Men lets be fair kwa kweli

Men lets be fair kwa kweli

kaka shikamoo...
Marahabaa hujambo??
kuna hadi watu wazima kuzidi wewe wanafanya hivi si utoto to me naona ni mapenzi ila baada ya kmaliza mapenzi msiaibishane ni party of love....
Askari polisi akiiba haina maana kuwa wizi ni halali kwakuwa aliyefanya hivyo ni polisi

Mtu mzima akifanya mambo ya kitoto huyo tunamuona ni juha
mahaba nipoteze najua wengi humu wanafanya hivyo though hapa wanazunguka tu ........ mapenzi ni upofu kuna ujinga mwingi kwenye mapenzi...
Hapana,Mapenzi sio upofu ila wajinga ndio vipofu wa mapenzi

Mnayasingizia mapenzi kwa ujuha wenu!
 
Marahabaa hujambo??

Askari polisi akiiba haina maana kuwa wizi ni halali kwakuwa aliyefanya hivyo ni polisi

Mtu mzima akifanya mambo ya kitoto huyo tunamuona ni juha

Hapana,Mapenzi sio upofu ila wajinga ndio vipofu wa mapenzi

Mnayasingizia mapenzi kwa ujuha wenu!
sawa kaka raha ya penzi kusiwe na formula
 
mapenz yanavipengele vingi sana siku hizi..... akikuomba ukimnyima anajua umemtumia mwengine.....
 
Narudia tena ....

Kama wewe ni mtu mzima unataka au unaomba mtu wako akutumie picha ya sehemu nyeti,naomba ujue kuanzia leo wewe ni mpuuzi kupitiliza na hujakua

Unataka hiyo picha kwaajili ya nini?

Natarajia hili litokee kwa ma teenage ambao bado upeo wao wa kuona mambo ni mdogo,sasa kama na mtu mzima unafanya haya wewe ni wa hovyo sana!

Mimi sifanyi, na siwezi kufanya ila nimeelezea kutokana na picha tunazoziona mtandaoni. Picha tunazoziona sio za watoto hata kidogo thats y nikasema tusiwazingizi.

Hata video ya X kwangu huwezi ikuta iwe cd, kwenye simu au simu. Huwa sioni kama zinamsaada wowote zaidi ya problems
 
Bahati mbaya wadada wote waliochangia mada wanaponda kuwa hawawezi kutuma utupu wao kwa vidume. But i beg to differ with you madame chagga...

Wadada wanaongoza kutuma picha kwa mabf zao. Sio lazima ziwe za utupu, hata za kawaida tu. Sijakuomba, wala kukuuliza kuwa nataka picha au audio voice yako...why sending? mwisho wa siku huyo huyo mdada anaanza kutuma nyonyo...then makalio na mwisho utupu wake.

Lakini pia sisi wanaume tunashida hapa, ukikosana na mdada na kuachana nae basi futa hizo picha..unakaa nazo za nini?
Wadada muache kutuma nyuchi zenu na audio ovyo, kwani tumesema twataka kuwasikiliza?!!
picha za kawaida natuma audio kama nipo bussy siwezi kuchati natuma tu..... audio ni kama simu tu any way mitazamo tu walioweka hizo hawakukosea ni matumizi tu tunavyo,........... jamani audio inarahisha mawasiliano sana naipenda
 
Mimi sifanyi, na siwezi kufanya ila nimeelezea kutokana na picha tunazoziona mtandaoni. Picha tunazoziona sio za watoto hata kidogo thats y nikasema tusiwazingizi.

Hata video ya X kwangu huwezi ikuta iwe cd, kwenye simu au simu. Huwa sioni kama zinamsaada wowote zaidi ya problems

Kama wewe haufanyi wizi huna sababu ya kutetea wizi

Utatetea wizi ili iweje?
 
mapenz yanavipengele vingi sana siku hizi..... akikuomba ukimnyima anajua umemtumia mwengine.....

Aisee ....

Vijana wamekuwa wa ajabu sana siku hizi

Nikijua tu unawaza kwa aina hii,sitaki kabisa hata kuwa na mazoea na wewe ....!!
 
Let's say simu yako ikapotea, ushawahi fikiria itaangukia mikononi mwa nani? Atazitumiaje picha za mpenzio?...akiamua kuziweka mitandaoni aibu itakua yako au ya mpenzio? Utu wa nani utakua umedhalilika wako au qa mpenzio?...mpenzi ni wako..kwani akiwa na wewe hauoni ukaridhika?..if the case ni umbali. ...oaneni muonane kila siku

mkubwa unafahamu kitu kinaitwa password, im the only to access the folder.
Wa wapi wewe??
 
Back
Top Bottom