Roulette
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 5,568
- 5,387
- Thread starter
- #161
Ndio maana tumeweka security ya nguvu mlangoni. Hatutaki ma nungayembe yaje kutuchafulia party yetu bwana.Thubutu, umeona anavyobehave leo?
Leo anatulia na mie, vijumba vidogo leo wanalo
Hahahahahaha, safi sana. Mi mwenyewe nimepuliza kitu kidogo jikoni with JS, naona yeye kaingia kulala kwanza. Hata mimi ngoja nikapumzike kidogo, I'll be back in an hour or so. lolNdio maana nikaomba mwongozo mapema
( nina kichupa cha tindikali )
[/QUOTE]