Mengi (WATANZANIA) Vs Prof. Muhongo (WAWEKEZAJI)

TAARIFA YA DKT. REGINALD A. MENGI MWENYEKITI MTENDAJI WA IPP LIMITED KWA VYOMBO VYA HABARI
TAREHE 20 DESEMBA 2013

Dr. Reginald Mengi
Dar es Salaam
"kwenye red "HIVI HUYU MZEE naomba mnikumbushe alisomeawapi hiyo PHD ? na ok hata kama anayo aliipatapata vipi ? kwakuwasaidia walemavu na kuwalisha maskini ? waliompahawakumuona SABODO? aliyeamua kuchimba visima 100 nchi nzima ? hebu huyu anayepiganiamaslahi ya watanznia atueleze ametoa mchongo gani katikakuwalinda tembo wetu kwanza !ametoaamchongo gani katika kuitangaza bandari ya dar es salaam ?.waongo mwisho wao ni aibu tu. huyu mzee si ndo yule aliyezaa watoto mapacha hivi karibuni akawapeleka nje ya nchi !?. usafi wa MENGI unatia shaka kabisa ...
 
Hakika watz tumelogwa mbaya, tunawaona wazungu ni watu wa maana sana, tumeshindwa kujifunza kwenye secta ya madini ambayo bado tunaendelea kuibiwa waziwaz mpaka leo. Sasa hili jinamizi jipya la gesi linaleta jipya ndo naona serikali ishaamua kujivua ufahamu kwa karata ya wawekezaji ambao wanaendelea kuila nchi kama haina wenyewe. Wanaopinga uwekezaji wa wazawa ni wanafiki na wanafiki na wana matakwa binafsi juu ya hao wanaoitwa wawekezaji
 
Sijapata kuona kiongozi m-puuzi na m.shenzi aliyekosa uzalendo kama huyu muhongo...
 
Muhongo hyo wizara mwsho kuongoza ni 2015 kaa na Watanzania vizuri.
Watanzania ni wakuuza juice tu?

Mkumbushe huyo proff yasije yakaharibika akaanza kujilaumu.....ohhhhhhhhhhhhh
 
Mwisho wa kufikiria kwako ndo mwanzo wa umaskini wako wa kifikra.............
by bampami:bange:
 
Mengi hataki kuambiwa ukweli alishagombana na Waziri Masilingi, Waziri Masha, Jenerali Ulimwengu kwa sababu walimwambia ukweli. Mengi anapenda kunyenyekewa hata kama anavyofanya sivyo. Huyu mzee ni pasua kichwa asitupotezee muda wetu.
 
Kila kitu kiko wazi tuweke ushabiki kando.
- Watu binafsi hatuna uwezo wa kuwekeza kwenye gesi. Waliopo ni madalali tu watatuumiza zaidi
- Serikali imeandaa mpango mwenye kutaka aingie kupitia makampuni yetu ya kitaifa.
- Watanzania waliopewa vitalu vikubwa vya madini wameshindwa kuviendeleza. Wamebaki kuvishikilia tu na kusubili udalali
 
"kwenye red "HIVI HUYU MZEE naomba mnikumbushe alisomeawapi hiyo PHD ? na ok hata kama anayo aliipatapata vipi ? kwakuwasaidia walemavu na kuwalisha maskini ? waliompahawakumuona SABODO? aliyeamua kuchimba visima 100 nchi nzima ? hebu huyu anayepiganiamaslahi ya watanznia atueleze ametoa mchongo gani katikakuwalinda tembo wetu kwanza !ametoaamchongo gani katika kuitangaza bandari ya dar es salaam ?.waongo mwisho wao ni aibu tu. huyu mzee si ndo yule aliyezaa watoto mapacha hivi karibuni akawapeleka nje ya nchi !?. usafi wa MENGI unatia shaka kabisa ...

Mengi mnafiki sana, nadhani anawania u rais huyu, nadhani atagombea kupitia kile chama chao.
 
Sijapata kuona kiongozi m-puuzi na m.shenzi aliyekosa uzalendo kama huyu muhongo...

Unang'ang'ania uzalendo tu,hautaki ukweli, hebu we niambie ni mzalendo gani anayeweza kuwekeza kwenye mradi wa gesi na akafanya biashara hiyo na mataifa makubwa nje ya nchi?
 
Mengi hataki kuambiwa ukweli alishagombana na Waziri Masilingi, Waziri Masha, Jenerali Ulimwengu kwa sababu walimwambia ukweli. Mengi anapenda kunyenyekewa hata kama anavyofanya sivyo. Huyu mzee ni pasua kichwa asitupotezee muda wetu.

Hao wote waliomuambia Mengi ukweli wako wapi kwa sasa?wamejikomboa vipi wao na jamii zao zilizo wazunguka?think big kabla ya kutanguliza porojo na chuki zisizo na tija
 
"kwenye red "HIVI HUYU MZEE naomba mnikumbushe alisomeawapi hiyo PHD ? na ok hata kama anayo aliipatapata vipi ? kwakuwasaidia walemavu na kuwalisha maskini ? waliompahawakumuona SABODO? aliyeamua kuchimba visima 100 nchi nzima ? hebu huyu anayepiganiamaslahi ya watanznia atueleze ametoa mchongo gani katikakuwalinda tembo wetu kwanza !ametoaamchongo gani katika kuitangaza bandari ya dar es salaam ?.waongo mwisho wao ni aibu tu. huyu mzee si ndo yule aliyezaa watoto mapacha hivi karibuni akawapeleka nje ya nchi !?. usafi wa MENGI unatia shaka kabisa ...

wewe umepigania miasha ya watanzania??? Vile kututangazia habaria ambazo tulikuwa hatuzijui tu ni kupigania maisha ya watz
 
Mengi mnafiki sana, nadhani anawania u rais huyu, nadhani atagombea kupitia kile chama chao.

Jamani acheni ushabiki wa huyu mpuuzi anayeshabikia kuuza nchi yetu. Walituambia umeme utashuka na bei ya gesi itashuka. Sasa hivi umeme juu na gesi juu! Mkaa wanakamata wachomaji sijui tutapikia nini!
 
Hao wote waliomuambia Mengi ukweli wako wapi kwa sasa?wamejikomboa vipi wao na jamii zao zilizo wazunguka?think big kabla ya kutanguliza porojo na chuki zisizo na tija
Jenerali ulitishiwa kupelekwa mahakamani baada ya gazeti lake miaka ya 90 kutoa orodha matajiri wadaiwa sugu na benki ya CRDB, Mengi akiwa miongoni wa wanaoongoza kwa madeni. Mapambano yalikuwa makubwa lakini alishindwa kumpeleka Ulimwengu mahakamani. Huyu Mzee anapenda mikwaruzano
 
Mengi ni balaa alidai Serikali itoe ruzuku kwa ITV kama vile inavyotoa ruzuku kwa TBC eti ili kuweka ushindani sawa wa kibiashara.Hii hata akilini haiingii,nyie tumikeni tu kama mpira ya starehe.
 
wananchi tunamiliki kupitia STAMICO na TPDC jipange kununua hisa, mengi hatetei wananchi anajitetea mwenyewe, kaulize Songea milima ya matogoro yote yake, eneo lote la Mtyangibole hadi shule ya Tanga yake, ni kuweli huyu jamaa anamiliki maeneo makubwa zaidi ya Dar hata mara 20, halafu unasema anatutetea, hakuna kitu jitetee mwenyewe ndg yangu
Hiyo conflict of interest inayo attract interest za wananchi waliowengi inaubaya gani? wewe kama wewe Kasheshe hupendelei wananchi wamiliki Rasilimali zao Dhahabu na Gesi?...
 
wananchi tunamiliki kupitia STAMICO na TPDC jipange kununua hisa, mengi hatetei wananchi anajitetea mwenyewe, kaulize Songea milima ya matogoro yote yake, eneo lote la Mtyangibole hadi shule ya Tanga yake, ni kuweli huyu jamaa anamiliki maeneo makubwa zaidi ya Dar hata mara 20, halafu unasema anatutetea, hakuna kitu jitetee mwenyewe ndg yangu
Watanzaia sasa tumeamka hayo maeneo aliyoohodhi anyang'anywe kisheria kama ilivyopendekeza kamati ya bunge.
 
We Kasheshe mpuuzi Mkubwa huna akili kabisa ni ukoko mtupu. unafikiri Nchi nyingine unaweza kufanya upuuzi huu wa serikali ya kwetu na upuuzi huu wa Muhongo!
 
Back
Top Bottom