Mengi (WATANZANIA) Vs Prof. Muhongo (WAWEKEZAJI)

Mengi (WATANZANIA) Vs Prof. Muhongo (WAWEKEZAJI)

HIVI NIULIZE WAZIRI ANAPOSEMA 70% YA MINING CONCESSIONS ANA MAANA GANI KUWA 70% YA MINING RESOURCE UNDER CONTROL OF THE INDIGENOUS PEOPLE AU ANAMAANISHA NINI. KAMA 70% YA RASLIMALI MADINI ZINAZOCHIMBWA ZIPO CHINI YA WAZAWA NINA IMANI TUNGEKUWA MBALI SANA . LAKIN WAZIRI ANACHEZA NA AKILI ZA WATU TUNACHOTAKA NI SEHEMU YA MAPATO INACHUKULIWA NA WAZAWA NA SIO WATU SABIN KATIKA MIA WENYE UWEZO WA KUCHIMBA MADINI ANAYOCHIMBA TAJIRI 1 KUTOKA KUNDI LA 30% mUHONGO HIYO HESABU NI YA WAPI?

Ninamashaka Sana na taarifa. Baba aliniambiaga hivi.....ukitaka kuamini wa hata Kwenye jambo la UONGO ambalo unajua watu hawataka kuwa na data za kweli kwa mda Hugo....BASI ONGEA KWA KUJIAMINI SANA NAO WATAKUAMINI TU KWA UONGO WAKO.
 
Mengi bana.

Mengi akisema wazawa anamaanisha Bakhresa, Mengi, Dewji, Mufuruki,Rostam etc

Hivyo vitalu hata wakisema ruksa mtanzania kuwekeza mimi maundumula kitalu ntakipata wapi?

Hivi kwanini hatushupalii mambo ya msing ambayo yanaweza kutuletea tija sisi wananchi kama mambo yanayohusu elimu, afya bora kwa wakina mama wajawazito, uzazi wa mpango nk mambo ambayo nilitegemea mtu kama mengi ndio angeamua kuyavalia njuga.
mkuu umenena halafu hawa wawekezaji uchwara kina mengi na wenzie mbona hawawekezi kwenye matayizo ya msingi kama mahospitali,vyuo vya utabibu wao nikutafuta mianya ya wizi tu Mengi mzalendo gani anatoa mshahara mbuzi kwa wafanyakzi wake yeye anaingiza billioni of money charity begin at home.
 
Muhongo yeye aongeze parcent za mirahaba kwenye madini yanayochimbwa na wageni.
 
Hii ni debate nzuri. Ila angalizo ni kuwa tusijadili watu tujadili hoja zao. Wote wawili hoja zao zina mashiko. Maana huwezi ukawa na sustainable development katika nchi pasipo kuwashirikisha wazawa katika kumiliki raslimali za nchi zilizopo, lakini pia katika dunia ya leo huwezi kujitosheleza kwa kila kitu pasipo kuwa na wawekezaji kutoka nje ambao watawekeza either ktk mtaji, utaalamu n.k. kikubwa ambacho tunapaswa kujadili ni namna gani haya makundi mawili yatashirikishwa na kusimamiwa katika kuvuna raslimali ya nchi kwa ajili ya kuleta maendeleo kwa wananchi wote. Maana inawezekana kabisa hata kama wazawa wakimilikishwa raslimali zote za nchi kama hakuna usimamizi mzuri wananchi walio wengi wanaweza wasifaidi na badala yake wakanufaika watu walio wachache, lakini pia hali inaweza kudumaza ukuaji wa uchumi.
 
Wewe unafanyia nipashe au redio one tunajua anakupa ugari huwezi kumpinga endelea na mzee wako.

mijitu mingine bwana, yani yenyewe inawaza vyama hata katika mambo ya msingi. kwa hyo we kuitwa muuza juisi limekufurahisha. unatetewa ----- wewe amka.
 
akili za kuambiwa changanya na zako toka lini bepari akatetea wanyonge.
Huu sasa ni upambavu kwa kutoiheshimu elimu na wanazuoni wetu.
endeleani watazamaji tunazidi kupata faida.
 
"kwenye red "HIVI HUYU MZEE naomba mnikumbushe alisomeawapi hiyo PHD ? na ok hata kama anayo aliipatapata vipi ? kwakuwasaidia walemavu na kuwalisha maskini ? waliompahawakumuona SABODO? aliyeamua kuchimba visima 100 nchi nzima ? hebu huyu anayepiganiamaslahi ya watanznia atueleze ametoa mchongo gani katikakuwalinda tembo wetu kwanza !ametoaamchongo gani katika kuitangaza bandari ya dar es salaam ?.waongo mwisho wao ni aibu tu. huyu mzee si ndo yule aliyezaa watoto mapacha hivi karibuni akawapeleka nje ya nchi !?. usafi wa MENGI unatia shaka kabisa ...
Kama unatilia shaka mchango wa Dr. Mengi kwa jamii yetu ambayo inatambuliwa hata nje ya nchi basi lazima unamatatizo ya akili! gharama za kwenda kuwatibia wagonjwa wa moyo nje ya nchi unajua ni kiasi gani? kusomesha watoto mamia kwa maelfu unadhani ni kazi rahisi? hao wenye kutupa Condom na Vyandarua vyenye dawa za uzazi wa mpango na canser kwa msaada wa watu wamarekani in exchange of our Gold, Uranium, Tanzanite, Gas, Vipusa, TANESCO na wanajeshi wetu kutumiwa kubaka rasilimali za nchi jirani!
 
Kutokana na upeo wako mdogo wakufikiri ndio unaona hvyo ila kwa wale tunao mfahamu Mengi tunajua anatetea maslahi ya watanzania juu ya umilikaji wa rasilimali za taifa.
zimwi likujualo halikuli likakwisha! hata kama mengi atakuwa na maslahi binasfi ukweli ni kwamba mchango wake kwa watanzania unaonekana moja kwa moja!
 
CCM kuacha misingi yake na badala yake kufanya kazi ya ukuhadi wa Rasilimali za Watanzania inathibitisha kauli ya P.W. Botha kwamba sisi watu weusi ni inferior na hakuna tunachokiweza! Weare not obliged even the least to try to prove to anybody and to the Blacksthat we are superior people. We have demonstrated that to the Blacks in athousand and one ways.

... The fact that,Blacks look like human beings and act like human beings do not necessarily makethem sensible human beings. Hedgehogs are not porcupines and lizards are notcrocodiles simply because they look alike. If God wanted us to be equal to theBlacks, he would have created us all of a uniform colour and intellect....( bado hatujiulizi kwanini sisi akina maganga humfurahia mzungu ama mhindi akitajirika lakini maganga mwenzio akitajirika tunakereka kupitiliza?Bora vitalu wapewe wazungu!!!???)

Nevertheless, it is comforting to know that behind the scenes, Europe,America, Canada, Australia-and all others are behind us in spite of what theysay. For diplomatic relations, we all know what language should be used andwhere. To prove my point, Comrades, does anyone of you know a White countrywithout an investment or interest in South Africa? Who buys our gold? Who buysour diamonds? Who trades with us? Who is helping us develop other nuclearweapon? The very truth is that we are their people and they are our people.It's a big secret. The strength of our economy is backed by America, Britain,Germany. It is our strong conviction, therefore, that the Black is the rawmaterial for the White man. (Unahitaji akili gani ya ziada kujua kuwa wasomi wetu prof Mugongo, Makamba Jr, Chenge, B.W. Mkapa, Rostam, Ballali, Ndullu, Werema, Apson, Mboma, Motto Mubanga, Zitto, Mpungwe, Prof. Anna Tibaijuka,Pinda et al wanatumika kama malighafi ya kukwapua rasilimali zetu! Haiingii akilini eti prof mzima anang'ang'ania kuwa rasilimali zetu zimilikiwe na wageni kwa 100%, kwanini hisa zisiwekwe pale DSE watanzania tununue? Kwanini fedha zitokanazo na mauzo ya madini yetu hayapitii kwenye mabenk ya hapa kwetu yatumike kukuza mitaji?kwanini sera za madini, fedha na sasa gesi wanatuandikia WB na IMF? P.W. Botha yuko sahihi kwa 100%)


By now every one of us has seen it practically that the Blacks cannot rulethemselves. Give them guns and they will kill each other. They are good innothing else but making noise, dancing, marrying many wives and indulging insex. (Utafiri alikuwa anamuona Mwigulu Nchemba, Nchimbi, Pinda et al)
Let us all accept that the Black man is the symbol of poverty, mentalinferiority, laziness (Miaka 50 ya Uhuru, CCM wamethibitisha kwa vitendo kauli hii; Umasikini unazidi kushamiri wakati Mwenyeezi Mungu ametupa utajiri wa kila aina, hakuna wa kupinga jambo la kipuuzi ilimradi tu kasema mzungu!, Mawaziri mizigo wa CCM ni 99.99% ) Ukweli Mchungu lakini kwa haya yanayotokea sasa, Blacks wote tunatakiwa kumuomba msamaha P.W.Botha... Alikuwa mkweli kwa 100%...
 
