Men lets be fair kwa kweli

Men lets be fair kwa kweli

Kwa sredi hii walau leo nimeweza kujua rika lako...

Uwe na siku njema...

mimi nimekuja na suluhuu ya hili mwanume akikuomba picha ya papauchi mwambie atume picha ya kalio lake in details...... akiomba picha ya nyonyo mwambie atume na yeye dushe......
 
Yani katika vitu ambavyo hata kuviwaza siviwezi ni kutuma picha ya papuchi yangu, what for? Papuchi zenyewe zilivyo na sura ya ajabu mmh hapana kwa kweli, na hata zingekuwa nzuri kama tausi, why umtumie mtu picha ya maungo yako ya siri? Kesho zikivujishwa mtandaoni tunaanza kulia lia oooh kanidhalilisha eeeeh jamani wewe wakati unamtumia hizo picha hukujia kama unajidhalilisha? Tuache ujinga wa kujifanya tuna mahaba niue

...nitumie hata copy yake tu...
 
Wasichana ni muda sasa mzuri wa kuacha kutumiana picha za utupu,me akihitaji hizo picha mwambie atume yeye kwanza halafu wewe unakausha na akiwa king'ang'anizi mwambie akuoe ili aione papuchi yako kila siku
 
Hahahahaha ivi kweli mtu anaanzaje kupiga papuchi yake picha.....kwanza na anza anzaje na hisi hata kamera ntaiyonea aibu arrrrrgahh what the ----ing hell I can't do that at all bora bahaba yafe tu, kwanza mie mwanaume akishaanza ooooh nitumie picha ya papuchi oooooh your boobs mara your ass nakulia tu bati yaani napita zangu ivi akaaaah!!
yani wakati wewe unasema hutumi ng'oo kuna wenzio wanatamani waambiwe watume ata sa iv, tena sio picha tu ata video watarekodi.......hapana chezea watu kwa kweli....
 
Na wanawake wasikubali kutuma picha za utupu cz hizo picha zikisambaa mtandaoni utamlaumu nan na wakat ulipiga na kutuma kwa hiari yako,kuna kipind nilikuwag na rafiki ambay hakuwa boyfrnd wang wala nn alikuw akininganganiza sn nimtumie picha za utupu nikamwambia tuma kwanz zako akakataa baadae akatuma mimi nikakataa kumtumia tangu hapo alikasirika sana na kuninunia ,lakini wasichana tuwe makini la sivyo tutaendelea kudhalilishwa kila siku


na sometime I wonder..! anataka picha ya papuchi akupigia nyeto au anafnyia nini?
coz kama ni mtu wako na anataman kuiona ni suala la kuangalia nafas zenu mkutane aione over...!
au ndo hao yuko na demu mwingine ili mzuka ukae sawa anatakiwa aone ile aipendayo...! daaaah shida sana...! eti nitume picha ya papuchi..! hata nikiwa nimevaa puchi tu hupati hutaki kwendaaaaaaaaaaaa
 
Wasichana ni muda sasa mzuri wa kuacha kutumiana picha za utupu,me akihitaji hizo picha mwambie atume yeye kwanza halafu wewe unakausha na akiwa king'ang'anizi mwambie akuoe ili aione papuchi yako kila siku

ha ha ha ha ha uwiii mahaba hayo
 
ndo ukweli huo ndg, nifiche nin sasa. Mpenzi wangu mwenyewe.

Let's say simu yako ikapotea, ushawahi fikiria itaangukia mikononi mwa nani? Atazitumiaje picha za mpenzio?...akiamua kuziweka mitandaoni aibu itakua yako au ya mpenzio? Utu wa nani utakua umedhalilika wako au qa mpenzio?...mpenzi ni wako..kwani akiwa na wewe hauoni ukaridhika?..if the case ni umbali. ...oaneni muonane kila siku
 
mkuu we bado upo Middle stone age,.,

Kwa hili wacha niwe huko

Kuna mambo mengine unaweza kujiuliza kama binadamu mwenye akili timamu kama anaweza kuyafanya

Kuvaa suruali makalioni ni maendeleo
Kutoa tigo ni maendeleo
Kusuka nywele ni maendeleo

Na wote ambao hawafanyi au kutoyaunga mkono hayo wanadaiwa ni watu wa kizamani na wamepitwa na wakati,leo tunaambiwa ni wa "stone age"

Haya vijana kila la kheri na hayo mnayofanya,wacha sisi tuendelee kuwa tupo stone age!
 
duh!...watu wana moyo aisee..
maana papuchi ilivyo na sura mbaya...kama ngozi ya goti..bado unalisave simuni..na kulitazama..!!!!!
Ptuuuuuuuuuuuuu....
 
Back
Top Bottom