::Memo for The Boss::

Thubutu, umeona anavyobehave leo?
Leo anatulia na mie, vijumba vidogo leo wanalo
Ndio maana tumeweka security ya nguvu mlangoni. Hatutaki ma nungayembe yaje kutuchafulia party yetu bwana.



Ndio maana nikaomba mwongozo mapema
( nina kichupa cha tindikali )
Hahahahahaha, safi sana. Mi mwenyewe nimepuliza kitu kidogo jikoni with JS, naona yeye kaingia kulala kwanza. Hata mimi ngoja nikapumzike kidogo, I'll be back in an hour or so. lol

[/QUOTE]
 
Ok sawa madame....
Nilikuwa nawapanga vijana wangu hapa ili kazi ikae sawa na watu wasiboreke....
 
Mwache Smile, ujana unamdanganya. Atafundishwa na dunia...
Smile dear, kama bado moyo upo we banana na Cantalisia hivo hivo. in a man's life women come and go, but he always has one to run to. Sasa kama ukiamua, that one could be you my dear.
mimi siwezi kujilazimisha kwa mwanaume mimi nitapata tu siku mungu akipenda
kwani nafasi za nyumba ndogo kwa the boss zimejaa
yeye ndo last hope kwangu
 
mimi siwezi kujilazimisha kwa mwanaume mimi nitapata tu siku mungu akipenda
kwani nafasi za nyumba ndogo kwa the boss zimejaa
yeye ndo last hope kwangu
Smile kwani umeshaachana na Smiling Saint?
Kwenye hii sherehe tunafikiri kuwachuja ma-Singles wakae kivyaoooo na sisi wenye familia tutakuwa tukimpa The Boss kampany kiutu uzima....
Fanya maamuzi haraka.....
 
umenionea mtei one au smiling saint?
Yupo alikuwa anashangaa shangaa jinsi ukumbi ulivyopambwa.....
Lol ngoja nimtafute walau RR aache maneno mbofumbofu kwako......
 
Smile kwani umeshaachana na Smiling Saint?
Kwenye hii sherehe tunafikiri kuwachuja ma-Singles wakae kivyaoooo na sisi wenye familia tutakuwa tukimpa The Boss kampany kiutu uzima....
Fanya maamuzi haraka.....

Ndo maana nimechelewa kwenye hii party, kumbe kuna kubaguana!
 
HBD The Boss.....

Wazee tunafanya tambiko huku. Unakaribia kuingia kwenye kundi letu la wachungulia makaburi siku za karibuni....
 

Nilichoelewa hapo ni hiyo Happy Birthday........................Wakati mwingine andika KISWAHILI bana...................LOL
Happy Birthday THE BOSS......................
 
dah niliachwa siku nyingi mwenzio.mdogo wangu canta niliemtoa kijijini kanichukulia mume hivihvi...... Still searching .... Ila si unajua mambo ya party najua leo lazima nitatoka ngoja niupare

dah! yaani hivi hivi unaumiza moyo wa mtu hapa! ni kweli usemayo?
 
RR tafsiri tafadhali yaani sijaelewa kabisa ulichozungumza japokuwa
naona thread imekuwa ya kiswahili lakini bado sielewi chochote
hebu angalau hata kasummary basi kidogo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…