Hii ni debate nzuri. Ila angalizo ni kuwa tusijadili watu tujadili hoja zao. Wote wawili hoja zao zina mashiko. Maana huwezi ukawa na sustainable development katika nchi pasipo kuwashirikisha wazawa katika kumiliki raslimali za nchi zilizopo, lakini pia katika dunia ya leo huwezi kujitosheleza kwa kila kitu pasipo kuwa na wawekezaji kutoka nje ambao watawekeza either ktk mtaji, utaalamu n.k. kikubwa ambacho tunapaswa kujadili ni namna gani haya makundi mawili yatashirikishwa na kusimamiwa katika kuvuna raslimali ya nchi kwa ajili ya kuleta maendeleo kwa wananchi wote....
Pex, Hope umewahi kumsikia Mkapa akilalamika kuwa wazungu walimdanganya kuwa akibinafsisha viwanda na mashirika ya umma wao wataingiza mitaji pamoja na technolojia! Mpaka anatoka amadarakani hakuona hayo yakifanyika bali aliona utoroshwaji mkubwa wa mitaji kwenda nje (Capital Flight). Wazungu hawaaminiki na hawakuwahi kuaminika maana hadi kwenye katiba yao wanasisitiza maslahi ya nchi yao lazima yawe mbele! states urgencies zote wanaziendesha kwa remote, TPDC sijui STAMICO wanategemea fedha za uendeshaji kutoka kwa hawa hawa wawekezaji! Huoni kuwa ni conflict of interest? kwanini tusiamini kuwa kuna watu wemepenyezwa kuhujumu TANESCO, TPDC, STAMICO, BOT, TRA nk?...Suala la muda tu...yote yatakuwa hadharani soon...
 
Kama ni kweli kuwa JK tayari analist ndefu ya mawaziri walioidhinishwa na CIA basi we are done... tutegemee akina Prof. Muhongo wengi zaidi...
 
Kutokana na upeo wako mdogo wakufikiri ndio unaona hvyo ila kwa wale tunao mfahamu Mengi tunajua anatetea maslahi ya watanzania juu ya umilikaji wa rasilimali za taifa.

Maslahi gani wewe? Angeanza na mishahara mizuri kwa wafanyakazi wa IPP kwanza kabla ya kutetea maslahi ya watanzania wote. Kila siku ugomvi yeye tu?
 
Hiyo conflict of interest inayo attract interest za wananchi waliowengi inaubaya gani? wewe kama wewe Kasheshe hupendelei wananchi wamiliki Rasilimali zao Dhahabu na Gesi?...

Kumiliki kuna taratibu zake, zimewekwa wazi hakuna kificho. Hata kama huna uwezo umiliki tu? Si aliambiwa aende wizarani akachukue fomu, kashindwa nini? Acheni siasa...
 
Mkuu mjepo, jaribu kujiongeza japo kidogo tu, au wewe ni robot? wameformat brain yako?... nikweli kuwa huoni hatari kwa rasilimali zetu kumilikiwa na wageni?

Umewahi hata kusoma huo utaratibu wa kumilikiwa na wageni uko vipi? Hivi hao wageni watakuwa wanamiliki asilimia ngapi na asilimia ngapi itamilikiwa na serikali? Ukishakuwa obsessed na siasa ni tatizo kweli, you don't think!
 
Mengi mbinafsi , Mhongo hana shida kabisa ni mtetezi wa wa watanzania kabisa , ingia kwemye website ya Wizara angalia Leseni za Mengi utaziona zilivyo nyingi , eti anatudanganya kuwa ana leseni moja sasa tunaianika website mzione leseni atoe usanii wake asidhani watanzania wajinga, anapenda kujilimbikizia.
Muhongo anawatetea watanzania? au unamaanisha Tanzania ilishauzwa na kuna wamiliki wapya wazungu so Prof. Muhongo anawatetea?...Funguka mkuu tukusome vema, epuka matumizi ya lugha za viashiria na mizunguko...
 
Mkuu mbona unapotoka? Mtu mchafu kama Muhongo atachafuliwa vipi wakati mchafu tayari? data zake za uongo, kuwanyima watanzania haki ya kumiliki rasilimali zao kwako si uchafu? kuukana uraia wake na baadae kurudi kama mamluki kwaajili ya kuwatumikia mabwana zake Ballali Style kwako si uchafu?...

CORRECTION, Watanzania hawakunyimwa haki waliambiwa MWENYE UWEZO aende wizarani kuomba kitalu.
 
Umewahi hata kusoma huo utaratibu wa kumilikiwa na wageni uko vipi? Hivi hao wageni watakuwa wanamiliki asilimia ngapi na asilimia ngapi itamilikiwa na serikali? Ukishakuwa obsessed na siasa ni tatizo kweli, you don't think!
Bado hujamsaidia hujatusaidia Mkuu, Tuwekee huo utaratibu maana kwenye taarifa ya mengi ameonyesha kuwa vitalu vya Gesi kuanzia kaskazini Tanga mpaka mtwara wenye leseni ni Wageni! Ndiyo maana akatoa angalizo kuwa USALAMA WA NCHI uko hatarini..
 
Back
Top Bottom