Men lets be fair kwa kweli

Men lets be fair kwa kweli

miss chagga big up sana kwa huu uzi. Umenisaidia kufahamu kwamba watu wanaishi na wapenzi wao kwa kuogopana na kuoneana aibu.

Na ndio maana michepuko inaendelea shika kasi.

Yale ambayo wanaona aibu yafanya na wake zao wanayakuta huko nje wakichepuka na mwishoe huishia ita wake au wame zao washamba kumbe ni ujinga wao wenyewe.

Team Eiyer et.al aka Team AIBU ,,badilikeni sasa.

Mapenzi ni UTOTO,
Mapenzi ni UCHAFU,
Mapenzi KUCHIZIKA,
Mapenzi KINYAAA,
Mapenzi EVERYTHN

Tupo selective na too official kwenye non official thing inatugharimu japo hatukubali ndiyo maana sex partner wanakaa muda mrefu kuliko wapenzi kwa kuwa tunapretend zaidi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom