Merry Crisis and Sad New Fear...

Merry Crisis and Sad New Fear...

IMG_5445.JPG
mwingine huyu
 
Kipindi kama hiki cha sikukuu ndege kama hawa huwa na wakati mgumu sana kwani huishi kwa mashaka mashaka kwa kuhofia kuchinjwa kwa ajili ya kitoweo cha sikukuu hizo.
 
​
Ng'ombe wakiwa katika eneo la machinjio ya Kimara jijini Dar -es - salaam.Kitoweo cha nyama ya ng'ombe hupendwa sana na watanzania wengi hasa siku za sikukuu.Hata hivyo bei ya kitoweo hicho inapanda kwa kasi ya ajabu.Wiki iliyopita wakati wa krismass baadhi ya maeneo ya jiji iliuuzwa kuanzia shilingi 9500 mpaka 10,000 si hatari hiyo? Au tuanze kula pilau ya mchicha?
 
Haya bado makasheshe ya ndoa, wapenzi na wenza.......................wengi wameshaanza kuhofia ada mwakani............
 
hiyo ni crisis tayari, sikukuu ishaota mbawa

Bad enough tushaalika watu, yule jogoo mwenye miaka kadhaa ataliwa christmass hii....
Sijui naanzia wapi kucancel hiyo mialiko,watu wengine bana!!!!
 
Mkuu, umemaanisha mwingine huyu mbuzi ama huyu dada??! :confused2::glasses-nerdy:
kwa kweli hapo umekolezea tu, huyu dada anasubiri crisis yake :bange: :mimba:na huyu mbuzi ni fungu la :shetani::fish:
 
Back
Top Bottom