Merry Crisis and Sad New Fear...

Merry Crisis and Sad New Fear...

heheheeee hapana hata sijamtia majaribuni jamani Amavubi, nimejibu swali alilouliza ila aki pm atapata majibu yake.
unajua majibu mengine yanaingia sana akilini halafu inafuata tafakuri, then taswira then nia then hatua then...............
 
Mkuu Safari_ni_Safari huwa nakukubali sana...big up!!

Wangu kaliwa tayari.......

panjaitanedis-1933592.jpg
 
Safari_ni_Safari, umenitisha mkuu. naogopa sana nyoka
weni mwanaume mwanamke maana wanawake huwa hawaogopi nyoka maana kila siku wanawaua kwa kuwameza kwajuu na kwa chini.sasa we sijui kwa nini wawaogopa.cha kushangaza wakati mwingine wakiwala wanavimba tumbo miezi tisa.
 
Yan shost we acha tu...
Nlivokuwa nimeakualika basi tena usije.....!!!
mambo yamekuwa ndivo sivyo.......
namualika kwnagu japo na mimi nimealikwa na MANI mzee wa Kiko, akija naondoka naye namualika kwa MANI kwa niaba yangu
 

Ndio..........mboga ziko za majani na kawaida(kitoweo) lakini hakuna kitoweo cha majani
KITOWEO CHA MAJANI LABDA UYOGA MAANA HAUELEWEKI KAMA NI MBOGA AU NYAMA....hapa mwingine atauliza kama maharage ni mboga au ...............kiungo.............
 
weni mwanaume mwanamke maana wanawake huwa hawaogopi nyoka maana kila siku wanawaua kwa kuwameza kwajuu na kwa chini.sasa we sijui kwa nini wawaogopa.cha kushangaza wakati mwingine wakiwala wanavimba tumbo miezi tisa.
............ajabu ni kwamba wanawameza chini kisha wanavimba juu............
 
kukimbia ndani ya 18 itakuwa ngumu sana...............

heheheeeee nilikamatika ndani ya 18 nikiwa bado kigoli yaani mschana mdogo ila now niko fit itakuwa ngumu sana kukamatika ninachenga kama sungura heheheheheeee
 
Back
Top Bottom