Men lets be fair kwa kweli

Men lets be fair kwa kweli

ila inaleta stimu mtu akiwa mbali kakumiss ukatuma kapicha ka uchi lazma aje..

😛eep:

ha ha ha ndo maana barabani ajali nyingi ,maana njia mzima atakua anaiwaza tu........aidadavue vipi LOL
 
Satetment yako na wewe inatia shaka, Yaani mtu just a friend akuombe picha ya mbunye?Huu urafiki wenu na nyinyi ulikuwa wa mashaka. Hivyo vitu vipo mambo ya mahaba we yaache kama yalivyo. Ila inahitaji busara sana kwa kweli.

He was just a friend na tangu nilipomnyima hizo picha na urafiki ukafia hapahapo sa cjui alikuwa ana nia gani
 
Mambo ya ugali kwa picha nilishakataa kitambo, dushe kuuubwa pichani lafaa nini? Ni aheri kula ka tusipiki laivu kuliko dushe kubwa pichani.

ha ha haha h@kongosho loh dushe mguu wa mtoto ukikutana nacho kitunguu swaumu ha ha ha ha
 
Ni kweli usemach mimi nzweza kuto kufanya ivyo but, ndugu,jirani,marafiki, na hata wadogo zetu wanaweza kufanya ivyo but kitu cha muhimu ni kujitaidi kuishinda nafsi..................au kucontrol hisia maana hisia nikitu kibaya pia ni ngumu kuzicontrol ila angalau ujitaidi zisikutawale coz ndi zinazo sababisha kufanya hivy!
wengine ni husband wewe sema ndiyo hivyotena mahaba nipofue

wewe uwezi unamdogo wako ndugu yako mtoto wako anafanya hayo madudu kwa nia nzuri tu... msiongee hivyo ni shida huku mitaani watoto wanaacha shule
 
Ni kweli usemach mimi nzweza kuto kufanya ivyo but, ndugu,jirani,marafiki, na hata wadogo zetu wanaweza kufanya ivyo but kitu cha muhimu ni kujitaidi kuishinda nafsi..................au kucontrol hisia maana hisia nikitu kibaya pia ni ngumu kuzicontrol ila angalau ujitaidi zisikutawale coz ndi zinazo sababisha kufanya hivy!

sawa mama haya muwaambie na wadogo zenu mtoto hati kwenda shule kumbe kashaharibu kitaaa acha kabisa
 
mwanume mwepesi sana kutuma dushe lake hasa kama anamashine inayotosha ...... kuna wengine wanalilia kabisa unatuma na yeye atume kalio

but kalio ni kalio tuu,,,, kila mmoja analo,,,,kikubwa ni kutokutumiana hizo vitu....kama ni asali wako, mwambie njoo uone live hapa,,,baaaaass,,,,, kutumiana huko ndo mnaishia kudhalilishana,,, na jinsia KE ndo inaadhirika zaidi,,,, sababu unadhalilisha na KE wenzio.
 
Hahahaha ukanikumbusha kuna mtu mmoja ivi allipata ajali kisha haya mambo anadrive huku ana watch X kwa gari hahahahahah alijikuta mataroni ati
ha ha ha ndo maana barabani ajali nyingi ,maana njia mzima atakua anaiwaza tu........aidadavue vipi LOL
 
Bahati mbaya wadada wote waliochangia mada wanaponda kuwa hawawezi kutuma utupu wao kwa vidume. But i beg to differ with you madame chagga...

Wadada wanaongoza kutuma picha kwa mabf zao. Sio lazima ziwe za utupu, hata za kawaida tu. Sijakuomba, wala kukuuliza kuwa nataka picha au audio voice yako...why sending? mwisho wa siku huyo huyo mdada anaanza kutuma nyonyo...then makalio na mwisho utupu wake.

Lakini pia sisi wanaume tunashida hapa, ukikosana na mdada na kuachana nae basi futa hizo picha..unakaa nazo za nini?
Wadada muache kutuma nyuchi zenu na audio ovyo, kwani tumesema twataka kuwasikiliza?!!
 
K ni kitu cha kuheshimiwa , kutunzwa na kufichwa sana, na ndo maana muumba alihakikisha inakuwa chimbo kabisa,,, sasa wewe unayemanua na kupiga picha umtumie mwenzio ni mwendawazimu kabisa.....
 
Bahati mbaya wadada wote waliochangia mada wanaponda kuwa hawawezi kutuma utupu wao kwa vidume. But i beg to differ with you madame chagga...

Wadada wanaongoza kutuma picha kwa mabf zao. Sio lazima ziwe za utupu, hata za kawaida tu. Sijakuomba, wala kukuuliza kuwa nataka picha au audio voice yako...why sending? mwisho wa siku huyo huyo mdada anaanza kutuma nyonyo...then makalio na mwisho utupu wake.

Lakini pia sisi wanaume tunashida hapa, ukikosana na mdada na kuachana nae basi futa hizo picha..unakaa nazo za nini?
Wadada muache kutuma nyuchi zenu na audio ovyo, kwani tumesema twataka kuwasikiliza?!!
Mkuu naungana na wewe kwa moyo mweupeeeeeee....wanatuma wenyewee kwa kututega ili malengo yao yatimie. Anakuvuta kwa picha halafu anaambatanisha na ka invoice.
 
Back
Top Bottom