sakapal
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,804
- 1,425
mh, haya, maumivu ya kichwa yamenianza hapa, je nikupe namba yake?
hapana shoste mie sina kazi nae huyo namba yake itoe kwa wakaka, hapo mie naangalia uumbaji wa mungu tuu na kufaharisha macho tuu. Mie mwenyewe nasubiri kuliwa on xsis tena huyo wa nn? hapa nimejipaka viungo kibao na mafuta yangu haya natural ntajikaanga sku ikifika yeye (mlaji) atakuwa anakula huku anajilamba tuu, ntamtahadharisha tuu asije akajing'ata ale taratibu kwani yuko peke yake......
xsis njema na wewe Amavubi pamoja na familia yako.