ume-win ngoja uombe appoitment sasa utakomaje na kuchomeshwa mihogo, sms inatakiwa iwe ni muendelezo baada ya ku-introduce subject.

Sasa kumbe unadhan natumia sms kabla hatujazungumza usa kwa uso ama nini??? Mpaka kufikia kupost hapa hii kitu namaanisha kwamba nimefanikiwa sana kwa kiasi kikubwa we unadhani ndo naanza nini mkuu??
 
siku hizi ni tukutane mgahawa fulani,unamkalisha mpaka usiku,mnalala pamoja. mambo ya meseji na kutongozana kwa kusifiana sura hakuna miss chagga
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom