Member wa jf kwa raha zake

Member wa jf kwa raha zake

Duuh! Huyu inawezakana ni FaizaFoxy in her true colors.
 
Huyo ni Pam Andrews aka Gail October. She is a celeb and creating a zest is her core business. Sasa akivaa kama mkeo watu watamuonaje bwana? Hebu fanya kumfolo insta, usijitie stress. Maisha yakugonge na uifanyishe diet akili na macho?
 
Nataka kugombea umiss tz. Si nimeshafanikiwa kupunguza miaka?

Hakikisha kwanza umerekebisha umri wa pasipoti na leseni ulingane na wa cheti...

La sivyo utashindwa kujiandaa kujibu maswali ya mapaparazi...
 
Hivi nnavyorukaruka kama popcorn kwenye kikaango hao waandishi wa habari watanikalishajr mwenye kikao? Silinganishi vyeti, kwanza nna majina kama saba tofauti
Hakikisha kwanza umerekebisha umri wa pasipoti na leseni ulingane na wa cheti...

La sivyo utashindwa kujiandaa kujibu maswali ya mapaparazi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom