pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,030
- 15,232
We Jidodo utakuwa umeandika ujumbe ukiwa 'ktk siku zako' mwone daktari akupe ushauri kwani inaonekana ukiwa ktk siku zako akili zako zinakuwa na MDUDU, Mengi mie namsifu sana sana ni mpambanaji na jasiri mno! Ndugu Mengi songa mbele achana na MADODOKI.