Mengi yazidi kuibuka kuhusu Nyalandu

Mengi yazidi kuibuka kuhusu Nyalandu

Kwa hiyo kwa kifupi majangili yametungua majangili wenzao ndani ya helikopta duuu pole sana mr tanzania kazi unayo
 
Dah, ndio maana jamaa alikuwa na uwezo wa kwenda kutumbua majipu mabichi ya vimwana huko majuu
 
WanaJF,

Heri ya Mwaka mpya.

Manyerere Jackton na Balile pamoja na timu nzima ya jamhuri mnafanya kazi yenu vizuri.Hii ndio inaitwa investigative journalism(Uandishi wa Kiuchunguzi) sio wale wambea wengine wanajiitawaandishi wa habari za kiuchunguzi

BTW: Sasa inabidi Nyalandu atoke hadharani aeleze ukweli.Serikali nayo ichukue hatua za kisheria baada ya uchunguzi

Hivi kweli mtu anaweza kuwa waziri wa jamhuri ya muungano na kufanya mambo yasiyo ya kizaelendo tena ambayo ni ya kuhujumu uchumi na pia kuhatarisha usalama wa taifa kiasi hiki bila Idara ya usalama kujua na kuchukua hatua muafaka?

Huu mstari unamhusu Mbunge wa Ubungo?

Serikali 3 zilizopita hazikuwa kwa ajili ya wananchi, usalama wa taifa walikuwa wanafanya kazi kuwalinda jamaa.
 
No, Unahusu Waandishi uchwara wa habari za kimajungu mistaken Habari za kiuchunguzi tu.
 
Nakubaliana na wewe Ben Saanane.

Hata Mhe. Rais amepongeza aina hii ya uandishi na inaisaidia pia Serikali kwa namna moja au nyingine hasa katika kipindi hiki cha vita dhidi ya UFISADI. Natamani na magazeti mengine yangejikita ktk aina hii ya uandishi Wa habari.

Big up Jamhuri

Queen Esther

WanaJF,

Heri ya Mwaka mpya.

Manyerere Jackton na Balile pamoja na timu nzima ya jamhuri mnafanya kazi yenu vizuri.Hii ndio inaitwa investigative journalism(Uandishi wa Kiuchunguzi) sio wale wambea wengine wanajiitawaandishi wa habari za kiuchunguzi

BTW: Sasa inabidi Nyalandu atoke hadharani aeleze ukweli.Serikali nayo ichukue hatua za kisheria baada ya uchunguzi

Hivi kweli mtu anaweza kuwa waziri wa jamhuri ya muungano na kufanya mambo yasiyo ya kizaelendo tena ambayo ni ya kuhujumu uchumi na pia kuhatarisha usalama wa taifa kiasi hiki bila Idara ya usalama kujua na kuchukua hatua muafaka?
 
Haya ndio magazeti ya kununua, sio Mwanahalisi kila siku kutunga u mbeya wa kisiasa kwa wapinzani wao.
 
WanaJF,

Heri ya Mwaka mpya.

Manyerere Jackton na Balile pamoja na timu nzima ya jamhuri mnafanya kazi yenu vizuri.Hii ndio inaitwa investigative journalism(Uandishi wa Kiuchunguzi) sio wale wambea wengine wanajiitawaandishi wa habari za kiuchunguzi

BTW: Sasa inabidi Nyalandu atoke hadharani aeleze ukweli.Serikali nayo ichukue hatua za kisheria baada ya uchunguzi

Hivi kweli mtu anaweza kuwa waziri wa jamhuri ya muungano na kufanya mambo yasiyo ya kizaelendo tena ambayo ni ya kuhujumu uchumi na pia kuhatarisha usalama wa taifa kiasi hiki bila Idara ya usalama kujua na kuchukua hatua muafaka?

Mpaka atoke wakati wanaandika kulikuwa kuna ubaya gani kumconsult mtu ili kubalance habari ijapokuwa umewasifia kwa kazi nzuri lakini bado hawakutimiza wajibu wao ipasavyo haki na wajibu ni muhimu wakati wote. Hata humu JF tungewaachia nyie tu hamna record za kutenda haki ndio tatizo sio kila wakati uwafurahishe watu, wakati mwengine na ukweli usemwe kesho hawa unaowasifia utasikia wanagombea katika vyama vya siasa lakini leo unawaona waandishi wa habari.
 
Wewe Nyalandu wewe, si tullikua wote kwenye UKWATA -Taifa wewe? Mrudie MUNGU wako aiseee, sikuhukumu bali nakukumbusha tu juu ya maandiko haya.

Tena Rais wa UKWATA Taifa! Binafsi nilitegemea angekuja kuwa askofu kwa unyenyekevu ule aliokuwa nao. Kumbe ilikuwa gia ya kuruka Marekani. State ikamloga mazima. Aliporudi akawa anakimbizana na totoz na ufisadi.
 
Yes alikua Rais wa UKWATA-Taifa hahhhahhahahaa aiasee huwa baadhi ya Wapendwa wanapotelea wapi baada ya kumaliza shule/vyuo?
 
Katika hatua nyingine, mambo mapya yameibuka kuhusu kampuni ya Kimarekani ya Friedkin Conservation Fund (FCF) ambayo majangili walidungua helikopta yake mwezi uliopita na kusababisha kifo cha rubani raia wa Uingereza, Roger Gower.

The Friedkin Conservation Fund of Tanzania (FCF) was established for the purpose of conserving more than 6.1 million acres of Tanzania’s protected wildlife areas. In order to achieve this objective, they operate anti-poaching operations working closely with the Wildlife Division of Tanzania. FCF also sponsors innovative community development projects and manages a Geographic Information System (GIS) for mapping and research to compliment the anti-poaching initiative. Friedkin Conservation Fund (“FCF”) operates as two separate but related entities – one is a Texas based nonprofit corporation that is registered as a 501(c)(3) entity in the United States, the other is known as “The Friedkin Conservation Fund of Tanzania” and is set up in Tanzania as a charitable Trust.

Location

Tanzania

Contact

Email: info@friedkinfund.org

Website: friedkinfund.org
 
Jamuhuri limekuwa gazeti la habari za kiuchunguzi hongera sana balile na manyerere najua katika waandishi wanaoipigania Tanzania mpya mnaongoza
 
WanaJF,

Heri ya Mwaka mpya.

Manyerere Jackton na Balile pamoja na timu nzima ya jamhuri mnafanya kazi yenu vizuri.Hii ndio inaitwa investigative journalism(Uandishi wa Kiuchunguzi) sio wale wambea wengine wanajiitawaandishi wa habari za kiuchunguzi

BTW: Sasa inabidi Nyalandu atoke hadharani aeleze ukweli.Serikali nayo ichukue hatua za kisheria baada ya uchunguzi

Hivi kweli mtu anaweza kuwa waziri wa jamhuri ya muungano na kufanya mambo yasiyo ya kizaelendo tena ambayo ni ya kuhujumu uchumi na pia kuhatarisha usalama wa taifa kiasi hiki bila Idara ya usalama kujua na kuchukua hatua muafaka?
Bluu: Ahsante na ewe pia.
Red: Hivi 'bifu' na hao jamaa hamjalimaliza? Ebu jenga chama...acheni 'figisufigisu' zenu vinginevyo...2020...kura za u-rais mlizopata 2015 zinaweza kushuka kwa kiwango cha kutisha.
 
Ukisoma hizi taarifa za majipu kila siku unabaki kuuzunika nani anachagua watu kama hawa hata ubunge,anyway waafrika ndio tunaitwa ma coward na trump
 
Back
Top Bottom