Mentor utaoa lini...

Mentor utaoa lini...

Si amekwambia watu wanabadilika hivyo urudi tena, mwambie yeye ndio amzukie, huenda roho amemtuma kwa huyo mdada ulomkimbia ili ndio awe mkewe. Itabidi utoe ushirikiano wa kutoa ramani ya anapopatikana huyu mdada

Hahahaha na kweli ila nakumbuka jina tu I....P....L.... Kaka Nicas Mtei labda vitakusaidia.

I wonder if enzi za wazazi wetu mambo kama haya yalikuepo,kama hayakuwepo najiuliza ni nini kimesababisha yawepo siku hizi????....kwakweli hamna usalama tena humu duniani maana mitego ya shetani ipo kila mahali..God help us!!!

Kwa kweli na mimi sijui...but whether nitampata mwingine au sitompata..ubavuni mwa Mungu wangu sitoki aisee...the world is scarry being alone out there!!!

Ndio maana wengi wakiwa kwenye vikao vya kazini awana kufuli sehemu husika

Mh! hayo umeyajuaje tena mkuu!?? Nyie ndo wale wa kuangusha kalamu kila baada ya dk moja nini? Na enzi hizi za dijitali za kutumia laptops na iPads umekomaje??

ha ha ha unajizibia ujue???????

Kwa?

Duh, story tam tam mwanzo. Ila mwishoni imenikata maini. Pole sana Mentor, ila utajampata kimwana mwingine.

"Nikimpataa, milele nitafurahi nitaimba nampenda hadi mwisho wa uhai..."
 
Last edited by a moderator:
Mentor ndugu yangu mimi naona hakuna haja ya kubaki single... Kuna mmoja humu yeye neno kuboost haliko kwenye her dictionary you better go for her no kuboost kabisa

Please...name please...am waiting...
A%20S%2039.gif

:tape2::shut-mouth:
:yo:

Dada snowhite, shikamoo!!!
 
Last edited by a moderator:
Please...name please...am waiting...
A%20S%2039.gif



Dada snowhite, shikamoo!!!
naona leo umeamua kufanya watu waseme nasties zao!ahahahahhahhaha
mi imebid nivue tuu kofia yangu ya juu ya jiwe huku mbwa wa polisi wanabweka hata siiweki hapa!
wasije wakanidesa bure!
 
Hahaa..story nzuri lkn siamini!!! Wasichana wa siku hizi walivo makini eti asahau cm!! Acha fiksi..unataka kufurahisha baraza!!
 
Blessed is the woman who will benefit from this statement

One :A S-heart-2:

naona leo umeamua kufanya watu waseme nasties zao!ahahahahhahhaha
mi imebid nivue tuu kofia yangu ya juu ya jiwe huku mbwa wa polisi wanabweka hata siiweki hapa!
wasije wakanidesa bure!

Dada snowhite, sema neno mdogo wako nifarijike.

Hahaa..story nzuri lkn siamini!!! Wasichana wa siku hizi walivo makini eti asahau cm!! Acha fiksi..unataka kufurahisha baraza!!

Aunty, at least umekubali mnaendaga huko na elimu zenu na urembo wenu..sijui huyo mganga ana nini cha kuwadanganyia!

Again, I really wish i could mention names but it really happenned...why, it still happens namjua mdada aliyemwendea mumewe kwa mganga, anayetaka kumwua baba yake kisa pesa, anayevalishwa chupi miezi minne kisa masharti ya mganga...jiulize nimejuaje.

But yet again huyo aliacha simu 2010 so maybe sio hawa wa siku hizi...
Mrembo by Nature come console me again...aunty ananiambia bado wapo ila wa siku hizi hawasahau simu..NITAPONA KWELI??:crying::crying::crying:

Cc: Ngauti
Nicas Mtei
 
Hahahahahah.... Mentor..... This is the thread of the decade....

Badala ya kusikitika nimejikuta nnacheka.... Dah!

Hahahahahahahaaaaaaaaaa........... Heheheheheheheheheeee!

I Love you Mama Matesha wangu!!
 
Last edited by a moderator:
mhhh mfariji wa kweli ni Mungu tu wengine sie waongeaji tu .....

Ni kweli ila alituweka na sisi binadamu ili tuwe His messengers kwenye ku-relay that consolation my dia!:crying:

Hahahahahah.... Mentor..... This is the thread of the decade....

Badala ya kusikitika nimejikuta nnacheka.... Dah!

Hahahahahahahaaaaaaaaaa........... Heheheheheheheheheeee!

I Love you Mama Matesha wangu!!

Babu Asprin, unacheka? really? why? but why?
I envy u kwa kweli na bibi Matesha...sijui kama tutakuja kuoa wajukuu zako sie!!!:crying::crying::crying:
 
Last edited by a moderator:
Hee!! Nyie vipi tena? Tusubiri go ahead kwanza kutoka kwa mhusika.

hahhaahahhah! kwani hujui mashabiki wa nguvu kuliko hata wachezaji??
huoni yanayoendelea kwenye vilabu vya michezo duniani??
 
  • Thanks
Reactions: EMT
hee jamani! hata kukupa hiyo pole nimekupea basi tu kwa huruma niliyonayo na jinsi ulivyonifanyia wewe, ila wanaume mmezidi ndo huyo mdada amekukomesha kisawasawa
 
Mkimbilie Yesu utapona ukiendelea kubaki huko watakutoa hata roho yako kiaina ili waaipeleke Freemason utajuta kuzaliwa sijui mama yako ataliaje na mm Ladyfurahia sijui nitaliaje kwani ntakuwa nimekupoteza, isakujonga kumwanya
One :A S-heart-2: Dada snowhite, sema neno mdogo wako nifarijike. Aunty, at least umekubali mnaendaga huko na elimu zenu na urembo wenu..sijui huyo mganga ana nini cha kuwadanganyia! Again, I really wish i could mention names but it really happenned...why, it still happens namjua mdada aliyemwendea mumewe kwa mganga, anayetaka kumwua baba yake kisa pesa, anayevalishwa chupi miezi minne kisa masharti ya mganga...jiulize nimejuaje. But yet again huyo aliacha simu 2010 so maybe sio hawa wa siku hizi... Mrembo by Nature come console me again...aunty ananiambia bado wapo ila wa siku hizi hawasahau simu..NITAPONA KWELI??:crying::crying::crying: Cc: Ngauti Nicas Mtei
 
hahhaahahhah! kwani hujui mashabiki wa nguvu kuliko hata wachezaji??
huoni yanayoendelea kwenye vilabu vya michezo duniani??

Message za mashabiki huwa zinashia kwenye mapost tuu kama kwenye picha. Lakini mtu mzima wala hatetereki.

article-0-026200A600000514-69_468x286.jpg
 
Ni kweli ila alituweka na sisi binadamu ili tuwe His messengers kwenye ku-relay that consolation my dia!:crying:

Haya chagua unataka faraja ya aina gani? mistari ya kwenye chuo cha Mungu, mistari ya kidunia/si ya chuo cha muumba, maneno yangu tu?
 
Back
Top Bottom