Meseji ndio njia rahisi ya kutongoza mwanamke

Meseji ndio njia rahisi ya kutongoza mwanamke

Mwanaume wa kweli hatongozi ,anatengeneza mazingira by hitting the girl's psychology .... hayo ya kutongoza ni mbwembwe tu and old school enzi hizi...

Mkuu hiyo kutengeneza mazingira unaiitaje kwani??
 
Kwani wanawake wote ni wa staili hizo aisee

Asilimia kubwa na mwanamke akikubali muende nae bagamoyo kuotoka dar au mkae hotelini mpaka usiku ujue anakukubali.
Mwanamke akishaonyesha kukubaliana na baadhi ya vitu ni udomo zege ndio utasababisha umkose.

Wewe endelea kutongoza kama enzi za barua,utaishia kuwaita shemeji
 
Kwa Mie kwa wingi wa sound zangu text haifai maana ntaandika barua....kitu live performance bwana
 
baptist,

Itakuja kukuathiri baadae.Jifunze kujenga hoja ukiwa na binti ana kwa ana.
 
Last edited by a moderator:
siku hizi ni tukutane mgahawa fulani,unamkalisha mpaka usiku,mnalala pamoja. mambo ya meseji na kutongozana kwa kusifiana sura hakuna miss chagga

Sasa hii ni rahisi sana, kama mwanaume atashindwa kupata kei kimtindo huu, basi yeye ni super 'domo zege'.

Ile ya kutongoza kwa mdomo zamani, inahitaji kipaji, lazima ujue kupanga maneno na mida fulani uongo kuufanya uwe kama kweli, na kuukremisha huo uongo!!

Achana na kile kizazi cha barua, naongelea kizazi cha kati hapa kabla ya digitali.
 
sasa hii ni rahisi sana, kama mwanaume atashindwa kupata kei kimtindo huu, basi yeye ni super 'domo zege'.

Ile ya kutongoza kwa mdomo zamani, inahitaji kipaji, lazima ujue kupanga maneno na mida fulani uongo kuufanya uwe kama kweli, na kuukremisha huo uongo!!

Achana na kile kizazi cha barua, naongelea kizazi cha kati hapa kabla ya digitali.

Huo ndio ukweli kaka tena ukiwa na pesa na nguvu za kiume (gari) unajipigia tuu
 
Face to face ndio ujasili wenyewe...mwanamke anayejielewa ukimtongoza kwa sms anakudharau sana anakuona poyoyo........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom