Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,702
Angalia hizo message unazotuma isijekuwa hujibiwi na huyo mlengwa, huenda ni boy friend wake unae jibizana nae. Mi ilisha nitokea hyo nimekoma hiyo kitu, mbaya zaidi niliombwa pesa kwa m-pesa nikatuma, halafu baada ya hapo likaniambia nikome kutongozatongoza, nisione vyaele. Kwakasi ya mzuka nikapiga simu voda wanimuvushie back pesa yangu nao bila hiana wakanirudishia nami nikanusurika kuliwa pesa na dume mwenzangu.
Ukiona hvyo una nyota ya kuliwa Kabang almaaruf tiGO....
Ni nadra sana kijana mtu mzima kutegeka kishamba hvyo.