Meremeta Report: Released to the Public (Revised & Free!)

MM, hongera kwa mara nyingine tena kwa kazi nzuri yenye umahili na umakini mwingi. Katika orodha ya watu uliopendekeza wahojiwe nadhani Lowassa aongezwe kwenye list kwani atakuwa na taarifa nyingi muhimu katika kupata ufumbuzi wa mambo yaliyofanywa na MEREMETA.

Narudia tena ahsante ,tunashukuru kwa mapenzi yako kwa nchi yako. Ubarikiwe!!
 
Nahisi sasa tutaiona magazetini kesho na kuendelea!

siyo lazima ionekane kwenye magazeti. Wengine hawajui wafanye nini na ripoti hii kwa sababu wanaogopa wakii serialize wanaweza kufungiwa kwa sababu "Waziri Mkuu alisema isijadiliwe hadharani".

On the other hand nimecheka sana muda mfupi ulipita kuwa watu wa UwT licha ya kuwa na nakala kwa karibu wiki nzima leo ndio wamepata hii na kuanza kutoa kopi zake. labda ili wawe na msingi wa kunitengenezea kesi.
 
Thank u mwanakijiji,May our beloved GOD keep protecting and giving you strength to keep do what you are doing..GOD BLESS!!!
 
Hii ripoti kwa mtazamo wangu imekaa kama one long, winding narrative ambayo inauliza maswali meeengi badala ya kutupatia majibu. Footnotes ni sparse na zinanukuu general sources of information, mostly printed media badala ya kutumwagia ushahidi madhubuti usiopingika i.e. "hard concrete evidence". Hatuonyeshwi takwimu wala nyaraka zinazotumiwa kwenye ripoti.

Au vyanzo vyote ni siri? Kama ni hivyo basi credibility ya hii ripoti siyo kubwa. Simple speculations zimekuwa nyingi mno kwenye hii ripoti.
 
Hii ripoti kwa mtazamo wangu imekaa kama one long, winding narrative ambayo inauliza maswali meeengi badala ya kutupatia majibu. Footnotes ni sparse na zinanukuu general sources of information, mostly printed media badala ya kutumwagia ushahidi madhubuti usiopingika i.e. "hard concrete evidence". Hatuonyeshwi takwimu wala nyaraka zinazotumiwa kwenye ripoti. Au vyanzo vyote ni siri? Kama ni hivyo basi credibility ya hii ripoti siyo kubwa. Simple speculations zimekuwa nyingi mno kwenye hii ripoti.

Njabu na wewe bana....wewe kazi yako tokea bcstimes.com ni ku-hate hate tu kazi Mwanakijiji....

Halafu nani kai-lift ile permanent server ban uliyopewa?
 
Hii ripoti kwa mtazamo wangu imekaa kama one long, winding narrative ambayo inauliza maswali meeengi badala ya kutupatia majibu. Footnotes ni sparse na zinanukuu general sources of information, mostly printed media badala ya kutumwagia ushahidi madhubuti usiopingika i.e. "hard concrete evidence". Hatuonyeshwi takwimu wala nyaraka zinazotumiwa kwenye ripoti. Au vyanzo vyote ni siri? Kama ni hivyo basi credibility ya hii ripoti siyo kubwa. Simple speculations zimekuwa nyingi mno kwenye hii ripoti.

Najua mnaweweseka kwa wizi wa wajomba zenu, bado mtasema mengi ila huu ni mwiba kwenye roho.

Kazi nzuri Mwanakijiji, lazima tomkome nyani mchana kweupe, Pinda alifikiri analimaliza kumbe alimtishia mtu mzima nyau sasa apambane na simba.
Na kama watamkamata mwakjj ndio mwanzo wa ukombozi.
 
kuna mtu anajua deal la meremeta kununua renewable energy assets from Salinas
Energy ltd
 
Du,report nimeikubali vilivyo na mzeemwanakijiji,Mungu akubaliki sana maana kwa maneno yako ya liyo ndani ya report yamefanya nitokwe na machozi kwa mkumbuka mwl.J.K Nyerere.
 
Mwanakijiji umeonyesha njia.
Hakuna atakaye lala,umefanya kazi kubwa,wengi watafunguka ufahamu wa kuona madudu haya ya Viongozi tuliowajali na kuwapa hatamu za uongozi! Wengine tutaanza kulia,mwishowe tuikomboe nchi yetu Kifikra na Kiroho.
Mungu atusaidie.
 
siyo lazima ionekane kwenye magazeti. Wengine hawajui wafanye nini na ripoti hii kwa sababu wanaogopa wakii serialize wanaweza kufungiwa kwa sababu "Waziri Mkuu alisema isijadiliwe hadharani".

On the other hand nimecheka sana muda mfupi ulipita kuwa watu wa UwT licha ya kuwa na nakala kwa karibu wiki nzima leo ndio wamepata hii na kuanza kutoa kopi zake. labda ili wawe na msingi wa kunitengenezea kesi.
Hakuna kesi hapo,Fikra zako zinagusa mioyo ya watu wengi kama si wananchi wote,atakayejaribu ajiandae kujibu.....
 
Hii ripoti kwa mtazamo wangu imekaa kama one long, winding narrative ambayo inauliza maswali meeengi badala ya kutupatia majibu. Footnotes ni sparse na zinanukuu general sources of information, mostly printed media badala ya kutumwagia ushahidi madhubuti usiopingika i.e. "hard concrete evidence". Hatuonyeshwi takwimu wala nyaraka zinazotumiwa kwenye ripoti. Au vyanzo vyote ni siri? Kama ni hivyo basi credibility ya hii ripoti siyo kubwa. Simple speculations zimekuwa nyingi mno kwenye hii ripoti.
Heri aliyanza kuliko wewe unayesubiri credibility! Just stay aside keeping other forward.....tunatafuta mpenyo wa kuinusuru nchi, fikra na roho zetu ziko kazini....watu wa namna yako wapo tu na watasubiri hizo credibility zako..
 
Back
Top Bottom