Mengi (WATANZANIA) Vs Prof. Muhongo (WAWEKEZAJI)

Kwani wamekuwekea nazi kichwani ama ni kitu gani? yale maisha bora waliwaahidi watanzania yako wapi? Utekelezaji wa Ilani ya CCM ya 2005 uko % ngapi? Ule umeme tuliyoahidiwa kuwa itabaki historia ndiyo hii ya kutupandishia bei? Prof anasema serikali itamiliki 75% baada ya mwekezaji kurudisha gharama!? keyword hapa ni kurudisha gharama! Kwenye dhahabu ilikuwa hivyo hivyo lakiini ilipofikia wakati wa kuanza kulipa walisema uwekezaji unaendelea kwa kuwa kuchimba ndo gharama za uwekezaji na kuwa hauna kikomo! so in short hakuna siku mwekezaji atarudisha gharama! haya yailifanyika enzi za Mkapa, miaka kumi plus wanakuja na slogan ile ile kwenye Gesi na CCM mazuzu wanaamini... Rais anasema 65% Waziri aliahidiwa 75%... Lini mtajua Game mnalochezewa? mnafikiri yale mabilioni ya kule Uswis mtakaa mfaidi? Hivi hii sheria ya udhibiti wa fedha haramu unafikiri inadhaminiwa na wamarekani kwa sababu gani?... mmewekewa kama chambo ili msaini hii mikataba lakini katu hamtakaa mfaidi hiyo mihela! Husein Mubarak aliwekewe fedha nyingi akafanywa tajiri kuliko Billgate! sihitaji kuwaeleza kilichomtokea...Mark my word iko siku mtakuja juta mliyowafanyia watanzania...

Siasa na blah blah nyingi tu! Pinga hoja kwa hoja...

Tanzania says to demand $258 mln tax on Ophir gas deal | Reuters
 
Hii nayo ni hoja? Au ndio umeishiwa sasa...

nani aliyeishiwa kati yangu na wewe? unasema mengi ameajiri watanzania na anawalipa mishahara kidogo je baba yako ameajiri watu wangapi? mengi ni mjanja kuliko huyo professor uchwara mhongo ambaye hajui hata source of business capital! hajui hata business financing ni kitu gani! mengi anaweza kumuajiri mhongo na akamlipa mshahara mpaka akastaafu au unabisha? mhongo ana nini kama si kutegemea kupiga deal tu serikalini! waajiriwa wengi serikalini ni wapiga deal tu!
 
Siasa na blah blah nyingi tu! Pinga hoja kwa hoja...

