Kama mafisadi wengine waliomtangulia (Manji, Lowassa, Rostam Azizi, etc), Masha ameshindwa kufanya chochote dhidi ya Mengi hata baada ya kutoa vitisho vya siku saba kwa hasira na mikiki mingi.
Kwa mara nyingine, dozi kubwa aliyopata hapa JF imemfanya arudi nyuma na kuacha magazeti mahiri ya Thisday na Kulikoni yaendelee na kazi yao ya kuwapa watanzania habari ambazo serikari inazificha.
Kwa sasa..... Masha umebana weeeee .... na umeachia!
Kama kawaida ya friday hapa JF ..... wana JF kwa kushirikiana na bongo radio na radio zingine zote mahiri nchini, tunasherekea ushindi kwa bonge la muziki wa ngwasuma na sebene toka kwa extra musica (sorry werasoni).
Mods..... it's friday.... what the hell.... please, let it stay here for now.
Kwani alitaja siku/tarehe maalum ya hizo hatua kali kuchukuliwa baada ya siku 7 alizotoa?