Meremeta Report: Released to the Public (Revised & Free!)

Hivi hamjajiuliza ni kwanini sheria ya madini ilipitishwa mwaka 1998? Na kwanini hadi leo ni vigumu kuibadilisha? Hivi mnafikiri tukianza kuchimba mafuta Mkuranga haitakuwa kama Delta ya Nigeria? Hawa watu wana nguvu kubwa kuliko watu wanavyofikiria.

Hivi mnaelewa kwanini wanapenda kutumwagia misaada ya mabilioni? Mtoto anayenyonya akitaka kulia unampa nini?
 
Hmmm...hii ina ka utata kidogo. Nikisema "nyonyo" nitakuwa nimekosea?

hutakuwa umekosea; Serikali ya CCM inanyonya kwa "wakwe" zetu kiasi kwamba wakati wowote tunapopiga kelele za ufisadi ndio "Wafadhili" humwaga misaada zaidi. Lengo ni kuhakikisha kuwa hatupazi sauti zetu.

kati ya 2002 na 2007 Tanzania imeuza nje dhahabu ya thamani ya dola bilioni 2.9. Tukiingiza na mauzo ya Tanzanite, madini mengine n.k tunajikuta tumewapatia wakwe utajiri mkubwa. Wakati huo huo wao wanaendelea kutoa misaada dola milioni 20, milioni 30 n.k Halafu wanakuja na misaada ya milioni 600 au zaidi ambayo hutolewa kwa miaka kadhaa ijayo huku ikiwa na masharti ya kusource vitu vingi toka kwao huko huko.

Kwa mfano fedha zilizotoolewa na Bush zilitumika pia kupeleka vijana wapatao 20 hivi huko Iowa kama exchange students wakitumia karibu dola laki tatu ambazo zinalipwa huko Iowa na kutengeneza kazi Iowa!

Nakuhakikishia ukisikia wanaanza kupiga tena kelele ya Meremeta au ufisadi mkubwa angalia wakubwa watakavyonyosha mikono yao na "nyonyo" zao kubwa huku serikali ya CCM ikipanua makanwa yake kunyonya kwa furaha!
 
Wow! wakati nazidi kuitafakari hii ripoti kwa kina, kwa wakati huu tuliopo na zama hizi za utanadawazi napenda kurejea msemo wa mtikila enzi hizoo "saa ya ukombozi ni sasa", ingawaje inatakiwa kuwa kila siku na kila saa. Ripoti kama hizi ndizo zinahitajika zitumike katika somo la uraia (kama bado lipo) shule za msingi mpaka secondary na a course reader chuo kikuu, ili vizazi vijavyo viwe na chachu ya kulinda kwa nguvu zote rasilimali zetu. Naamini bado ripoti hii itawafikia watu wachache sana wenye access na mtandao ambao Tanzania hawafiki hata milioni moja (ninaweza kusahihishwa katika hili). Jitihada zifanywe itapakae kama njugu Tanzania nzima.

Hongereni timu nzima iliyoandaa ripoti hii. Ni wakti wa vitendo na sio kama mdau mmoja katika mtandao fulani aliyekua anaomba atumuwe nakala ya ripoti ya meremeta aliyomalizia katika ombi lake hilo kwa kusema, na nina nukuu, ".....The report seem very good for reading and refreshing our minds" mwisho wa kunukuu!!!
 
Hii ripoti kwa mtazamo wangu imekaa kama one long, winding narrative ambayo inauliza maswali meeengi badala ya kutupatia majibu. Footnotes ni sparse na zinanukuu general sources of information, mostly printed media badala ya kutumwagia ushahidi madhubuti usiopingika i.e. "hard concrete evidence". Hatuonyeshwi takwimu wala nyaraka zinazotumiwa kwenye ripoti. Au vyanzo vyote ni siri? Kama ni hivyo basi credibility ya hii ripoti siyo kubwa. Simple speculations zimekuwa nyingi mno kwenye hii ripoti.

Hard Concrete Evidence ndo kitru gani??

Tangu lini kuna takwimu za wizi ndani ya vitabu vya serikali? Usitufanye wajinga.
We unataka chanzo ili utumie ubavu wako na vijisenti kuvitoboa utumbo??
Umeula wa chuya.

Maswali ni mengi? Ndiyo. Kwa sababu watu walio fanya utumbo huu bado wanaendelea kujamiiana na kuleta watu Duniani katika ardhi ya Tanzania.
Mtu au kundi liwezalo kufanya unajisi kama huu ni lile lisilo kuwa na kikao Tanzania. Lakini mambo haya yamefanywa na watu waishio Tanzania na waliokwenda shule ya kutakata na kuiacha elimu huko huko waliko soma na kutumia kibri ya shule kutunajisi.

Labda na mimi niongezee maswali.
Hapa usichoamini ni nini? Ni maelezo ya kilichofanyika, ni hizo takwimu unazodai , ni madai yako ya ufunuo wa vyanzo, au huamini watu wamejua Janja yenu ya nyani ya kula hindi bichi au kukalia jiwe la moto na taco tupu???

Kama haya si maelezo yako wamekutuma waambie wajaribu tena ku rephrase arguments, lakini kama maelezo ni yako mmmmh! Nina maswali milioni juu ya mcheche ulionao.
 
Last edited:
Hivi hamjajiuliza ni kwanini sheria ya madini ilipitishwa mwaka 1998? Na kwanini hadi leo ni vigumu kuibadilisha? Hivi mnafikiri tukianza kuchimba mafuta Mkuranga haitakuwa kama Delta ya Nigeria? Hawa watu wana nguvu kubwa kuliko watu wanavyofikiria.

Hivi mnaelewa kwanini wanapenda kutumwagia misaada ya mabilioni? Mtoto anayenyonya akitaka kulia unampa nini?
Pipi au biscuit moja:(
 
Mzee Mwanakijiji,
Kwanza nakushukuru. Sana. Narudia kusoma tena halafu tutawsiliana wote humu kimawazo.
 
"There is no institution that is more abhorrent than a corrupt government. No entity kills more. No entity plunders the treasury more. No one entity violates more individual and human rights more often, with more impunity. And none spews more propaganda and lies. History proves this beyond a shadow of a doubt.

Whether it is a democracy, monarchy, military, union of socialist republics, or a communist state, you can rest assured that a corrupt government will be the bane of progress and development every time. And a corrupt government will always be an oppressive one. It has always been this way. Corrupt governments are always dangerous and inimical to the health, well-being and progress of the people they rule".Anon.

Therefore such government must be checked. Politicians and civil servants who run the country must be resisted and called to order. They must be over-ruled. They must be gotten rid of.
 
Unadownload wapi hii repoti jamani nina hamu sana kuisoma pongezi kwa walioandaa,nitaipataje
 
Unadownload wapi hii repoti jamani nina hamu sana kuisoma pongezi kwa walioandaa,nitaipataje

Nenda kwenye post ya kwanza kabisa, mwanzoni mwa hii thread au mwanzoni mwa kila ukurasa mpya utaona files mbili za pdf. Chukua chako mapema ufaidi jasho la Mwanakijiji. MIMI nimefaidika sana na inshallah siku tukikutana kijijini tutatesa na kopo moja la kangaa!
 
Pole pole, huenda wakaja kuigusa Meremeta

The real story of Meremeta's Origin

A FORMER registrar of the Treasury, a civil servant and at least one senior Tanzanian military officer were amongst the first directors of the controversial Meremeta Limited when it was officially registered in the country towards the end of 1997, THISDAY can reveal today.

According to official government records, after being incorporated in the UK on August 19, 1997, Meremeta was registered in Dar es Salaam two months later (October 3) under certificate of compliance number 32755, with a total of four listed directors.

They were Russel John Schwartz, a South African national, along with Gerald Augustine Mrudi, Wilfred Lusata Nyachia, and Zulu Ally Lyana - all Tanzanians.

Company documents described Schwartz as a South African citizen working as a financier, with residential address listed as 147 West Road North, Morning Side, Sandton, South Africa.

Mrudi, an officer with the Tanzania People's Defence Forces (TPDF), was listed as a Meremeta director residing at 375 Upanga Street, Dar es Salaam; while Nyachia, the then Treasury registrar in the Ministry of Finance, was also listed as a director of the company with his residence being in Oysterbay, Dar es Salaam.

Nyachia was later promoted to the post of permanent secretary in the Ministry of Industry, Trade and
Marketing, before officially retiring from the civil service earlier this year. He now serves as chairman of the board of directors of the state-run Tanzania Broadcasting Corporation (TBC).

The fourth director, Lyana, was described in Meremeta's documents as a Tanzanian civil servant residing at house number 121, Seaview, Dar es Salaam.

Somewhat surprisingly, Meremeta Ltd listed its official company address as plot number 203 Mbezi Beach, on the outskirts of Dar es Salaam.

Government officials say it is quite unusual for a company of such stature, wholly or partly-owned by the government, to have its place of business outside the city's central business district.

According to the company's memorandum of association, its objectives include implementing "a gold collection and benefication programme on behalf of the government of the United Republic of Tanzania."

The official government position is that Meremeta was a joint venture project owned on a 50-50 basis
by the Tanzanian government and a private South African firm going by the name of Triennex (Pty)
Limited.

It could not be immediately established whose interests were represented by the four listed directors represented in Meremeta Ltd.

Meremeta's articles of association state that all the company's shares "shall be under the control
of the directors, and the directors may allot, grant options over, or otherwise deal with or dispose of
the same (shares) to such persons and generally on such terms and in such manner as they think fit."

Published THISDAY findings have already established that Meremeta officially began gold mining operations at the Buhemba mine in Mara Region in February 2003, with its operations heavily financed by local taxpayers through the Bank of Tanzania (BoT).

In 2005, the company announced that it had produced 2,075 kilogrammes of gold at a cash cost of $384 per troy ounce of gold. But hardly a year later (2006), Meremeta unexpectedly declared bankruptcy, and was formally dissolved.

Official government records show that as Meremeta Ltd was winding up its operations, the BoT paid more than $118m (approx. 150bn/-) to Nedcor Trade Services Limited of South Africa after having guaranteed a loan from this firm to finance Meremeta's operations.

The abrupt exit of Meremeta paved the way for the entrance of TANGOLD Limited, another
controversial company which assumed all of Meremeta's assets and liabilities, including the Buhemba mine.

Although the Ministry of Energy and Minerals has claimed that TANGOLD Ltd was 100 per cent owned by the Tanzanian government, it has also been established through THISDAY findings that the offshore company was originally registered in Mauritius in April 2005, with its address listed as Suite 520, Barkly Whart, Le Caudan Waterfront, Port Louis.

TANGOLD Ltd was incorporated in Tanzania in February 2006, with its listed local shareholders including former BoT governor Daudi Ballali (now deceased); a then senior Cabinet minister and former attorney general Andrew Chenge; and the former permanent secretary in the Ministry of Finance, Gray Mgonja.

Other listed TANGOLD shareholders are the current PS in the Ministry of Home Affairs, Patrick Rutabanzibwa; and the then permanent secretary in the Ministry of Livestock Development, Vincent Mrisho.

The manner and timing of Meremeta's liquidation has continued to raise many an eyebrow in key areas of the public domain, including parliament where various legislators have alleged that the company was purposely used to embezzle billions of shillings in public funds.

The government, maintaining that Meremeta was a classified military project, has so far declined to respond to MPs' queries about the true nature of the company.

Source: http://www.thisday.co.tz/News/6159.html
 
The Ikulu connection
THE highest levels of the third phase government under ex-president Benjamin Mkapa were behind the setting up of the Meremeta Limited project and its extraordinary access to major funding from both local and foreign sources, it has been established.

THISDAY can now reveal that the Presidents Office itself authorised the Meremeta project and backed the privately-registered company in the securing of financing worth millions of US dollars from the Bank of Tanzania (BoT) and international financial institutions.

According to our latest findings, the decision to set up Meremeta Limited in 1997 was personally sanctioned by Mkapa who, in his capacity as chairman of the ministerial Cabinet meetings, gave the greenlight for the company to establish an underground mine in the Tembo area and an open-pit mine at Buhemba in Mara Region.

It is understood that the government thinking at the time was that the huge potential of gold mineral reserves in Tanzania was not benefiting the country, hence the decision to set up the Meremeta project, the initial objective being that the company would be buying gold from artisanal miners.

This was effectively confirmed in the companys own registered memorandum of association at the time of its establishment, outlining objectives that include implementation of a gold collection and benefication programme on behalf of the government of the United Republic of Tanzania.

But in 2000 (three years after Meremeta Ltd was officially registered in the country), Mkapa allowed it to divert from its original mission of buying gold from artisanal miners and become fully engaged in gold mining activities.

This decision by the ex-president was reportedly based on geological surveys that confirmed the viability of the project.

Well-placed sources say State House at the time also lent its full weight of support to moves by Meremeta Ltd to gain the necessary funding for its operations from the central bank and a number of international investment banks.

These include Nedcor Trade Services Limited of South Africa, which provided a (Tanzanian) government-guaranteed loan of $118m (approx. 150bn/-) to Meremeta Ltd.

