Ndugu zangu mnakumbuka jinsi watu walivyofungua biashara za kiti moto hapo DAR mara baada ya MWINYI KUDAI NI RHUKSA KULA NGURUWE!
Badala ya kuandaa mpango maalum wa kuwaanda wananchi ili tusirudi utumwani kwenye dunia mpya ya ushindani...Yeye akawaambia wabongo,tena waislam wenzake wale nguruwe!
Na kweli wakala sana tu!
Hata mfungo wa ramadhani wengine walisneak na kwenda kula!
Na hata mara baada ya MKAPA kuja na white paper...
CHARLES HILLARY BADO NA YEYE AKAFUNGUA KITI MOTO YAKE HUKO SINZA!
SASA TUMEGUNDUA NCHI IMEUZWA KWA VIONGOZI WETU KUTUMIA LOOPHOLES!
REKEBISHENI MAKOSA,RUDISHENI NCHI KWA WANANCHI...THEN TUANZE NA TAIFA JIPYA NA LENYE MATUMAINI!
Hii inahusiana vipi na kinachoendelea? Una hakika kuwa Mwinyi ndiye aliruhusu watu kula nguruwe?