Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,646
Waku habari za leo.
Kuna shule ya sekondari ni ya muda mrefu na imekuwa haifanyi vizuri sana. Ipo Dar. Mmiliki ameamua kufanya TRANSFORMATION. Sasa anahitaji meneja wa kusimamia mabadiliko makubwa shuleni. Kusimamia mitaala, mafunzo na kukuza uwezo wa kujieleza wanafunzi na kujua hisabati. Atawasimamia waalimu akiwemo mwalimu mkuu yaani headmaster.
Nahitaji kukutana na mtu mwenye uwezo wa kuyafanya hayo kisha nimpeleke kwa mmiliki akabidhiwe majukumu.
Naomba unitumie namba yako pm kisha tutapanga ni wapi tukutane tuongee kwa undani.
Asante.