Meseji ndio njia rahisi ya kutongoza mwanamke

Meseji ndio njia rahisi ya kutongoza mwanamke

Hii njia ya sms ni tamu sana,nilishaopoaga mtoto mmoja mzur na laini sana kwa maujanja haya

Pure nomaa umeuwa waambie hawa wabishi humu ndani wanajua kila sms zinatumwa na domo zege!!
 
Niliwahi omba namba ya simu kwa dada mmoja hivi tukiwa kwenye gari! Nikawa natongoza kwenye whatsap sister ali mind hadi akawa ananitumia clip za video za usiku mwema.Nili enjoy sana da hadi nikaanza kumhonga kwa m pesa maana ni kitu hasa!
Uzalendo ulinishinda mana kila nikiomba ku date anayeyusha na hapo anatoa visingizio kibao!.....mara oo nakaa kwa uncle mchungaji saa kutoka issue basi nikakata tamaa nikawa napotezea.Ila kila nikipitezea ananishtua kwa whatsap then nakuwa na moyo mpya! Sikuambulia chochote siku hizi karudi chuoni.Ama kweli makavidavi yatutesa wanaume.Nashauri wanaume tusihonge kabla ya kupewa mzigo... hata kama we ni msukuma! kwi kwi kwi!
 
Domo zege nae ana raha zake. Sio janaume likavu hata hamjazoena kiasi cha kuwa huru kutaniani miadi ya kwanza tu linakuuliza
"Umemaliza lini kubleed? Leo vipi uko poa?"

Khaa...!! Kichefuchefu
 
Domo zege nae ana raha zake. Sio janaume likavu hata hamjazoena kiasi cha kuwa huru kutaniani miadi ya kwanza tu linakuuliza
"Umemaliza lini kubleed? Leo vipi uko poa?"

Khaa...!! Kichefuchefu

kwani we kubleeed umemaliza lini?
 
Wengi mnaponda tu tatizo mmezoea miguvu na kujitia umwamba.
Kwa sms ipo very romantic.
Ila ndio ujue kupangilia mistari sasa, sio unafoward mashairi ya Mloka.

Utachefua.
 
Niaje niaje humu ndani.

Kuna mtoto najaribu kumuweka sawa hapa kwa message yani sound linamuingia mpaka raha, maana anaelewa mno, face to face inakuwa ngumu kidogo si rahisi kudanganya lakini kwenye message unatiririka tu kama kawaida.

Na pia chance ya kuwa rejected ni chache sana maana unamwaga uongo wote kwa maandishi.

No offence just an opinion.

I agree wit u 500%...kutongoza kwa msg raha sanaaa....hasa mkiwa whatsapp.. Haimaniishi mtu domo zege nah its just interesting....
Unaweza meet na dem for tha first tym mka exchange dials mka chat sanaa...mkija meet tena it feels like mmejuana for years nd if ur good u might steal a kiss even sex on tha 2nd date...
 
That's what I am talking about mkuu, yan umemaliza kila kitu.. Asante sana..
 
Wengi mnaponda tu tatizo mmezoea miguvu na kujitia umwamba.
Kwa sms ipo very romantic.
Ila ndio ujue kupangilia mistari sasa, sio unafoward mashairi ya Mloka.

Utachefua.

True that, thanx a lot, atleast you got my point Da Pretty
 
Domo zege nae ana raha zake. Sio janaume likavu hata hamjazoena kiasi cha kuwa huru kutaniani miadi ya kwanza tu linakuuliza
"Umemaliza lini kubleed? Leo vipi uko poa?"

Khaa...!! Kichefuchefu

Noma sana..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom