Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Status
Not open for further replies.
Huyo mshikaji wako Masha anatembea na Ofisi?,alitoa kauli ile kama nani?? i think kama waziri maana sidhani alitoa kauli kama Masha kwa sababu Tycoon mengi hamkutaja...upo hapo?

Ofisi ipo ichukue hatua je kama akifariki huko Swiss ina maana ndio na mambo yatakuwa yamekwisha?.....msela wako katokota

YO YO upo sahihi kabisa. Mengi hakutaja jina la waziri kwenye tuhuma zake. Masha naye amejibu tuhuma akitumia dhamana yake ya uwaziri wa mambo ya ndani. Kwa maneno mengine ametumia ofisi. Masha mwenyewe katika tamko lake alitumia neno lifuatalo kwenye moja ya sentensi zake "..... kama waziri wa mambo ya ndani mwenye dhamana ya usalama wa raia.........". Kwa maana hiyo ni ofisi. Haiingii akilini mtu anaposema Masha yupo Uswisi!!!! Hoja zingine za kumtetea mtu wala hazina mshiko na upana wa uelewa. Kumbe sasa suala limekuwa la mtu binafsi siyo tena "waziri wa mambo ya ndani"!!!!!!!. Kwa uelewa wangu wa utendaji kazi serikalini, mtendaji mkuu wa wizara ni KATIBU MKUU wa wizara husika. Kumbe sasa kuna jamaa humu anatuambia Masha yupo Uswisi!!! Wizara imekuwa yake, anatembea nayo mfukoni!!! KICHEKO!!! Kwa taarifa yako Masha yupo nchini tangu ijumaa jioni!
 
Huyu MASHA ni FISADI kama akina LOWASSA,ROSTAM na CHENGE na ni mfuasi wao, ni doa kwenye baraza la JK tena ni aibu kuwa juu ya Mtu makini kama Balozi Kagasheki.Uzuri wa elimu anayopata mtu ni pale inapomsaidia kuelimika lakini elimu ya Masha haikumsaidia kuelimika ni elimu ya vyeti tuu,anashabikia ufisadi wakati unaifilisi Nchi yetu,yeye kama msomi alitakiwa ajue kuwa wezi kama akina MOBUTU na ABACHA baada ya kufariki fedha walizoiba zina manufaa kwa Nchi zao wakati zingine walizificha nje ya Nchi zao?kama jibu la swali hilo hana hafai uongozi.Pia wageni anaowashabikia wana manufaa zaidi kuliko wazawa wanawekeza nyumbani na kuwapatia kazi wenyeji?hili suala la watu kusoma nje liangaliwe kwani watanzania wengi waliosoma nje hawana uzalendo iangaliwe namna ya kuwafundisha uzalendo wanaporejea masomoni.Mfano watanzania waliosoma nchi za mashariki kama Urusi wengi wao ni walevi,wa magharibi wanadharau uafrika wao nk.Hivyo kuna haja ya watanzania kufundishwa uzalendo ili waupende utanzania na uafrika wao.
 
Serikali kupitia kwa Waziri wa Mambo ya Ndani Lau ilimpa Mengi siku saba kuthibitisha tuhuma zake kwa serikali la sivyo angeona cha mtema kuni. Siku saba zimepita lakini kulingana na dataz ni kuwa mambo ya Mengi yamewekwa pending mpaka Lau arudi kutoka majuu.

Swali - Karamagi inaeleweka alibeba mihuri ya serikali kwenda kusaini mkataba hotelini London - Je Lau kabeba Wizara nzima nzima au yeye ndiye serikali ?
Ndio maswali ambayo dataz anaweza kutujibu.
 
- Tunamsubiri arudi kutoka Geneva, ambako yuko na Waziri Mkuu siku saba zimekwisha tayari, bado ana benefit of the doubt kuwa alikuwa nje ya nchi, kama vile alivyokuwa South Africa, Mengi alipotoa tuhuma, aliporudi alitoa siku saba,

- Sasa tunamsubiri waziri afike na atimize yote aliyoahidi kumfanyia Mengi iwapo hatatimiza amri yake kama waziri, nilisema kuwa njia ya muongo kwenye mpapai ni mbali sana, sasa the moment of the truth inakaribia, ukweli wa habari yote tunao, hakuna wa kupiga chenga ya mwili hapa, tulisema tunataka facts zote za the ishu, sasa tunazo, kwa hiyo hakuna wa kumdanganya mwingine, wala wananchi, taifa zima linasubiri kuona ahadi ikitimizwa, akishindwa ndio tutatoa rasmi duku duku letu.

Subira siku zote yavuta heri.

Kwanza FMES nikuulize mnamsubiri wewe na nani? Ina maana amekuwa karamagi kabeba makabrasha yote ya wizara mpaka na mihuri kwenda nayo ughaibuni? Au hawezi kumwachia naibu wake akashughulikia hili? Maana maelezo yake TBC1 alidai kuwa amechukua hatua zile kutoa siku saba kama WAZIRI WA MAMBO YA NDANI MWENYE DHAMANA YA USALAMA WA RAIA, leo unatuambia tumsubiri!!! Au wizara imefungwa!?
 
Watoto wa chuo bwana doh wanafurahiiiiiiiiiiiiisha... wacha mi nikachukue jembe langu niwahi shambani
 
Alipewa uwaziri through mtoto wa Rais aitwae Ridhwani , sasa huyu kijana ni mwajiliwa wa kampuni ya IMMA ambayo Masha ni mwanzilishi; Jakaya akimuondoa huo uwaziri itabidi amtafutie mwanae kazi sehumu nyingine inspite of the heavy investment he has made to the firm through DEEP GREEN FINANCE !!!
 
Kwanza FMES nikuulize mnamsubiri wewe na nani? Ina maana amekuwa karamagi kabeba makabrasha yote ya wizara mpaka na mihuri kwenda nayo ughaibuni? Au hawezi kumwachia naibu wake akashughulikia hili?

- Kwanza naomba kujibu swali lako la msingi, "Tu" katika siasa ni neno la kawaida kutumika na mtu mmoja, linasimamia msimamo tu na haina maana ni watu wengi represented na sio lazima iwe.

- Now with all due respect, naomba kusema hivi sio siri kwamba msimamo wangu katika hii ishu umegeuka kua kikwazo kikubwa kwa wananchi wengi hapa JF, nilisimama kama siku zote kusimamia ukweli ambao nimeuona ukijaribu kupindishwa kuhusu background yake kwenye elimu na kazi, kabla ya kufikia uwaziri na ubunge, kwenye hilo naomba kurudia kwua sina cha kua-apologize, na hata siku moja akishambuliwa member yoyote ninayemfahamu hapa JF nitafanya the same, nitamtetea to end ili ukweli usipindishwe, ila maovu yake nitamuachia mwenyewe ayajibu.

- Now sina uhakika wa karibu of kazi za Lau as waziri, lakini to me kuna wakati aliwajibia IMMA kwa niaba ya mtoto wa rais kuhusu utata wa ajira yake kule, that was wrong na nilisema wazi hapa JF, sasa since then kumekwua na lawama nyingi sana kumuelekezea Lau kama waziri, in the last four days nimeongea na members wengi sana hapa kwa simu ambao ninawaheshimu sana, na I could not help kuisikia the emotions displayed kuhusu conduct za Lau as waziri, na mmoja wapo ambaye aliwahi kusoma naye, tulifikia kukubaliana kua uwezekano wa taifa letu kubadilishwa na generation yetu, ni mdogo sana labda watoto wetu kutokana na dis-appointment ya Lau.

- Now with all that said, naomba kuji-excuse myself kutoka kwenye huu mjadala, na mijadala ya Lau in the future, na pia naomba kuomba radhi kwa wale wote ambao kwa njia moja au another, nimewakwaza kwa msimamo wangu usiokubalika hapa JF kuhusu hii ishu. JF tunapokuwa kwenye focus ya taifa huwa tunakua very effective lakini sio tunapokwaruzana mpaka nje ya mstari as of this ishu, then tunakosa focus na hatuwi effective kwa tunaowalenga. Na this is time for me to reachout mkulu on a serious tone, na kinachonisikitisha sana ni kwamba only last two weeks nilikuwa na his dad for four days before all this cameout, lakini hakijaharibika kitu.

Kwa hayo machache naomba kujiweka pembeni na ninawatakia mjadala mwema ndugu zangu, taifa siku zote mbele na JF juu zaidi na idumu.

Kwa ndugu zangu wote wengine, in two hours from now nitakua na waziri wa jamhuri yetu, sasa kama kuna any mwenye tatizo la kuhusiana na ishus za sheria unaweza kunitwangia ili nikupatie nafasi ya kuongea naye nitakua naye for the whole day na mpaka weekeend, najua wakulu wengi sana hapa mnazo namba zangu, msiokuwa nazo ni-beep kwenye PM nitakuwekea sina noma maana sina tatizo niko clean, na kumbuka hizi chance za kua na wakulu hupatikana kwa nadra sana na tuko hapa kusaidiana pia.

Mungu Aibariki Tanzania.
 
So far Mr Mengi you r in right truck!!

Bania hapo hapo...you will definetly priempt the hell n them!!
 
- Now with all that said, naomba kuji-excuse myself kutoka kwenye huu mjadala, na mijadala ya Lau in the future, na pia naomba kuomba radhi kwa wale wote ambao kwa njia moja au another, nimewakwaza kwa msimamo wangu usiokubalika hapa JF kuhusu hii ishu. JF tunapokuwa kwenye focus ya taifa huwa tunakua very effective lakini sio tunapokwaruzana mpaka nje ya mstari as of this ishu, then tunakosa focus na hatuwi effective kwa tunaowalenga. Na this is time for me to reachout in a serious tone.

Kwa hayo machache naomba kujiweka pembeni na ninawatakia mjadala mwema ndugu zangu, taifa siku zote mbele na JF juu zaidi na idumu.Kwa ndugu zangu wote wengine, in two hours from now nitakua na waziri wa jamhuri yetu, sasa kama kuna any mwenye tatizo la kuhusiana na ishus za sheria unaweza kunitwangia ili nikupatie nafasi ya kuongea naye nitakua naye for the whole day na mpaka weekeend, najua wakulu wengi sana hapa mnazo namba zangu, msiokuwa nazo ni-beep kwenye PM nitakuwekea sina noma maana sina tatizo niko clean, na kumbuka hizi chance za kua na wakulu hupatikana kwa nadra sana na tuko hapa kusaidiana pia.

Mungu Aibariki Tanzania.

Angalau kidooogo nimeanza kukuelewa sasa... MUNGU akupiganie mkuu
 
- Kwanza naomba kujibu swali lako la msingi, "Tu" katika siasa ni neno la kawaida kutumika na mtu mmoja, linasimamia msimamo tu na haina maana ni watu wengi represented na sio lazima iwe.

- Now with all due respect, naomba kusema hivi sio siri kwamba msimamo wangu katika hii ishu umegeuka kua kikwazo kikubwa kwa wananchi wengi hapa JF, nilisimama kama siku zote kusimamia ukweli ambao nimeuona ukijaribu kupindishwa kuhusu background yake kwenye elimu na kazi, kabla ya kufikia uwaziri na ubunge, kwenye hilo naomba kurudia kwua sina cha kua-apologize, na hata siku moja akishambuliwa member yoyote ninayemfahamu hapa JF nitafanya the same, nitamtetea to end ili ukweli usipindishwe, ila maovu yake nitamuachia mwenyewe ayajibu.

- Now sina uhakika wa karibu of kazi za Lau as waziri, lakini to me kuna wakati aliwajibia IMMA kwa niaba ya mtoto wa rais kuhusu utata wa ajira yake kule, that was wrong na nilisema wazi hapa JF, sasa since then kumekwua na lawama nyingi sana kumuelekezea Lau kama waziri, in the last four days nimeongea na members wengi sana hapa kwa simu ambao ninawaheshimu sana, na I could not help kuisikia the emotions displayed kuhusu conduct za Lau as waziri, na mmoja wapo ambaye aliwahi kusoma naye, tulifikia kukubaliana kua uwezekano wa taifa letu kubadilishwa na generation yetu, ni mdogo sana labda watoto wetu kutokana na dis-appointment ya Lau.

- Now with all that said, naomba kuji-excuse myself kutoka kwenye huu mjadala, na mijadala ya Lau in the future, na pia naomba kuomba radhi kwa wale wote ambao kwa njia moja au another, nimewakwaza kwa msimamo wangu usiokubalika hapa JF kuhusu hii ishu. JF tunapokuwa kwenye focus ya taifa huwa tunakua very effective lakini sio tunapokwaruzana mpaka nje ya mstari as of this ishu, then tunakosa focus na hatuwi effective kwa tunaowalenga. Na this is time for me to reachout mkulu on a serious tone, na kinachonisikitisha sana ni kwamba only last two weeks nilikuwa na his dad for four days before all this cameout, lakini hakijaharibika kitu.

Kwa hayo machache naomba kujiweka pembeni na ninawatakia mjadala mwema ndugu zangu, taifa siku zote mbele na JF juu zaidi na idumu.

Kwa ndugu zangu wote wengine, in two hours from now nitakua na waziri wa jamhuri yetu, sasa kama kuna any mwenye tatizo la kuhusiana na ishus za sheria unaweza kunitwangia ili nikupatie nafasi ya kuongea naye nitakua naye for the whole day na mpaka weekeend, najua wakulu wengi sana hapa mnazo namba zangu, msiokuwa nazo ni-beep kwenye PM nitakuwekea sina noma maana sina tatizo niko clean, na kumbuka hizi chance za kua na wakulu hupatikana kwa nadra sana na tuko hapa kusaidiana pia.

Mungu Aibariki Tanzania.

Maadamu umejitoa sijui kama utaweza soma hii post! Anyway hapa is where we dare to talk openely.Its extremely hard for all of us here to think similar in certain issue.Being criticised doesnt mean people do hate u or dont appreciate what you say.Even if you are speaking the whole truth still people retain right to criticise or think different form what u think is the truth. By the way accepting challenges and critics is a sign of maturity .
 
"A leader who makes a threat should be able to follow it to its logical conclusion". Who said this?
 
-
- Now with all that said, naomba kuji-excuse myself kutoka kwenye huu mjadala, na mijadala ya Lau in the future, na pia naomba kuomba radhi kwa wale wote ambao kwa njia moja au another, nimewakwaza kwa msimamo wangu usiokubalika hapa JF kuhusu hii ishu. JF tunapokuwa kwenye focus ya taifa huwa tunakua very effective lakini sio tunapokwaruzana mpaka nje ya mstari as of this ishu, then tunakosa focus na hatuwi effective kwa tunaowalenga. Na this is time for me to reachout mkulu on a serious tone, na kinachonisikitisha sana ni kwamba only last two weeks nilikuwa na his dad for four days before all this cameout, lakini hakijaharibika kitu.

Kwa hayo machache naomba kujiweka pembeni na ninawatakia mjadala mwema ndugu zangu, taifa siku zote mbele na JF juu zaidi na idumu.
Hewaaa umesarenda kuwa ulikuwa unatetea mtu asiyeteteeka....hata mawakili kuna kesi wanazikimbia bwa ha ha ha ha ha tunamkoma nyani giladi,nani atakuwa mtetezi wa Masha hapa?

- Kwa ndugu zangu wote wengine, in two hours from now nitakua na waziri wa jamhuri yetu, sasa kama kuna any mwenye tatizo la kuhusiana na ishus za sheria unaweza kunitwangia ili nikupatie nafasi ya kuongea naye nitakua naye for the whole day na mpaka weekeend, najua wakulu wengi sana hapa mnazo namba zangu, msiokuwa nazo ni-beep kwenye PM nitakuwekea sina noma maana sina tatizo niko clean, na kumbuka hizi chance za kua na wakulu hupatikana kwa nadra sana na tuko hapa kusaidiana pia.

Mungu Aibariki Tanzania.
Hapo tu ndio kamba zako zinapoanzia,gia kali hiyo bwa ha ha ha

A'fu tunaogopa kukutumia PM utazianika hapa jamvini.....weka namba yako tutakupigia tuongee na huyo mshikaji wako waziri wa jamhuri
 
- Wewe nitafute au waachie wenye shida wapate nafasi, mengine ni yale yale ya kuamini Fisadi Haileselassie ni Mungu, no wonder hatuelewani hapa maana tuna-discuss vipi na watu wanaoamini fisadi mwizi Hailessalesie kua ni Mungu!!! Bwa! ha! ah! ah!

Mkuu wangu mazee Yo Yo, look busy weeke end tunakwua na waziri na pia Shujaa Mama Kilango naye ameingia jana usiku kwa hiyo everything is under control, wewe twanga tu kama huna namba yangu ni-beep nitakupa sina noma.

Mkuu have a nice day, sisi ngoja tuwahi .........nyama choma na mkulu! najua wewe nyama haipandi kwa sababu Mungu Hailessalesia amekukataza, Bwa! ha! ah! ah!

Samahani lakini kwa kukuwaza mkuu si unajua week end hiyo, see yah!
 
😱 Seven Business Days?
Tuone 'Mkondo' ukichukua sheria... S#^<! Type

Sheria ikichukua mkondo!
🙄
 
Last edited:
3085d1229189801-mengi-vs-masha-tuhuma-vitisho-na-matokeo-michkp-1-.jpg

Me Say No More...
 
Attachments

  • michkp[1].jpg
    michkp[1].jpg
    23.5 KB · Views: 109
sorry to burst your bubble.. suala hili limefikia tamati ya kiutuzima. Nadhani na sisi tuliache liishie hivyo hivyo na turudi kwenye Kagoda yetu, EpA, Meremeta na wenzake. Kama wangekuwa na la kufanya wangefanya na habari toka ndani sana, kijana wetu alikosea tu kidogo na ninaamini atakuwa amejifunza.

Katika mazungumzo yetu tusije kumdestroy isipokuwa kama yeye mwenyewe anatupa sababu hasa ya kufanya hivyo, hili la yeye na Mengi sidhani kama linafikia kwenye level hiyo. Tunachotaka kuona ni jinsi gani anashughulikia uhalifu uliopo sasa na kama atasimamia kampeni dhidi ya mauaji ya Albino angalau kwenda huko vijijini na kuonekana na wananchi.

Sijamuona Masha akisimama na maaAlbino kuonesha kuwa kweli anajali na yuko on top of it (haina maana hajawahi kufanya hivyo).
 
Si vibaya mtu kuweka manyanga chini na kuchukua vinyambu vyako na kuishia, hasa kama unga ni robo na maji mekoni yako kwa mlima.Usije pika uji badala ya Bondo.

Makepteni wetu watapandishwa vyeo hadi tuwapate ma Field Marshal wengine.

Likizo njema mkuu.
 
- Wewe nitafute au waachie wenye shida wapate nafasi, mengine ni yale yale ya kuamini Fisadi Haileselassie ni Mungu, no wonder hatuelewani hapa maana tuna-discuss vipi na watu wanaoamini fisadi mwizi Hailessalesie kua ni Mungu!!! Bwa! ha! ah! ah!

Mkuu wangu mazee Yo Yo, look busy weeke end tunakwua na waziri na pia Shujaa Mama Kilango naye ameingia jana usiku kwa hiyo everything is under control, wewe twanga tu kama huna namba yangu ni-beep nitakupa sina noma.

Mkuu have a nice day, sisi ngoja tuwahi .........nyama choma na mkulu! najua wewe nyama haipandi kwa sababu Mungu Hailessalesia amekukataza, Bwa! ha! ah! ah!

Samahani lakini kwa kukuwaza mkuu si unajua week end hiyo, see yah!
Mkuu unamsikiliza yule nesi YNIM?

Ngoja niongee na wadau, ukiweka PM yangu hapa sina hiyana nakuroga!
 
Mkuu unamsikiliza yule nesi YNIM?

Ngoja niongee na wadau ukiweka PM yangu hapa,sina hiyana nakuroga!

Haa haa haa!

Tunguli!

Hiyo ni just in case weapon yangu, huwa naitumia pale tu nina pokuwa kwenye Panic Mode.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom