Mengi (WATANZANIA) Vs Prof. Muhongo (WAWEKEZAJI)

Unang'ang'ania uzalendo tu,hautaki ukweli, hebu we niambie ni mzalendo gani anayeweza kuwekeza kwenye mradi wa gesi na akafanya biashara hiyo na mataifa makubwa nje ya nchi?

Labda udalali kama aliotaka kuufanya Mengi...
 
CORRECTION, Watanzania hawakunyimwa haki waliambiwa MWENYE UWEZO aende wizarani kuomba kitalu.
Duniani kote vigezo na masharti kati ya wazawa na wageni huwa haziko sawa! Wazawa hupewa vipaumbele na uwezeshwaji wa kutosha! Nenda Newzealand, Australia, Canada, Japan, China, USA nk...Bei za Leseni kupandishwa ni mpango wa Muhongo kwa kushirikiana na watu wa Marekani kuhakikisha kuwa Wazawa hatupati fursa za kumiliki hivyo vitalu! BTW, Rasilimali iliyoko kwenye ardhi ya watanzania ni collateral tosha! Mbona Botswana wamefanikiwa kwa hilo?...
 
We Kasheshe mpuuzi Mkubwa huna akili kabisa ni ukoko mtupu. unafikiri Nchi nyingine unaweza kufanya upuuzi huu wa serikali ya kwetu na upuuzi huu wa Muhongo!

Upi huo? Wa kumilikisha wananchi kupitia TPDC badala ya Mengi?
 
mkuu umenena halafu hawa wawekezaji uchwara kina mengi na wenzie mbona hawawekezi kwenye matayizo ya msingi kama mahospitali,vyuo vya utabibu wao nikutafuta mianya ya wizi tu Mengi mzalendo gani anatoa mshahara mbuzi kwa wafanyakzi wake yeye anaingiza billioni of money charity begin at home.
baba yako ameajiri watu wangapi na anatoa mshahara wa shilingi ngapi?
 
mijitu mingine bwana, yani yenyewe inawaza vyama hata katika mambo ya msingi. kwa hyo we kuitwa muuza juisi limekufurahisha. unatetewa ----- wewe amka.

Kama anauza kweli juisi kumuita muuza juisi ndio haki yake! Unataka aitwe muuza meli?
 
Bado hujamsaidia hujatusaidia Mkuu, Tuwekee huo utaratibu maana kwenye taarifa ya mengi ameonyesha kuwa vitalu vya Gesi kuanzia kaskazini Tanga mpaka mtwara wenye leseni ni Wageni! Ndiyo maana akatoa angalizo kuwa USALAMA WA NCHI uko hatarini..

The government says new investments in the blocks will be under new production sharing contracts where the state will take up to 75 per cent.

“The production-sharing formula will either be 35 per cent to investors and 65 per cent to the government or 25 per cent to them and 75 per cent to us,” President Jakaya Kikwete said at the launching ceremony.

The majority shares of the state in the new investments will be under the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) on behalf of the people."

Msiingie kwenye mjadala na kuanza kurusha mawe kama hamna taarifa za kutosha, mnapiga kelele tu.
 
Duniani kote vigezo na masharti kati ya wazawa na wageni huwa haziko sawa! Wazawa hupewa vipaumbele na uwezeshwaji wa kutosha! Nenda Newzealand, Australia, Canada, Japan, China, USA nk...Bei za Leseni kupandishwa ni mpango wa Muhongo kwa kushirikiana na watu wa Marekani kuhakikisha kuwa Wazawa hatupati fursa za kumiliki hivyo vitalu! BTW, Rasilimali iliyoko kwenye ardhi ya watanzania ni collateral tosha! Mbona Botswana wamefanikiwa kwa hilo?...

Blah blah blah! Hata mimi naweza kuandikaandika tu, data? Source yako?
 
Labda udalali kama aliotaka kuufanya Mengi...
Udalali aliuanza Mkapa et al kupitia kwa Motto Mubanga walianzisha kampuni uchwara ambayo imetengeneza mabilioni ya Uswis baada ya kuuza hisa zake kwa BG ...Hakuna tatizo kwa wazawa kushiriki na wageni ktk uwekezaji! SA na kokote duniani ukitaka kuwekeza kwenye nchi yao lazima wanahisa baadhi wawe ni wazawa! hii ya kuwapa 100% wageni iko kwa CCM na serikali yake tu... Madini yetu sisi ndo mtaji, rejea mikataba ya kibiashara duniani kote...
 
Tatizo niwelewa wapo watanzania wanajua Mali tulizonazo, na namna ya kupata wabia, issue hapo ni je hao wanawajua wabia niwabia watakao nufahisha Taifa? au nikwamanufaa ya familia zao, je Mali wanazomiliki wako tayari kumiliki kwaubia na Watanzania wengine, niwazi hata kinamengi nia yao nikupata vitalu kisha wapate wabia, hapa tujadili ni aina gani ? Ya wawekezaji wa Muhongo yani serikali na wabia wa watanzania, wenye ufahamu wa mambo lakini hawana mtaji FEDHA. Tusimjadili Mengi wala Muhongo, tujadili hoja.
 
mkuu umenena halafu hawa wawekezaji uchwara kina mengi na wenzie mbona hawawekezi kwenye matayizo ya msingi kama mahospitali,vyuo vya utabibu wao nikutafuta mianya ya wizi tu Mengi mzalendo gani anatoa mshahara mbuzi kwa wafanyakzi wake yeye anaingiza billioni of money charity begin at home.

Nampenda Prof Muhongo, message sent
 
Udalali aliuanza Mkapa et al kupitia kwa Motto Mubanga walianzisha kampuni uchwara ambayo imetengeneza mabilioni ya Uswis baada ya kuuza hisa zake kwa BG ...Hakuna tatizo kwa wazawa kushiriki na wageni ktk uwekezaji! SA na kokote duniani ukitaka kuwekeza kwenye nchi yao lazima wanahisa baadhi wawe ni wazawa! hii ya kuwapa 100% wageni iko kwa CCM na serikali yake tu... Madini yetu sisi ndo mtaji, rejea mikataba ya kibiashara duniani kote...

Kwamba kwenye gesi wageni watamilikishwa 100% ni upotoshaji wa makusudi, si kweli.

The government says new investments in the blocks will be under new production sharing contracts where the state will take up to 75 per cent.

“The production-sharing formula will either be 35 per cent to investors and 65 per cent to the government or 25 per cent to them and 75 per cent to us,” President Jakaya Kikwete said at the launching ceremony.

The majority shares of the state in the new investments will be under the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) on behalf of the people.

Tanzania private sector demands role in gas, oil business | 24 Tanzania News
 
Msiingie kwenye mjadala na kuanza kurusha mawe kama hamna taarifa za kutosha, mnapiga kelele tu.
Hizo taarifa na data zako a kupikiwa na wazugu ziweke hapa tuzijadili, ukuwadi unaoufanya kwa wazungu usifikiri wanakufagilia, wanakuchukulia kama P.W.Botha alivyosema kuwa Blacks mkipewa madaraka mnawaua wenzenu, Prof. Muhongo amethibitisha hilo over n above kuwa wasomi wetu ni raw materials ya wazungu... Dunia ya leo mnataka kumdanganya nani kuwa eti kuna watu nje ya nchi wenye kuweza kumiliki makampuni ya mafuta na gesi peke yake, tunafahamu kuwa makampuni haya huwa yana trade hisa zake London Stock exchange, New York kwaajili ya kupata fedha za kugharamia hiyo miradi! tunafahamu kilichoko nyuma ya pazia Mkuu, DSE inauwezo mkubwa wa kukusanya mtaji kwaajili ya watanzania kama haya makampuni ya uwekezaji watalazimishwa kuuza hisa zake hapa bongo! Barrick kama ilivyokuwa kwa Resolute wanatuachia mashimo! dhahabu inaisha, ile 25% ya mapato ya mgodi ambayo kisheria inatakiwa itumike kufunga mgodi tayari mmeshagawana!... itoshe kusema MADINI ya WATANZANIA ni ya WATANZANIA wote, Si busara kuwamilikisha wageni kwa asilimia 100... Mengi yuko sahihi ... weka data zako hapa tujadili kwa uwazi...
 
z

Just use your common sense kwanza (kama ipo), 100% wageni, TPDC watakuwa wanamiliki nini?

The government says new investments in the blocks will be under new production sharing contracts where the state will take up to 75 per cent.

“The production-sharing formula will either be 35 per cent to investors and 65 per cent to the government or 25 per cent to them and 75 per cent to us,” President Jakaya Kikwete said at the launching ceremony.

The majority shares of the state in the new investments will be under the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) on behalf of the people.
 
The government says new investments in the blocks will be under new production sharing contracts where the state will take up to 75 per cent.

"The production-sharing formula will either be 35 per cent to investors and 65 per cent to the government or 25 per cent to them and 75 per cent to us," President Jakaya Kikwete said at the launching ceremony.

The majority shares of the state in the new investments will be under the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) on behalf of the people."

Msiingie kwenye mjadala na kuanza kurusha mawe kama hamna taarifa za kutosha, mnapiga kelele tu.
Kwani wamekuwekea nazi kichwani ama ni kitu gani? yale maisha bora waliwaahidi watanzania yako wapi? Utekelezaji wa Ilani ya CCM ya 2005 uko % ngapi? Ule umeme tuliyoahidiwa kuwa itabaki historia ndiyo hii ya kutupandishia bei? Prof anasema serikali itamiliki 75% baada ya mwekezaji kurudisha gharama!? keyword hapa ni kurudisha gharama! Kwenye dhahabu ilikuwa hivyo hivyo lakiini ilipofikia wakati wa kuanza kulipa walisema uwekezaji unaendelea kwa kuwa kuchimba ndo gharama za uwekezaji na kuwa hauna kikomo! so in short hakuna siku mwekezaji atarudisha gharama! haya yailifanyika enzi za Mkapa, miaka kumi plus wanakuja na slogan ile ile kwenye Gesi na CCM mazuzu wanaamini... Rais anasema 65% Waziri aliahidiwa 75%... Lini mtajua Game mnalochezewa? mnafikiri yale mabilioni ya kule Uswis mtakaa mfaidi? Hivi hii sheria ya udhibiti wa fedha haramu unafikiri inadhaminiwa na wamarekani kwa sababu gani?... mmewekewa kama chambo ili msaini hii mikataba lakini katu hamtakaa mfaidi hiyo mihela! Husein Mubarak aliwekewe fedha nyingi akafanywa tajiri kuliko Billgate! sihitaji kuwaeleza kilichomtokea...Mark my word iko siku mtakuja juta mliyowafanyia watanzania...
 
Back
Top Bottom