Meneja Wa Shule Anahitajika

Hakuna kitu kinachoitwa akili ya sili.
Kwanini kisiwepo? Labda tafsiri yake niliyoweka siyo rasmi ndiyo maana unasema hakuna.

Wote tumesoma darasa moja tumefundishwa na mwalimu mmoja kwa wakati mmoja ila tukifanya majaribio ya tulichofundishwa tunazidiana.

(Nature na nurture) vinaenda kwa pamoja.
 
Mwenye shule ni mtu,watu au taasisi?.
Ktk utendaji meneja amepewa eneo gani la kulisimamia.
Ukituambia ule utaratibu wa kiuendeshaji ,tunaweza kumsaidia ushauri unaoweza kumsaidia hata bila ya kumbadili meneja.
 
Kwanini kisiwepo? Labda tafsiri yake niliyoweka siyo rasmi ndiyo maana unasema hakuna.

Wote tumesoma darasa moja tumefundishwa na mwalimu mmoja kwa wakati mmoja ila tukifanya majaribio ya tulichofundishwa tunazidiana.

(Nature na nurture) vinaenda kwa pamoja.
Kumbe mnazidiana! Nilifikiri wote hamwelewi au mnafeli!
 
Na mifumo ya shule nayo inasaidia....
Si vichwa vya watoto tu.
Mazingira na akili ya asili vinaenda sambamba.
napingana na wewe, education management haiko hivyo watoto wote wana haki ya kuwa admitted regardless of their academic inability!! ni taaluma tu na uongozi unaweza kumbadilisha mtoto maana ukiwakataa watu watukutu ni sawa na kusema wao hawana haki ya kujifunza
Na mifumo ya shule nayo inasaidia....
Si vichwa vya watoto tu.
Kama mnayoyasema ni sahihi ni kwanini shule nyingi binafsi zinafanya usaili kwa watoto kabla ya kuwasajili na kwa nini shule nyingi zenye ufaulu mzuri (FEZA Et al) wanakuwa strict sana kwenye ufaulu wa mtoto kabla hawajamsajili?? Mpeleke mtoto FEZA na wastani wa D uone kama atachukuliwa.
 
Wapumbafu.......
Sifa kubwa ya shule ni kumchukua mwenye wastani wa D kisha ikam sharpen akapata wastani wa A!!.
Ni kasumba ya hovyo sana kudhani kwamba mwenye grade D hawezi kupata grade A. Ni uvivu wa kufundisha tu ndio unawasumbua hizo shule.
 
Pamoja na upumbavu wao, ndizo shule zinazofanya vizuri kila mwaka zaidi ya shule zenu “werevu".
 
Acha zifanye vizuri na ziendelee kufanya vizuri. Lakini zitabaki kuwa wapumbafu lakini wanafunzi kumbe ndio werevu maana wanafaulu kwa akili zao na si kwa juhudi za ahule. Shule zimewakuta wakiwa na akili zao kamili. Hazijawasaidia chochote....
 
Waku habari za leo.
Kuna shule ya sekondari ni ya muda mrefu na imekuwa haifanyi vizuri sana. Ipo Dar. Mmiliki ameamua kufanya TRANSFORMATION. Sasa anahitaji meneja wa kusimamia mabadiliko makubwa shuleni. Kusimamia mitaala, mafunzo na kukuza uwezo wa kujieleza wanafunzi na kujua hisabati. Atawasimamia waalimu akiwemo mwalimu mkuu yaani headmaster.
Nahitaji kukutana na mtu mwenye uwezo wa kuyafanya hayo kisha nimpeleke kwa mmiliki akabidhiwe majukumu.
Naomba unitumie namba yako pm kisha tutapanga ni wapi tukutane tuongee kwa undani.
Asante.
Nikupe tu ushauri wa bure mkuu Malyenge in the short run mwambie huyo boss ajikite katika kusajili wanafunzi wazuri (smart) tu au wa wastani ili matokeo ya miaka mitano ya mwanzo yawavutie zaidi wateja wenu (hii inaenda sambamba na mazingira mazuri ya kusomea na kufundishia) baada ya kutengeneza philosophy ya shule na kupata wateja wa kutosha hapo mnaweza kuwekeza zaidi katika uboreshaji wa mazingira ya kusomea na kufundishia. Mkijikita katika kuboresha mazingira tu in the short run mtapata hasara tu. Kwenye soko la elimu ufaulu ni tangazo namba moja.
 
You said it well..Shule zote zinazofanya vizuri kitaifa,huchukua wanafunzi wazuri,kuanzia za serikali (special schools ) hadi hizi za private,Marian,Feza,Mary Goreth etc
 
Nikupe tu ushauri wa bure mkuu Malyenge in the short run mwambie huyo boss ajikite katika kusajili wanafunzi wazuri (smart) tu au wa wastani ili matokeo ya miaka mitano ya mwanzo yawavutie zaidi wateja wenu (hii inaenda sambamba na mazingira mazuri ya kusomea na kufundishia) baada ya kutengeneza philosophy ya shule na kupata wateja wa kutosha hapo mnaweza kuwekeza zaidi katika uboreshaji wa mazingira ya kusomea na kufundishia. Mkijikita katika kuboresha mazingira tu in the short run mtapata hasara tu. Kwenye soko la elimu ufaulu ni tangazo namba moja.
Sihitaji ushauri wa hivyo. Tunataka kutengeneza brand. Hatuna ubaguzi shuleni kwetu. Hii siyo shule ya dini wala upendeleo. Hao wasiofanya vizuri tunamwachia nani awape elimu....? Huwezi kupandikiza ubaguzi shuleni kwetu.....tuache tufanye hivi maana tunajua ni miundombinu tu inambadilisha mwanafunzi. Ushauri wako ungefaa ingekuwa sisi tunachukua wanafunzi wavuta bangi au waliopungukiwa na maadaili. Lakini suala la uwezo lina factors nyingi sana. Mtoto anayefanya vibaya anaweza kuwa alosababishwa na mazingira ya kwao. Wengine wananyimwa chakula kwao kutokana na kuishi na watu wenye roho mbaya ama hawajui umuhimu wa elimu....nk.
Kifupi ushauri wako kwenye shule yetu hau apply!
 
Weka jina la shule hapa ili tuje kuitumia baadae kama reference.
 
Iwe kwa kuniomba ama kunilazimisha nasema huna mamlaka hayo. Full stop!
Hahahaa kwa akili hizi nampa pole mwenye shule kwa kukupa wewe kazi hii, kiufupi hauna maono na hiyo shule itaendelea kushiindwaaaa sana sababu HUNA AKILI ya kuona mbali.:D:D:D
 
Nenda kalale. Sihitaji wala sitegemei mawazo ya kuimarisha shule yapatikane kirahisi namna hii. Acha wivu kama huna mtaji wa kuanzisha shule usione wivu.
Yule atakayeajiriwa ataleta mabadiliko tu pamoja na dua zako za kuku.
Tutaajiri professional atakayelera changes. Maneno ya kukatisha tamaa hayana nafasi kwangu. Pole na usiku mwema!
 
Mtaendelea kupiga mark time na kishule chenu uchwara kisichokua na mbele wala nyuma.:D:D
 
Back
Top Bottom