Mentor utaoa lini...

Mentor utaoa lini...

U r so insiting bro...why..is this one of ur fantasies!??

"Watch your thoughts,They become words, Watch your words, They become deeds, Watch your deeds, They become habits, Watch your habits, They become character, Watch your character, It becomes your destiny!"

hahahahahaha....Cc: BelindaJacob (if u think i have the weirdest fantasies, come meet The Boss )


Nipo curious na hiyo fantasy ya BelindaJacob ..lol
 
Last edited by a moderator:
Mentor utaoa lini…
2008, January 28 Jumatatu
Ndo nilikuwa natimiza miaka 26. Kijana mtanashati miaka miwili kazini katika kampuni moja ya vinywaji.
Siku hii bosi wangu alinipa ofa ya a whole crate ya vinywaji..my fellow workers wakaorganize surprise bash for me. Kwa kweli sikuwa nimeitegema kwani birthday yako ikiangukia Jumatatu (kama ya mwaka huu) huwa huna plan yoyote kubwa since unajua the following day ni kazini!

Nilipotoka kazini mshkaji akanipigia simu;
Mike: “Oya Mentor upo wapi?”
Me: “Dah ndo natoka job mtu wangu naenda home tu”
Mike: “Aaah pitia hapa NISIKUONE NA MWANANGU pub bana kuna mshkaji anasema anajua biometric readers vizuri labda anaweza kukusaidia project yako”
Me: “Mh Mike, hatuwezi kutana weekend?”
Mike: “mshkaji mwenyewe si wa kukaa sana ka vipi pitia tu si ndo njia hiyohiyo ya kwenda home mwana?”
Basi bana mbele ya teknolojia? Ikabidi na uchovu wangu nijikongoje hadi pale.


NISIKUONE NA MWANANGU Pub, 1830hrs
Ile naingia tu..nasikia SUUURPRIIISEEE!!! Ndo nikashtuka aaah kumbe its my birthday…I was really surprised kwa kweli but delighted as well...We really drank that night.

Something extraordinary happened…I met a girl.

A very beautiful lady. 23 yrs was her age. A finalist at Muhimbili.

Namimi kwa courage ya birthday boy nikamfuata nikaomba kudance naye. Ofcourse alikubali…haha

Basi kidogo kidogo tukaanza kupiga stori za hapa na pale na hata muziki ulipoisha tukaenda pembeni kuendeleza stori.
Aliniambia kuwa alikuja pale na dada yake ambaye ni co-worker wangu. Basi nikachukua contacts zake tukawa tunaendelea kuwasiliana.

To cut the long story short…
Kidogo kidogo tulizoeana na ilichukua two months tu kuhakikisha amekuwa wangu. Alionesha kunipenda kwa dhati na hata alipomaliza chuo nilimwambia nataka kuanza michakato ya kumfanya awe mke wangu. Alinijibu sentensi ambayo kwa kipindi kile sikulitilia maanani, “Hilo tulishalijua!”

Basi michakato ya kwenda kwao ilianza nikamtumia mshkaji wangu Mike koz alikuwa amenizidi anisaidie kufanya hiyo michakato ifane. Kama kupeleka barua na formalities nyingine.

Nilimvalisha pete (ambayo alisisitiza aichague yeye…kwenye duka specific) na tukawa tunasubiri siku ya harusi tu tuhalalishe mambo.

2010 January 23 Jumamosi
Alikuja kwangu Ijumaa. Tukaenda kuangalia live band ya kina Hamis Mwinjuma…then ikabidi aje kulala kwangu aondoke asubuhi awahi kazini kwani ni nesi na alikuwa zamu siku hiyo.

Basi kwa haraka ya kuwahi job akasahahu simu yake kwangu.
Mida kama ya saa tatu hivi ndo nashtuka kusikia inaita…alikuwa akipiga shoga ake mmoja ivi. Iliita kama mara tatu ikanibidi niipokee tu.

Nikapokea;
Shosti: “We mwanga wa kike nikipiga mimi unajifanya upo na jianaume lako ambalo kama sio mimi usingelipata. Muone kwanza na leo nina maagizo toka kwa mganga wako nimeamua nikuambie kwa mdomo si unajifanya kusoma message hujui! ”

Ilinibidi nikate simu kwa mshtuko…curiosity got the best of me ikanibidi niingie ndani ya simu ambayo kwa muda wote wa mahusiano yetu sikuwahi kuigusa. Nakumbuka kuna kipindi niliishiwa credits ghafla ikabidi nimuombe nimpigie mshkaji akanitaka nitaje namba aandike mwenyewe na nilipomaliza akataka kukata mwenyewe.

Nikazama kwenye messages…
Nilishtuka sana siku ile. Sikujua kama haya mambo bado yapo…ya kwenda kwa waganga? Binti mrembo vile? Na kanisani mbona alikuwa anaenda? Na usomi wake je?..nilijiuliza mambo mengi sana nikakosa jibu..

: kulikuwa na masharti ya kuhakikisha ananipata na ninakuwa mumewe kwa hali yoyote ile
: kulikuwa na masharti ya kuhakikisha anapata pesa kama kuvaa chupi kwa mwezi
:kulikuwa na masharti ya kuendesha gari bila kuvaa chupi
:masharti ya kulala juu ya kaburi (hizi ni siku aliniambia anaenda safari za kikazi)

I have been single since then…

Wasalaam wapendwa,
Mentor.

ndo maana mpaka leo hujaoa kaka mkubwa pole zako ndo wadaa wa mjini hao hata JF wamo pia..
 
au kumpiga doggystyle trafic wa kike na uniform zake kwenye majani majani lol

Haahahaha..u r worse than I thought bro!

ha ha ha..
you are a great story teller Mentor!
ndiyo mambo ya mjini haya lakini...
siku hizi waoaji wamekuwa wachache kwa hivo wadada wanapata stress

At her age? Nimeshazoea kusikia wale waliofika 30's ndo wanakuwa desperate...bt anyway...bado nipo nipo sana bro!!!
 
Haahahaha..u r worse than I thought bro!



At her age? Nimeshazoea kusikia wale waliofika 30's ndo wanakuwa desperate...bt anyway...bado nipo nipo sana bro!!!


my biggest fantasy ni niwe nimeshtakiwa na hakim ni mwanamke mtamu mtamu hivi lol
usiku wa kusomewa hukumu nifanikiwe kumpata hakimu usiku kucha lol
nimpagawishe vya kutosha
halafu asubuhi nivae vizuuri kwenda kusubuiri hukumu mahakamani with a big smile lol
cc BelindaJacob .....
 
Last edited by a moderator:
Nipo curious na hiyo fantasy ya BelindaJacob ..lol

Ask her...she is WILD...!!!!


:sorry::sorry::sorry::sorry::mimba::mimba::mimba::mimba::mimba::mimba::mimba::mimba::mimba::mimba::mimba:

If you weren't :mimba:, would you? hehehe..
Cc: Ngauti Nicas Mtei


ndo maana mpaka leo hujaoa kaka mkubwa pole zako ndo wadaa wa mjini hao hata JF wamo pia..

Aa..kumbe??:A S 39:

Unaongea from experience ama speculation?
 
Last edited by a moderator:
my biggest fantasy ni niwe nimeshtakiwa na hakim ni mwanamke mtamu mtamu hivi lol
usiku wa kusomewa hukumu nifanikiwe kumpata hakimu usiku kucha lol
nimpagawishe vya kutosha
halafu asubuhi nivae vizuuri kwenda kusubuiri hukumu mahakamani with a big smile lol
cc BelindaJacob .....

Cc: Asnam a.k.a Millen Magese wa JF:yo:
 
Last edited by a moderator:
Pole wangu kwa masahibwa yaliyokukuta mbona hukuniambia kuwa ulipitia hayo mambo? hee inabidi umwombe Mungu sana kwani umeshafungwa na huyo mdada na ndomana troubles zinapatikana sikuelewa mie heee! mweee! malafyale mma po ndisi lelo
Dada Kaunga , uyasemayo ni kweli ila si unajua Uking'atwa na nyoka siku ukiona mjusi tu unakimbia?

Tatizo kubwa akilini mwangu ni, binti huyu alikosa nini? maana bila uchawi she is beautiful, smart na ana kazi nzuri tu kwenye hospital yenye kumpa experience ya kutosha. Nini hasa kilichompelekea kutafuta waganga? plus she was too young kuanza hayo mambo.




Bwana Open-Minded, hahaha..kama da Kaunga alivyosema hapo juu, sio wote but kweli Uombe sana..wangu hadi kanisani alienda...siaminigi mpaka kesho!
 
Mkuu Mentor pole sana.
Pia najua utapata pm za sympath za kutosha, kwani hii nayo ni mbinu ya kutafuta mchumba kiaina.
 
Last edited by a moderator:
aiseeeeeeeeeeeeeeeee... Kweli dunia ina mambo

Ngauti, ndo yaliyonitokea mwenzio kabla sijakutana na mdogo wake Nivea ndo najifunza kusahau now...

Nimeipenda hii,
"Being deeply loved by someone gives you strength, while loving someone deeply gives you courage."
 
Last edited by a moderator:
Ngauti, ndo yaliyonitokea mwenzio kabla sijakutana na mdogo wake Nivea ndo najifunza kusahau now...

Nimeipenda hii,
"Being deeply loved by someone gives you strength, while loving someone deeply gives you courage."

Ngauti kwa hiyo uliamua kumuacha huyo dada bila hata kumpeleka kwa watumishi wa Mungu wamfanyie maombi?
 
Pole wangu kwa masahibwa yaliyokukuta mbona hukuniambia kuwa ulipitia hayo mambo? hee inabidi umwombe Mungu sana kwani umeshafungwa na huyo mdada na ndomana troubles zinapatikana sikuelewa mie heee! mweee! malafyale mma po ndisi lelo

Taratibu mamii..ndo nini hicho umeandika??

Mkuu Mentor pole sana.
Pia najua utapata pm za sympath za kutosha, kwani hii nayo ni mbinu ya kutafuta mchumba kiaina.

Hahahah KakaJambazi, unataka nizi-divert kwako!??
 
Last edited by a moderator:
Ngauti kwa hiyo uliamua kumuacha huyo dada bila hata kumpeleka kwa watumishi wa Mungu wamfanyie maombi?

Haaaaa Ngauti, kirahisi hivyo?

aisee nilimuombea tu ila kuanzia ile siku sijawahi hata kusikia sauti yake...nilichoma moto kila kilichokuwa chake, nilihama nyumba mwisho wa mwezi na sijawahi mtia machoni since then!!!


Do u mean to tell me wewe ungekuwa na guts za kuongea naye bado let alone kuona sura yake???:nono:
 
Some girls would do about anything to get a man!

Is it to get a man? or it depends with the man?
isit about those girls or its about some guys with some kind of attractions?
 
Haaaaa Ngauti, kirahisi hivyo?

aisee nilimuombea tu ila kuanzia ile siku sijawahi hata kusikia sauti yake...nilichoma moto kila kilichokuwa chake, nilihama nyumba mwisho wa mwezi na sijawahi mtia machoni since then!!!


Do u mean to tell me wewe ungekuwa na guts za kuongea naye bado let alone kuona sura yake???:nono:

Sure Ngauti mimi ningejitahidi kumpeleka walau akafanyiwe maombi kwa imani ya dini yake ili aachane na hayo mambo ya ushirikina, na inaonekana yule dada yake ndo amemuharibu. Nisingekubali kumuona anaendelea kupotea dhambini.... kama angekataa hilo ningemtafutia wataalamu wa saikolojia wampe ushauri wa kisaikolojia ili aweze kujiamini zaidi kuwa anaweza kumpata yeyote bila hata kutumia ushirikina kutokana na jinsi alivyo...Tatizo lake kubwa hapo ni Kutojiamini na Kutojitambua... Ni case ambazo unaweza kuzi solve kisha mkaendelea na uhusiano wenu kama kawaida kama upo serious lakini.. Baada ya kuwa fit kisaikolojia na kujitambua ndipo sasa ningeanza zoezi la kumshawishi aombe Toba kwa Mungu ili asamehewe yote pia avunje maagano na mambo yote ya kishirikina....
 
Back
Top Bottom