Mentor utaoa lini...

Mentor utaoa lini...

Hahaha kuna mganga mmoja aliokoka akawa anatoa ushuhuda kwamba 80%ya wateja wake ni wadada, na kati ya hawa wadada 90% wanaenda kwa matatizo ya kimapenzi na ku boost ndoa.... sasa ndo upime maji na unga kama kuna kupona hapo! na nyie mmezidi wadada tunajitahidi sana kuwapenda nyie kwa moyo lakini wapi hampendeki sasa shetani akipenyeza ndo unakuta majanga kama haya ya kuendewa kwa babu na mwisho mtalishwa hadi mikojo ya mbwa shauri yenu.

Jipange upya asee, kama huna Yesu watakukamata tu muda wako haujafika. Kwanza hata utamjua basi mwanamke anayeenda huko? kwani atakwambia kwamba anaenda? ajionae amesimama aangalie asije kuanguka. yangu ni hayo tu

Kabla sija boostiwa itabidi niwa boost mimi. Naskia Manyaunyau ni mtaalam wa ukweli ngoja nikamuone nione kama ku boost kupo au ni maneno tu.....
 
Kabla sija boostiwa itabidi niwa boost mimi. Naskia Manyaunyau ni mtaalam wa ukweli ngoja nikamuone nione kama ku boost kupo au ni maneno tu.....

Lbda ukamuone diamond akupatie CV za waganga, au Mentor akupatie contacts za huyu mdada ili umuone akusaidie pia
 
Last edited by a moderator:
kyeeri iki nkulalya kabisa foo..........
nkwiifo kukee nsurume ro shoo wa womi............
kwa mpata mwaanya shiruuya lurere kinyoo shoo.

lol...kulashesara fo tonga
kwawa fo inda ee?na wajomba wakwa?
Asee shankusuruma kunu sakina ko kama mwiri umwi endi kwifo kindo shiketana kinnyo...
 
Lbda ukamuone diamond akupatie CV za waganga, au Mentor akupatie contacts za huyu mdada ili umuone akusaidie pia
Sina tena aisee labda majina yake tu ndo kumbukumbu pekee iliyobaki kichwani mwangu! Halafu Nicas Mtei ananiambia nimchukue akaombewe nibaki naye...WTH!???
 
Last edited by a moderator:
lol...kulashesara fo tonga kwawa fo inda ee?na wajomba wakwa? Asee shankusuruma kunu sakina ko kama mwiri umwi endi kwifo kindo shiketana kinnyo...
Deda kiwahili mbe!!! Acheni kuongea Kipalestina bana.. Cc: gfsonwin
 
Mambo ingine ni ngumu kumesa aisee, anataka akumalisie kabisa na ile ambayo alipewa na mganga ili akamilishe ndoa ifungwe ikashindikana. Mie ingekimbia kama mbusi
 
Mambo ingine ni ngumu kumesa aisee, anataka akumalisie kabisa na ile ambayo alipewa na mganga ili akamilishe ndoa ifungwe ikashindikana. Mie ingekimbia kama mbusi

One :A S-heart-2:.

Still praying hard for the ONE!!!!
 
Uliniuliza hivi...

Ngauti kwa hiyo uliamua kumuacha huyo dada bila hata kumpeleka kwa watumishi wa Mungu wamfanyie maombi?

Nikakujibu hivi...

Haaaaa Ngauti, kirahisi hivyo?

aisee nilimuombea tu ila kuanzia ile siku sijawahi hata kusikia sauti yake...nilichoma moto kila kilichokuwa chake, nilihama nyumba mwisho wa mwezi na sijawahi mtia machoni since then!!!

Do u mean to tell me wewe ungekuwa na guts za kuongea naye bado let alone kuona sura yake???:nono:

Ukamalizia hivi...

Sure Ngauti mimi ningejitahidi kumpeleka walau akafanyiwe maombi kwa imani ya dini yake ili aachane na hayo mambo ya ushirikina, na inaonekana yule dada yake ndo amemuharibu. Nisingekubali kumuona anaendelea kupotea dhambini.... kama angekataa hilo ningemtafutia wataalamu wa saikolojia wampe ushauri wa kisaikolojia ili aweze kujiamini zaidi kuwa anaweza kumpata yeyote bila hata kutumia ushirikina kutokana na jinsi alivyo...Tatizo lake kubwa hapo ni Kutojiamini na Kutojitambua... Ni case ambazo unaweza kuzi solve kisha mkaendelea na uhusiano wenu kama kawaida kama upo serious lakini.. Baada ya kuwa fit kisaikolojia na kujitambua ndipo sasa ningeanza zoezi la kumshawishi aombe Toba kwa Mungu ili asamehewe yote pia avunje maagano na mambo yote ya kishirikina....

Ndo maana nashangaa guts zako wewe mtu amshakuendea kwa waganga eti bado umrudie?? Do u mean wadada wameisha au kwa sababu na wao sio perfect basi na mimi nimkubali tu!???:nono:
 
Uliniuliza hivi...

Nikakujibu hivi...

Ukamalizia hivi...

Ndo maana nashangaa guts zako wewe mtu amshakuendea kwa waganga eti bado umrudie?? Do u mean wadada wameisha au kwa sababu na wao sio perfect basi na mimi nimkubali tu!???:nono:

ila haukunijibu kama do u believe in changes or not.. Nijibu kwanza Ngauti.
 
Mentor na mikasa ya mabinti, Yule wa TAbata umemtembelea Siku za karibuni?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom