Mentor utaoa lini...

Mentor utaoa lini...

utakae mpata/ atakae kupata.....i hope atakuwa na bahati sana kama hauta apply ile ya ".....sijui umeumeumwa na nyoka ukikanyaga jani unashtuka"mi nakuombea umpate mwema mwenye mapenzi ya kweli.

Nami namshukuru Mola kwa kukupata!!!
 
Last edited by a moderator:
Uliandika hivi baada ya kukuambia Nicas Mtei alitaka nikae naye bado..



Ndiyo maana nikakuita..baada ya post yake ya mwisho..isome uone..

Si amekwambia watu wanabadilika hivyo urudi tena, mwambie yeye ndio amzukie, huenda roho amemtuma kwa huyo mdada ulomkimbia ili ndio awe mkewe. Itabidi utoe ushirikiano wa kutoa ramani ya anapopatikana huyu mdada
 
I wonder if enzi za wazazi wetu mambo kama haya yalikuepo,kama hayakuwepo najiuliza ni nini kimesababisha yawepo siku hizi????....kwakweli hamna usalama tena humu duniani maana mitego ya shetani ipo kila mahali..God help us!!!
 
Ndio maana wengi wakiwa kwenye vikao vya kazini awana kufuli sehemu husika
 
Back
Top Bottom