When Meremeta Ltd went bankrupt in 2005/06, the BoT was quick to issue a controversial 155bn/- Treasury bond to raise funds for settling the massive debt to Nedcor Trade Services Ltd.

It is understood that this particular transaction later raised serious queries from the central bank auditors.

The highest office in the land during the third phase administration is also understood to have tangibly supported moves by Meremeta Ltd to secure additional funding from Deutsche Bank AG of London.

The official government position todate has been that Meremeta was a joint venture project owned on a 50-50 basis by the defence ministry and a private South African firm going by the name of Triennex (Pty) Limited.

THISDAY findings have furthermore established that there were four listed directors at the time of the companys official registration in Tanzania in late 1997 - including three Tanzanian nationals of respectable standing.

They were Gerald Augustine Mrudi, an officer of the Tanzanian military; Wilfred Lusata Nyachia, the then Treasury registrar in the finance ministry; and Zulu Ally Lyana, also identified as a member of the civil service.

The fourth listed director was Russel John Schwartz, identified as a South African financier
Source: http://www.thisday.co.tz/News/6164.html
 
Uchunguzi mpya wa ThisDay au Vipi ni ripoti ya MEREMETA inatolewa kwa mafungu?
 
THISDAY can now reveal that the President’s Office itself authorised the Meremeta project and backed the privately-registered company in the securing of financing worth millions of US dollars from the Bank of Tanzania (BoT) and international financial institutions.

According to our latest findings,
the decision to set up Meremeta Limited in 1997 was personally sanctioned by Mkapa who, in his capacity as chairman of the ministerial Cabinet meetings, gave the greenlight for the company to establish an underground mine in the Tembo area and an open-pit mine at Buhemba in Mara Region.

It is understood that the government thinking at the time was that the huge potential of gold mineral reserves in Tanzania was not benefiting the country, hence the decision to set up the Meremeta project, the initial objective being that the company would be buying gold from artisanal miners.

This was effectively confirmed in the company’s own registered memorandum of association at the time of its establishment,
outlining objectives that include implementation of ”a gold collection and benefication programme on behalf of the government of the United Republic of Tanzania.”

But in 2000 (three years after Meremeta Ltd was officially registered in the country), Mkapa allowed it to divert from its original mission of buying gold from artisanal miners and become fully engaged in gold mining activities.

This decision by the ex-president was reportedly based on geological surveys that confirmed the viability of the project.

Well-placed sources say State House at the time also lent its full weight of support to moves by Meremeta Ltd to gain the necessary funding for its operations from the central bank and a number of international investment banks.

These include Nedcor Trade Services Limited of South Africa, which provided a (Tanzanian) government-guaranteed loan of $118m (approx. 150bn/-) to Meremeta Ltd.

When Meremeta Ltd went bankrupt in 2005/06, the BoT was quick to issue a controversial 155bn/- Treasury bond to raise funds for settling the massive debt to Nedcor Trade Services Ltd.

It is understood that this particular transaction later raised serious queries from the central bank auditors.

The highest office in the land during the third phase administration is also understood to have tangibly supported moves by Meremeta Ltd to secure additional funding from Deutsche Bank AG of London.

The official government position todate has been that Meremeta was a joint venture project owned on a 50-50 basis by the defence ministry and a private South African firm going by the name of Triennex (Pty) Limited.
THISDAY findings have furthermore established that there were four listed directors at the time of the company’s official registration in Tanzania in late 1997 - including three Tanzanian nationals of respectable standing.

They were Gerald Augustine Mrudi, an officer of the Tanzanian military; Wilfred Lusata Nyachia, the then Treasury registrar in the finance ministry; and Zulu Ally Lyana, also identified as a member of the civil service.

The fourth listed director was Russel John Schwartz, identified as a South African financier.

hii ndio THIS DAY journalism...nikisema niliambiwa nina chuki binafsi na MENGI lakini hawa ndio ma journalists na media ambao uongozi wa JAMII FORUMS unaona aibu kuwa out kisa sikijui lakini kuna theories kuwa ni bedfellows wa JF!

Nothing new walichokifanya wamechukua ripoti ya Mwanakijiji from Jamii Forums na kujidai eti wamefanya "FINDINGS"...findings my arse!

Sasa mnaogopa nini kuwaaanika hawa? Zipo namna nyingi tu za kuwaweka in their rightful places lakini hilo hamtaki!
 
Back
Top Bottom