dikembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 1,645
- 1,439
Na wanawake wasikubali kutuma picha za utupu cz hizo picha zikisambaa mtandaoni utamlaumu nan na wakat ulipiga na kutuma kwa hiari yako,kuna kipind nilikuwag na rafiki ambay hakuwa boyfrnd wang wala nn alikuw akininganganiza sn nimtumie picha za utupu nikamwambia tuma kwanz zako akakataa baadae akatuma mimi nikakataa kumtumia tangu hapo alikasirika sana na kuninunia ,lakini wasichana tuwe makini la sivyo tutaendelea kudhalilishwa kila siku
Mkuu neha mimi , unajua wakati wa kutumiana MACHAPII ya UPUTU mtu anakua hawazi mbaali anawaza kile kilichopo kutokana na kupumbazwa na mapenzi ya kitoto. Ukijiuliza hizo picha ni za nini huwezi kupata jibu.
Kitu kama papuchi ikiwa bila mfuniko wake (pichu) kwa kweli inakosa mvuto, binafsi sipendi kuiona papuchi ikiwa bila pichu. hainisisimui kabisa. Hata nikiiomba picha ukituma ya hivyo siwezi kuiweka nitaifuta haraka sana.
Last edited by a moderator: