BlackGold_
Member
- May 31, 2013
- 94
- 27
Kwenye mahusiano kuna kiongozi lazima na mmoja lazima akubaliane. Haya mambo ya kutafuta "droo" "droo" ndiyo maana mwisho w siku lazima ndoa ivunjike.
Mwanamke ni tofauti sana n mwanaume! Mfumo mzima w vichocheo vya mwili "hormones" ni tofauti dominant hormones on both sexes are not the same so are their roles!!
Hii kutaka playing God that is why kila siku amani inazidi kupotea katika familia na jamii. Lazima jamii ielimike hasa elimu ya kuweza kujitambua. Matatizo mengi ya chuki, hasira, visasi yanaanzia kwenye basic unit ya taifa yaan Familia. If we change how we live kuanzia ngazi ya familia tutabadili jamii nzima.
WE NEED TO CHANGE.