Tanzania says to demand $258 mln tax on Ophir gas deal | Reuters

Unajiona mjanja kwa kutoa reference za kusadikika! kweli we lofa... Tanzania will...when?... Ngoja nikuwekee habari nzima hapa, lazima utambue kuwa Kama issue ni kukamata vitalu then kuviuza kama walivyofanya kina Motto Lubanga ambao wamejitengenezea mabilioni ya $$ kutokana na mauzo ya vitalu vya Ophir gas then hata sisi watanzania tunaweza.... kuwamilikisha wageni pengine ni geresha tu ili wamiliki wasijulikane kama ilivyokuwa deal la vitambulisho vya Taifa...Capital Gain Tax ikilipwa mnihamishe nchi hii... hiyo ni story tu ambayo wanajua wakiimba wimbo huo wananchi mtacheza kama kawaida yenu, wanajua kuwa hata mkitangaziwa kuwa imelipwa hakutakuwa na wakuthibitisha ...[h=1]Tanzania says to demand $258 mln tax on Ophir gas deal[/h] * Plans to sell shares in energy regulator
* To form state-run oil, gas, pipeline companies
By Fumbuka Ng'wanakilala
DAR ES SALAAM, Dec 20 (Reuters) - Tanzania will levy a capital gains tax of at least $258 million on the proposed $1.3 billion asset sale of Ophir Energy's natural gas fields in the east African nation to a unit of Singapore's Temasek Holdings, its energy minister said.
Ophir said last month it would sell a 20 percent shareholding in Tanzanian Blocks 1, 3 and 4 to Pavilion Energy, owned by Singapore state investor Temasek, for an initial $1.25 billion plus a further contingent consideration of $38 million.
The Tanzanian fields that Ophir discovered with its partner BG Group are its prize assets, estimated to hold 15 trillion cubic feet of gas.
"Ophir is selling its shares to Pavilion of Singapore and for the first time in the history of this country, we will start getting gains tax," Energy and Minerals Minister Sospeter Muhongo announced in parliament late on Thursday.
"We will get at least $258 million from that share sale in terms of capital gains tax."
Ophir retains a 20 percent stake in the three blocks following the deal with Pavilion. It also has majority stakes in two other exploration areas in Tanzania and exploration assets elsewhere in Africa, in Kenya and Equatorial Guinea.
Muhongo said funds from the expected tax windfall would be used to reform the state-run energy regulator, TPDC, and the country's cash-strapped power utility.
Tanzania is pushing to start natural gas exports to its energy-hungry east African neighbours by 2015 before selling its gas on global energy markets by 2020.
It is also looking at building a facility to export liquefied natural gas (LNG), similar to those developed by the world's biggest gas exporter Qatar, and may locate it in the southern Lindi region by 2020.
Tanzania passed a finance law last year to include capital gains tax on the sale of shares or securities in companies operating in the country.
The government unveiled new production sharing agreement (PSA) terms last month that specified for the first time a requirement for energy companies operating in the country to pay 20 percent tax on any capital gain resulting from an asset sale.
The new terms replace the previous model 2008 PSA and have been introduced after Tanzania launched its fourth licence bidding round for eight oil and gas blocks. The government said it would take a stake of up to 75 percent in those blocks.
Tanzanian president Jakaya Kikwete assured Ophir Energy this month the deal will proceed smoothly and get timely approval.
Tanzania is estimated to have more than 40 trillion cubic feet (TCF) of gas, which it said could rise five-fold over the next five years, putting it on par with some Middle East producers.
Muhongo said the government had reserved two gas-rich blocks near the border with Mozambique in the offshore region for the state-run Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC).
"After the reform of TPDC, the government will offer shares in this company for sale to Tanzanians in a transparent manner to enhance the people's participation in the gas sector," he said.
The minister said TPDC would form a string of separate subsidiary companies to run its oil, gas, pipeline divisions.
Tanzania has so far signed 25 PSAs with some 17 international energy companies, including BG Group, Statoil , Brazil's Petrobras, Royal Dutch Shell , Exxon Mobil and Mubadala Petroleum. (Editing by George Obulutsa and David Evans
 
mhongo ni mpuuzi tu aliyejaa mbwembwe kama watendaji wengi wa serikali walivyo! yuko wapi ngeleja?
Uzuri mwenyeezi mungu ametuumbia sura zenye kukataa maovu, mwangalie kwa makini prof wakati anaongea huwa dhamira inamsuta na kuishia kuipotezea kwa arrogance za kipuuzi... pale uprof umepotea utafikiri hajawahi kukanyaga hata darasa la kwanza kwa jinsi anavyo bwabwaja -----...eti watanzania wanamitaji ya kutengeneza juice tu! anatulazimisha kuwa ardhi na madini yetu si sehemu ya capital! Waliomtuma kwao ardhi ni mtaji namba moja kwenye uwekezaji....
 
Your point? Hata mkilipwa hakuna wa kuthibitisha, meaning? Acha siasa wewe....
 
nani aliyeishiwa kati yangu na wewe? unasema mengi ameajiri watanzania na anawalipa mishahara kidogo je baba yako ameajiri watu wangapi? mengi ni mjanja kuliko huyo professor uchwara mhongo ambaye hajui hata source of business capital! hajui hata business financing ni kitu gani! mengi anaweza kumuajiri mhongo na akamlipa mshahara mpaka akastaafu au unabisha? mhongo ana nini kama si kutegemea kupiga deal tu serikalini! waajiriwa wengi serikalini ni wapiga deal tu!

Huna hoja, umebaki kupiga domo na kutukana sasa...
 
Your point? Hata mkilipwa hakuna wa kuthibitisha, meaning? Acha siasa wewe....
Sisi tunakupa facts wewe unatuwekea link za western...eti uthibitisho kuwa Tanzania inategemea kuomba kupewa sehemu ya mauzo ya shares Ophir Gas ...so what? Hii inahalalisha wageni wamiliki rasilimali zetu kwa 100%... Tayari mmevurunda kwenye Dhahabu, Almasi na Uranium... Sasa mnataka na Gesi tuwaachie wageni kwa misingi ipi... ?
 
Mkuu hata wewe ukiwa mtanzania unaruhusiwa kumiliki vitalu vya gas na mafuta mradi utimize masharti. Usifikiri vinagawiwa bure au kwa bei ya kutupa kama viwanja vya kibada!. Jumatatu fika mapema ofisi za wizara,wapo maafisa wanashughurikia haya mambo,utapewa utaratibu.Haujazuiwa na vitalu bado vipo sasa povu huku mitandaoni na kwengine la nini
 
Uzuri mwenyeezi mungu ametuumbia sura zenye kukataa maovu, mwangalie kwa makini prof wakati anaongea huwa dhamira inamsuta na kuishia kuipotezea kwa arrogance za kipuuzi... pale uprof umepotea utafikiri hajawahi kukanyaga hata darasa la kwanza kwa jinsi anavyo bwabwaja -----...eti watanzania wanamitaji ya kutengeneza juice tu! anatulazimisha kuwa ardhi na madini yetu si sehemu ya capital! Waliomtuma kwao ardhi ni mtaji namba moja kwenye uwekezaji....
prof mhongo ni mbababishaji tu na arrogance zake na watetezi wake kama akina KomboJr! hajui kuwa mitaji ya na pesa za kufanyia biashara zinapatikana benki na kwenye taasisi za pesa! Leo prof mhongo akifukuzwa uwaziri au kazi ya serikali atabaki kutapatapa tu!!
 
Mkuu hata wewe ukiwa mtanzania unaruhusiwa kumiliki vitalu vya gas na mafuta mradi utimize masharti. Usifikiri vinagawiwa bure au kwa bei ya kutupa kama viwanja vya kibada!. Jumatatu fika mapema ofisi za wizara,wapo maafisa wanashughurikia haya mambo,utapewa utaratibu.Haujazuiwa na vitalu bado vipo sasa povu huku mitandaoni na kwengine la nini
Haya mambo ya kuficha kama uchawi ni hulka mbaya sana ambayo serikali ya CCM imejijengea, kama wangekuwa makini na mnadhamira ya dhati kwanini hamuweki wazi kwenye mtandao vigezo na masharti kwa wazawa kupata vitalu vya gesi? Mnajua kuwa ada ya Vitalu hakuna mtanzania atakaeweza kumudu? na hiyo mmeweka kwa makusudio maalum ie wageni wamilikishwe vitalu kwa 100%... Mngekuwa na dhamira ya kweli lazima mngeaandaa utaratibu wa kuwamilikisha wazawa hata kwa kununua hisa pale DSE... P.W.Botha alisema ukweli mtu kuwa Blacks ni raw materials ya wazungu...Nakuhakikishia kati ya hizo dolla 500 Billioni za Gesi Tanzania ikiambulia hata 10 Billioni itakuwa damu nyingi sana imemwagika...Ukipata muda tafuta data za mgodi wa Mwadui halafu angalia uzalishaji na mauzo toka mwaka 1947, kisha linganisha na kiasi ambacho Tanzania imepata kama gawio kwa kipindi chote hicho! Angalia data za Resolute mpaka mgodi wameurejesha bila ya kuufunga kwa mujibu wa sharia...imechangia kiasi gani? hali ni hivyo hivyo kwa Uranium, GGM, Tulowaka, North Mara...Kwenye sekta ya nishati ndo usiseme, pamoja na kwamba hakuna uwekezaji uliofanyika kwenye mabwawa yetu bado umeme wa maji ni 90 % plus lakini gharama kubwa za uendeshaji zinapelekwa kwenye makampuni hewa ya Agreco, IPTL, SYMBION na Songas, kila siku wanakunja zaidi ya million 700... Iweje mpaka leo hakuna mikataba iliyokuwa reviewed? iweje Symbion watengenezewe mkakati wa kuidhoofisha na hatimae kuia TANESCO kama wanavyotanabaisha wadau?
 
kwenye Issue ya gesi, wote wawili wana makosa, Si vema kuimilikisha Serikali hii hii iliyotugeuza mabwege kwa miaka 50 utajiri mkubwa zaidi ya ule mdogo tuliowapa dhamana.Pia si sahihi kuwapa wachache dhamana kuwa namna hii ya utajiri ule ule ambao wengi wanaulilia kuupata.
Wafanya Biashara wa Tanzania hawana Track record nzuri za kujali/kutetea maslahi ya wafanyakazi wao au watanzania wenzao.ndio hawahawa kina mengi utakuwa wamejaza wakenya kwenye ofisi zao,wafanyakazi wanalipwa kiduchu au mishahara hailipwi miezi na miezi.wengine kina Mo Dewji ndio kutwa kucha kuajiri wapakistani na wahindi,wakiacha vijana kuzagaa barabarani bila kazi.wakiwaajiri basi ni kazi za kimesenja kutwa kucha.
Siwalaumu sana kwani biashara za Tanzania ni kama biahsara Kichaa, kufuata sheria zetu za biashara inabidi uwe hamnazo and you are guaranteed to fail.challenge ni nyingi na kubwa.

Naamini mawazo yao kwa pamoja yanahitaji pande mbili kukaa chini na kujadiliana, a mixture of the two is the best way forward. Serikali ianzishe makampuni makubwa lakini yawe kwenye public domain with total transparency, Mengi na wenzake kwa sababu wako na pesa, wataingia ubia huko,lakini serikali iweke mipaka ya wazi na wananchi hohehahe wafaidike kwa asilimia kubwa sana,ama kupitia uboreshwaji wa hali ya juu wa huduma za kijamii, au utumikaji wa faida za kampuni tanzu kutatuta kero za msingi kupitia uwekezaji kwenye sekta nyingine. Qatar na Emirates Foundation wamefanikiwa kwa hili kwa kiasi kikubwa.
Mode ya Nigeria na Russia anayoipendekeza Mengi haifai,itatengeneza super rich wachache ikiacha masikini wengi, Inflation itakuwa kubwa na umasikini utazidi, kwa nchi zetu zenye sheria za nyani na ngedere, tutapigana down the road kama kina Boko Haram huko Nigeria.
 
kwa kinachoendelea sasa si mengi wala mhongo atakayeleta manufaa kwa mtazania wa kawaida.hata vitalu vikiuzwa kwa milioni kumi kwa sq km bado ndugu zangu wa narung'ombe hawataweza ku-afford. Vitalu hivyo kumilikiwa na mtu binafsi kwa mtanzania wa kawaida hakuna tofauti yoyote.kwani kuna aliyepata faida Rostam Aziz kubwa Bilionea?kuna faida yoyote wananchi wa namtumbo wameipata kwa mabilionea waliopo Tanzania?naomba tusilete idadi ya waajiriwa kwenye makampuni ya hawa jamaa, kwani hata hao wazungu wakimilikishwa wataajiri pia,tena watalipa zaidi,kwani gesi haitachimbwa na upepo,bali manpower + skills.

Mwananchi wa kawaida atafaidika kwa gharama za maisha kushuka, elimu kuwa bora, hospitali kuboreshwa,miundombinu kuwa imara, hali ya maisha kwa ujumla kuwa nzuri.Hii itawezekana tu kama kilichopo kitakuwa managed vizuri-serikali haina rekodi hiyo,watu binafsi hawana hiyo motive.
 
Mkuu mwanzo umetoa suluhisho na hitimisho zuri lakini bado ukajichanganya tena! sidhani kama mengi anataka apate vitalu yeye kama yeye, hiyo ni propaganda za Prof. Muhongo! Mengi anachokisema; Watanzania wawe sehemu ya uwekezaji kwenye sekta ya gesi! Methodology uliyoizungumzia ndiyo watanzania wengi tunaipigia chapuo! kwamba pawepo na kampun itakayokuwa listed pale DSE na watanzania maelifu kwa mamilioni tununue hisa zenye kuanzia thamani ya elfu kumi kuendelea... Kampuni hii iendeshwe kiuwazi na iweze kununua hisa kwa hizo giant company zinazokuja kuwekeza hapa kwetu! Huu ndo mpango bora wa kugawana rasilimali za nchi siyo kuwaachia kila kitu wawekezaji halafu mnasubiria capital gain tax ambayo haipo!... Hata ukimtetea vipi sisi tunajua Prof analinda interest za western...yeye ni EHM kama wenzie akina Chenge, Rostam et al...
 
Kutokana na upeo wako mdogo wakufikiri ndio unaona hvyo ila kwa wale tunao mfahamu Mengi tunajua anatetea maslahi ya watanzania juu ya umilikaji wa rasilimali za taifa.
Anatetea maslahi ya matajiri wachache. Licha ya kumilikishwa mashirika yaliyokua ya umma kwa bei poa wameshindwa kuyaendeleza na kuyatelekeza au kuyageuza mabohari. (Mfano wa karibuni ni UDA ambapo depot imegeuzwa bohari ya TBL). Sasa wanataka kuleta ukora wao kwenye gesi bila kujali wananchi wanahitaji uwekezaji kwa maendeleo yao sio ya matajiri wazawa peke yao. Ni ubinafsi tu. Mengi na vyombo vyake vya habari sasa wanampiga vita muhongo kwa nguvu zao zote.
 
Mkuu labda una upungufu wa taarifa kuhusiana na swala hili au una interest zako tu kwenye kubishana. Hilo ulilo suggest la ku list share DSE ndio mpango wa serikali kupitia kampuni tanzu zake. Na inachokataa serikali ni kwenda wewe kama individual,bila historia ya shughuri hiyo,upewe tu kitalu bila ku meet masharti muhimu mengine,bali tu tuseme tumpe sababu ni mtanzania,hiyo ndio no. Share zitauzwa DSE na kila mtanzania kwa pesa yake ataruhusiwa kununua. Ila kama unaona hautaki kumiliki rasilimali hiyo kwa mtindo wa share,na una mabilioni ya dola kama kina Petrobras,ExxonMobil,Shell nk,pia unakaribishwa kalipie ada upewe vibali vya size ya hao.Ushauri: Fika pale wizarani kwanza ukapewe taarifa ya kinachoendelea ndipo uwe na uwezo mkubwa zaidi wa ku argue kwani mengine unayosema ni maneno ya mtaani,si official.
Mkuu mwanzo umetoa suluhisho na hitimisho zuri lakini bado ukajichanganya tena! sidhani kama mengi anataka apate vitalu yeye kama yeye, hiyo ni propaganda za Prof. Muhongo! Mengi anachokisema; Watanzania wawe sehemu ya uwekezaji kwenye sekta ya gesi! Methodology uliyoizungumzia ndiyo watanzania wengi tunaipigia chapuo! kwamba pawepo na kampun itakayokuwa listed pale DSE na watanzania maelifu kwa mamilioni tununue hisa zenye kuanzia thamani ya elfu kumi kuendelea... Kampuni hii iendeshwe kiuwazi na iweze kununua hisa kwa hizo giant company zinazokuja kuwekeza hapa kwetu! Huu ndo mpango bora wa kugawana rasilimali za nchi siyo kuwaachia kila kitu wawekezaji halafu mnasubiria capital gain tax ambayo haipo!... Hata ukimtetea vipi sisi tunajua Prof analinda interest za western...yeye ni EHM kama wenzie akina Chenge, Rostam et al...
 
Mkuu labda una upungufu wa taarifa kuhusiana na swala hili au una interest zako tu kwenye kubishana. Hilo ulilo suggest la ku list share DSE ndio mpango wa serikali kupitia kampuni tanzu zake. Na inachokataa serikali ni kwenda wewe kama individual,bila historia ya shughuri hiyo,upewe tu kitalu bila ku meet masharti muhimu mengine,bali tu tuseme tumpe sababu ni mtanzania,hiyo ndio no. Share zitauzwa DSE na kila mtanzania kwa pesa yake ataruhusiwa kununua. Ila kama unaona hautaki kumiliki rasilimali hiyo kwa mtindo wa share,na una mabilioni ya dola kama kina Petrobras,ExxonMobil,Shell nk,pia unakaribishwa kalipie ada upewe vibali vya size ya hao.Ushauri: Fika pale wizarani kwanza ukapewe taarifa ya kinachoendelea ndipo uwe na uwezo mkubwa zaidi wa ku argue kwani mengine unayosema ni maneno ya mtaani,si official.

Nashukuru kwa kunisaidia kuliweka wazi hili,Sidhani kama Mengi atakatazwa kumiliki asilimia kubwa zaidi kwenye hizi kampuni zitakazoanzishwa, in the end yeye ndio atapata faida kubwa zaidi.na hataruhusu ufujaji wa kijinga kuendelea, kwani kutoakana na ukubwa wa mtaji aliowekeza haitakuwa kazi kwake kuwa mjumbe wa bodi wa kampuni hii ya watanzania.

Ninapopingana na Muhongo ni pale anapokataa kuweka Shield ya kuwalinda watanzania,sisi ni watu dhaifu kiuchumi, ukiweka open kila mtu anunue, hizo hisa watagawana kina mengi na wenzie, kuwe na mipango madhubuti, ya kuhakikisha umiliki huu wa watanzania, una trickel down to the little guys in the country, ama kupitia pension funds, saccos,local governments whatever they will see economically viable.

Mfanyabiashara hana motive ya kuboresha maisha ya mtanzania, awe mzungu, mchina anu mtanzania mwenzetu. Jukumu namba moja la mfanyabiashara ni kuongeza faida.

Serikali ihakikishe wanachi hohehahe wanafaidika na hili,wameshajifunza kwenye madini.naomba wasilete upuuzi wa tutawajengea dispensari au barabara za kilomita 5.huu ni ujuha tusioutaka.
 
nani aliyeishiwa kati yangu na wewe? unasema mengi ameajiri watanzania na anawalipa mishahara kidogo je baba yako ameajiri watu wangapi? mengi ni mjanja kuliko huyo professor uchwara mhongo ambaye hajui hata source of business capital! hajui hata business financing ni kitu gani! mengi anaweza kumuajiri mhongo na akamlipa mshahara mpaka akastaafu au unabisha? mhongo ana nini kama si kutegemea kupiga deal tu serikalini! waajiriwa wengi serikalini ni wapiga deal tu!
Kumbe unaongelea ujanja.
 
Mkuu labda una upungufu wa taarifa kuhusiana na swala hili au una interest zako tu kwenye kubishana. Hilo ulilo suggest la ku list share DSE ndio mpango wa serikali kupitia kampuni tanzu zake. Na inachokataa serikali ni kwenda wewe kama individual,bila historia ya shughuri hiyo,upewe tu kitalu bila ku meet masharti muhimu mengine,bali tu tuseme tumpe sababu ni mtanzania,hiyo ndio no. Share zitauzwa DSE na kila mtanzania kwa pesa yake ataruhusiwa kununua. Ila kama unaona hautaki kumiliki rasilimali hiyo kwa mtindo wa share,na una mabilioni ya dola kama kina Petrobras,ExxonMobil,Shell nk,pia unakaribishwa kalipie ada upewe vibali vya size ya hao.Ushauri: Fika pale wizarani kwanza ukapewe taarifa ya kinachoendelea ndipo uwe na uwezo mkubwa zaidi wa ku argue kwani mengine unayosema ni maneno ya mtaani,si official.
Mkuu wewe unaona ni sawa watanzania maelfu kwa malaki tuende pale wizarani kwa ajili tu ya kujua kinachoendelea, toka lini mipango motomoto ya nchi kama hii ya uwekezaji ikaendeshwa kwa usiri kwa wananchi wake? kuna ugumu gani wakuweka mipango yote hadharani? ilikuwaje wananchi wa Mtwara waliuliza swala dogo sana kuwa watafaidika vipi wakashushiwa vipigo na mpaka sasa wanabakwa? Kwanini mikataba yote yenye maslahi kwa nchi inafanywa siri?... Ikiwa mipango yote ya huko nyuma imekuwa mki hujumu hili mtalisimamia vipi?... Kunajuhudi gani za kuweka mikataba wazi ili hatimae wananchi tujenge imani na ninyi vibaraka wa wazungu? Seriously hamsikii vibaya motto mubanga kuvuta mkwanja mkubwa kiasi hicho bila ya kufanya lolote?...
 
Back
Top Bottom