Meneja Wa Shule Anahitajika

Malyenge

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,658
3,645
Waku habari za leo.
Kuna shule ya sekondari ni ya muda mrefu na imekuwa haifanyi vizuri sana. Ipo Dar. Mmiliki ameamua kufanya TRANSFORMATION. Sasa anahitaji meneja wa kusimamia mabadiliko makubwa shuleni. Kusimamia mitaala, mafunzo na kukuza uwezo wa kujieleza wanafunzi na kujua hisabati. Atawasimamia waalimu akiwemo mwalimu mkuu yaani headmaster.
Nahitaji kukutana na mtu mwenye uwezo wa kuyafanya hayo kisha nimpeleke kwa mmiliki akabidhiwe majukumu.
Naomba unitumie namba yako pm kisha tutapanga ni wapi tukutane tuongee kwa undani.
Asante.
 
Mkuu nitafute kwa 0658 186020 tuwasiliane.,nipo Dar es salaam
 
Ubora wa shule unaanzia kwenye ubora wa wanafunzi mnaowakubalia admission, hakuna uchawi hapo. Mkiendelea kuchukua watoto vichwa vigumu kama vya ngere mwisho watafeli na hakuna mzazi atawaamini na kuleta mtoto hapo. Watoto wakifeli hata huyo manager aki-manage kwa machozi na damu kamwe hamtafanikiwa.

Manager:D:D
 
Na mifumo ya shule nayo inasaidia....
Si vichwa vya watoto tu.
 
Waku habari za leo.
Kuna shule ya sekondari ni ya muda mrefu na imekuwa haifanyi vizuri sana. Ipo Dar. Mmiliki ameamua kufanya TRANSFORMATION. Sasa anahitaji meneja wa kusimamia mabadiliko makubwa shuleni. Kusimamia mitaala, mafunzo na kukuza uwezo wa kujieleza wanafunzi na kujua hisabati. Atawasimamia waalimu akiwemo mwalimu mkuu yaani headmaster.
Nahitaji kukutana na mtu mwenye uwezo wa kuyafanya hayo kisha nimpeleke kwa mmiliki akabidhiwe majukumu.
Naomba unitumie namba yako pm kisha tutapanga ni wapi tukutane tuongee kwa undani.
Asante.
Meneja na shule wapi na wapi?nilifikili anataka kubadilisha headmaster, meneger ni wachache wanaofahamu kuhusu shule ila changes azifanye kwa headmaster na academic
 
Meneja wa shule mwenye education background.
Hivi ni vyeo tu msiwaze tofauti.
 
Ubora wa shule unaanzia kwenye ubora wa wanafunzi mnaowakubalia admission, hakuna uchawi hapo. Mkiendelea kuchukua watoto vichwa vigumu kama vya ngere mwisho watafeli na hakuna mzazi atawaamini na kuleta mtoto hapo. Watoto wakifeli hata huyo manager aki-manage kwa machozi na damu kamwe hamtafanikiwa.

Manager:D:D
napingana na wewe, education management haiko hivyo watoto wote wana haki ya kuwa admitted regardless of their academic inability!! ni taaluma tu na uongozi unaweza kumbadilisha mtoto maana ukiwakataa watu watukutu ni sawa na kusema wao hawana haki ya kujifunza
 
Ubora wa shule unaanzia kwenye ubora wa wanafunzi mnaowakubalia admission, hakuna uchawi hapo. Mkiendelea kuchukua watoto vichwa vigumu kama vya ngere mwisho watafeli na hakuna mzazi atawaamini na kuleta mtoto hapo. Watoto wakifeli hata huyo manager aki-manage kwa machozi na damu kamwe hamtafanikiwa.

Manager:D:D
Mazingira na akili ya asili vinaenda sambamba.
 
Si kweli. Sifa ya mwalimu au shule ni kumtoa ujingani mtu duni kabisa mpaka kuwa mtu wa juu kabisa kielimu. Ukiona shule inakumbatia wenye vipaji pekee basi jua kwamba wanafunzi wakifaulu watakuwa wamefaulu kwa akili zao na si juhudi za shule.
 
Si kweli nini mkuu?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom