Rais Samia: Hatuwapeleki kula raha, hivyo vitambi vikatoke

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,169
Reaction score
3,670
Akizungumza Septemba 02, 2026, katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka wakuu wa mikoa na viongozi walioteuliwa kuweka pembeni raha na kuchapa kazi kwa bidii ili kuwatumikia wananchi.

"Hatuwapeleki pale mkale raha. Nilikuwa nawaona angalau nyie mliosimama kuja kuapa hapa isipokuwa Kayombo, wote vifungo havifungi vitumbo viko hivi. Mnapambana kufunga kifungo kuja hapa mbele. Sasa hivyo vitambi vikatoke kwenye mikoa, mkachape mguu kweli kweli mwatumikie wananchi"

RC babu,na kile Kitambi sasa
 
Back
Top Bottom