Waliosema mapenzi ni upofu hawakukosea, hayana mkubwa wala mdogo, hayana ,masikini wala tajiri, hayana mrefu wala mfupi, hayana msomi wala asiye msomi, haya mambo yanafanywa mpaka na viongozi wakubwa kabisa kwenye nchi na duniani. Na yanapotokea hayo hata huwezi fikiria kesho itakuwaje.
Kwa hiyo hii kitu wala msiwasingizie watoto, watu wazima kabisa na elimu zenu na kazi zenu. Wengine wake na waume zao, wapenzi n.k. Lakini msisitizo kuwa, kwa kuwa mapenzi ya kibongo ni kama vita, wengi wakishaachana huwa maadui na hapa ndio shughuli huanza ya kudhalilishana.
Cha msingi ni busara tu kati ya wawili.