Mentor utaoa lini...

Mentor utaoa lini...

Daaaah kulala juu ya kaburi!
Pole sana Mentor! Hivyo ndio dunia ilivyo! Aisee msichana mshirikina ni wakukimbia kabisaa!
 
Last edited by a moderator:
my biggest fantasy ni niwe nimeshtakiwa na hakim ni mwanamke mtamu mtamu hivi lol
usiku wa kusomewa hukumu nifanikiwe kumpata hakimu usiku kucha lol
nimpagawishe vya kutosha
halafu asubuhi nivae vizuuri kwenda kusubuiri hukumu mahakamani with a big smile lol
cc BelindaJacob .....

U r so insiting bro...why..is this one of ur fantasies!??

"Watch your thoughts,They become words, Watch your words, They become deeds, Watch your deeds, They become habits, Watch your habits, They become character, Watch your character, It becomes your destiny!"

hahahahahaha....Cc: BelindaJacob (if u think i have the weirdest fantasies, come meet The Boss )

Nipo curious na hiyo fantasy ya BelindaJacob ..lol

Mkuu Mentor, kwanza pole for what happened to you..endelea kuwepo wepo sana ila usituone wote wabaya!!

Ha ha..I think The Boss ni level nyingine kwa fantasies, damn!! Na wewe Mentor hizo zako si mchezo..ila hata fantasies zangu hatareee, wish mngezijua daah!! ntawaambia soon, stay tuned!!
 
Aaaaah BelindaJacob a.k.a BJ ....mbona watukatia utamu tena..just tell The Boss just one!!!
 
Last edited by a moderator:
Daaaah kulala juu ya kaburi!
Pole sana Mentor! Hivyo ndio dunia ilivyo! Aisee msichana mshirikina ni wakukimbia kabisaa!

Wakili wangu Ruttashobolwa, naomba hiyo line ya mwisho umwambie tena Nicas Mtei maana yeye ashajifanya dr. love kila mwanamke anaona ni wa kubadilisha tu...nina wasiwasi tutampoteza huyu ngauti wangu!

Kama halijakukumba ama hata kusikia story kama hii unaweza kusema ni mchezo wa kuigiza, lakini ukweli hayo mambo yapo sana, wanawake lakini sio wote ni wepesi sana wa kudanganyika kwa mambo ya ajabu na ya kipuuzi sana kama hili.

Pole mkuu, piga moyo konde muombe Mungu wako, tafuta mke wapo wengi pia wazuri wasio na hizo element za kishirikina kama huyo upate kuwa na familia yako.

Sio vema kwa mwanaume kuishi peke yake hata mafundisho ya Mungu yanatuasa hivyo.

Kama wewe ni mkiristu kama alivyokuwa mchumba wako (nesi) angalia Mwanzo 2:21-25, 1 Wakorintho 7:1-5, na mengine kwenye signature yangu hapo chini.

Wapo wengi mkuu ambao wamekwazwa kwa namna moja ama nyingine na wapenzi/wenzi wao kama ilivyotokea kwako na kuamua maamuzi ambayo kwa kweli ni magumu kuyaishi na hasa ukitaka kuishi kulingalina na mapenzi ya Mungu inakuwa mzigo mkubwa.

Pole sana, ila pia endelea kumshukuru Mungu wako kwa kukuepusha na hilo janga ulilopitia, anakupenda sana, anahitaji siku moja umtumikie huenda katika wito huohuo wa ndoa lakini katika njia salama impendezayo yeye mwenyewe.

Usikikate tamaa, ni mapema sana.

Amen mkuu Lyagwa, nimefarijika na maneno yako..
It's my hope many others will read this..

Cc: all singles in JF.
 
Last edited by a moderator:
Dahhhh...... Ndio maana nawaambia jamaa zangu, nitaomba misa kadhaa ili anipe aliye sahihim, haya marangi sijui ya chungwa, mkaa, kunde,... Ni tamaa za kimwili tu. Ee Mungu uwe upande wangu!
 
my biggest fantasy ni niwe nimeshtakiwa na hakim ni mwanamke mtamu mtamu hivi lol
usiku wa kusomewa hukumu nifanikiwe kumpata hakimu usiku kucha lol
nimpagawishe vya kutosha
halafu asubuhi nivae vizuuri kwenda kusubuiri hukumu mahakamani with a big smile lol
cc BelindaJacob .....

ha ha ha ha,,, The Boss
Vipi kama akikushangaza na kuwa 'objective' kesho yake kwenye hukumu?
Unaweza ukapiga kelele mahakama yote ijue...lol
btw inabidi pia ule secretary wake anayetype hukumu manake its likely kuwa wakati unakula mzigo yeye atakuwa busy anamalizia kui-edit.
 
Last edited by a moderator:
..ila hata fantasies zangu hatareee, wish mngezijua daah!! ntawaambia soon, stay tuned!!

Mie tayari nazijua baadhi fantasies zako. Below is just a gist of them. Here we go.

Christian Gray: "Come, I want to show you my playroom."

BelindaJacob: "You want to play on your Xbox?"

Christian Gray laughs very loud, and then says: "No, BelindaJacob, no Xbox, no Playstation. Come."

Christian Gray, producing a key from his pocket, he unlocks yet another door and takes a deep breath. "You can leave anytime. The helicopter is on stand-by to take you whenever you want to go, you can stay the night and go home in the morning. It's fine whatever you decide."

BelindaJacob: "Just open the damn door, Christian."

Christian Gray opens the door and stands back to let BelindaJocob in. She gazes at him once more. She so want to know what's in here. Taking a deep breath she walks in. And it feels like she has time-traveled back to the sixteenth century and the Spanish Inquisition.

Having seen what she saw in the playroom BelindaJacob says: "Holy Fu*k"

Christian Gray replies: "Say something."

BelindaJacob: "Why am I here?"

Christian Gray: "Because I want to do this with you, very much."

BelindaJacob: Holy F*ck!"

Niendelee?
 
Kwa kweli ukiona mtu yuko single na hajali sana, kuna mengi amepitia na kuepushwa, amegundua usalama ni bora zaidi ya starehe za mapenzi!!

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

bila shaka mkuu!.
 
pole sana bro!sasa unatakiwa kuoa achana na hizo za kale.unakosa raha ya NDOA Kama anavyofaudu Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha,,, The Boss
Vipi kama akikushangaza na kuwa 'objective' kesho yake kwenye hukumu?
Unaweza ukapiga kelele mahakama yote ijue...lol
btw inabidi pia ule secretary wake anayetype hukumu manake its likely kuwa wakati unakula mzigo yeye atakuwa busy anamalizia kui-edit.

Hiyo itakuwa the most shocking lol....
au um dissapoint in bed lol
aku punish more lol
 
Mie tayari nazijua baadhi fantasies zako. Below is just a gist of them. Here we go.

Christian Gray: "Come, I want to show you my playroom."

BelindaJacob: "You want to play on your Xbox?"

Christian Gray laughs very loud, and then says: "No, BelindaJacob, no Xbox, no Playstation. Come."

Christian Gray, producing a key from his pocket, he unlocks yet another door and takes a deep breath. "You can leave anytime. The helicopter is on stand-by to take you whenever you want to go, you can stay the night and go home in the morning. It's fine whatever you decide."

BelindaJacob: "Just open the damn door, Christian."

Christian Gray opens the door and stands back to let BelindaJocob in. She gazes at him once more. She so want to know what's in here. Taking a deep breath she walks in. And it feels like she has time-traveled back to the sixteenth century and the Spanish Inquisition.

Having seen what she saw in the playroom BelindaJacob says: "Holy Fu*k"

Christian Gray replies: "Say something."

BelindaJacob: "Why am I here?"

Christian Gray: "Because I want to do this with you, very much."

BelindaJacob: Holy F*ck!"

Niendelee?

endelea ....lol
 
mmmh! whats gooing in here uuuh! The Boss, you want what???
Mentor you are growing up so fast lol! perhaps i am a bad sister that i pumped into your brain soo many staffs uuuh!
 
Last edited by a moderator:
Mie tayari nazijua baadhi fantasies zako. Below is just a gist of them. Here we go.

Christian Gray: "Come, I want to show you my playroom."

BelindaJacob: "You want to play on your Xbox?"

Christian Gray laughs very loud, and then says: "No, BelindaJacob, no Xbox, no Playstation. Come."

Christian Gray, producing a key from his pocket, he unlocks yet another door and takes a deep breath. "You can leave anytime. The helicopter is on stand-by to take you whenever you want to go, you can stay the night and go home in the morning. It's fine whatever you decide."

BelindaJacob: "Just open the damn door, Christian."

Christian Gray opens the door and stands back to let BelindaJocob in. She gazes at him once more. She so want to know what's in here. Taking a deep breath she walks in. And it feels like she has time-traveled back to the sixteenth century and the Spanish Inquisition.

Having seen what she saw in the playroom BelindaJacob says: "Holy Fu*k"

Christian Gray replies: "Say something."

BelindaJacob: "Why am I here?"

Christian Gray: "Because I want to do this with you, very much."

BelindaJacob: Holy F*ck!"

Niendelee?

still waiting lol!
 
ha ha ha ha,,, The Boss
Vipi kama akikushangaza na kuwa 'objective' kesho yake kwenye hukumu?
Unaweza ukapiga kelele mahakama yote ijue...lol
btw inabidi pia ule secretary wake anayetype hukumu manake its likely kuwa wakati unakula mzigo yeye atakuwa busy anamalizia kui-edit.

kyeeri iki nkulalya kabisa foo..........
nkwiifo kukee nsurume ro shoo wa womi............
kwa mpata mwaanya shiruuya lurere kinyoo shoo.
 
Back
Top Bottom