Men lets be fair kwa kweli

Men lets be fair kwa kweli

Kwa hili wacha niwe huko

Kuna mambo mengine unaweza kujiuliza kama binadamu mwenye akili timamu kama anaweza kuyafanya

Kuvaa suruali makalioni ni maendeleo
Kutoa tigo ni maendeleo
Kusuka nywele ni maendeleo

Na wote ambao hawafanyi au kutoyaunga mkono hayo wanadaiwa ni watu wa kizamani na wamepitwa na wakati,leo tunaambiwa ni wa "stone age"

Haya vijana kila la kheri na hayo mnayofanya,wacha sisi tuendelee kuwa tupo stone age!

kila la KHERI MKUU,, WENZAKO SASA TWAKIMBILIA NUCLEAR AGE. MAPENZI MNAFANYA KWA NJIA YA HEWA,
 
mkubwa unafahamu kitu kinaitwa password, im the only to access the folder.
Wa wapi wewe??

Mie wa hapa hapa
Ati password? ...ndo unajitambia nayo? Hiyo inatolewa tu mbona
 
Aiseeeh hivi na wewe msichana unaamua kabisa kujipiga hizo picha za utupu au unaruhusu akupige hizo picha unakuwa na akili sawasawa kweli????
 
Hivi na kwanini hasa upige picha sehemu za mwili wako uchi???....Ina maana mkitazamana humo vyumbani hamtosheki...mbona mkiitana kufanya mambo yenu mnajificha hamfanyii hadharani??....nachukia kweli aaarrrrrrhggghhh.
 
duh!...watu wana moyo aisee..
maana papuchi ilivyo na sura mbaya...kama ngozi ya goti..bado unalisave simuni..na kulitazama..!!!!!
Ptuuuuuuuuuuuuu....

hahahaaa! Unaitema papuchi kweli,, kweli, kweeelii!!!???

Wewe huna mpenzi, au una BRAIN TUMOR, HUENDA ULIKUTANA NA PAPUCH MBAAYA HADI IMEKUACHIA PSYCH.SCARS.
 
Hivi na kwanini hasa upige picha sehemu za mwili wako uchi???....Ina maana mkitazamana humo vyumbani hamtosheki...mbona mkiitana kufanya mambo yenu mnajificha hamfanyii hadharani??....nachukia kweli aaarrrrrrhggghhh.
mahaba mahabati acha kabisa mapenzi hayana formula
Aiseeeh hivi na wewe msichana unaamua kabisa kujipiga hizo picha za utupu au unaruhusu akupige hizo picha unakuwa na akili sawasawa kweli????

akili unakuwa nazo zoote sema sasa hapo unataka kupalilia penzi likiwa mbali.... mumeo amekumisss anakuambia nitumia chakula yangu uwezi kataa unaenda washroom inaifotoa unaiweka hewani
 
hahahaaa! Unaitema papuchi kweli,, kweli, kweeelii!!!???

Wewe huna mpenzi, au una BRAIN TUMOR, HUENDA ULIKUTANA NA PAPUCH MBAAYA HADI IMEKUACHIA PSYCH.SCARS.
ha ha ha haha hahaa
 
ila inaleta stimu mtu akiwa mbali kakumiss ukatuma kapicha ka uchi lazma aje..

kama wa kuja ni wa kuja tu...! sio lazma picha ya papuchi yako!
sana sana unaweza ndo ukawa umestimu zaid atafute wa fasta....!
A na Z ni sawa tu dear...! ni position tu zina tofautiana
hahahahahahaaaaa
 
mahaba mahabati acha kabisa mapenzi hayana formula

akili unakuwa nazo zoote sema sasa hapo unataka kupalilia penzi likiwa mbali.... mumeo amekumisss anakuambia nitumia chakula yangu uwezi kataa unaenda washroom inaifotoa unaiweka hewani

Kisa kumfurahisha mpenzi akaaah mwache anune tu kwakweli, kwanza anayekupenda kweli atakuheshimu na kamwe hutosikia akisema uo ujinga.
 
wengine ni husband wewe sema ndiyo hivyotena mahaba nipofue

wewe uwezi unamdogo wako ndugu yako mtoto wako anafanya hayo madudu kwa nia nzuri tu... msiongee hivyo ni shida huku mitaani watoto wanaacha shule

hivi hiyo nia nzuri uliyong'ang'ania ni ipi miss chagga?
 
Last edited by a moderator:
mahaba mahabati acha kabisa mapenzi hayana formula

akili unakuwa nazo zoote sema sasa hapo unataka kupalilia penzi likiwa mbali.... mumeo amekumisss anakuambia nitumia chakula yangu uwezi kataa unaenda washroom inaifotoa unaiweka hewani

duh, kuna mume wa hivyo kweli? atakuwa mpiga nyeto huyo, si bure!
 
Back
Top Bottom