Amesema wakati akichukua fomu hapo Dodoma.
Amesema asingeficha kama angezaliwa baba mmoja yeye na Jakaya!
ni sawa na vuvuzela kukubali mwandosya ni mshua!!!
mnakazi ya kuyazuia mafuriko,endeleeni tuu kama mpaka hawa wananunuliwa..basi jamaa ana hela nyingi
View attachment 258651
View attachment 258649
sisi tunaenda kushangaa hili fisadi lenye kujiamini kama shetani.Lowasa tunamjua ni mwizi sugu lakini bado anataka uraisi.El is very amazing mtu mwizi
sisi tunaenda kushangaa hili fisadi lenye kujiamini kama shetani.Lowasa tunamjua ni mwizi sugu lakini bado anataka uraisi.El is very amazing mtu mwizi
Amesema wakati akichukua fomu hapo Dodoma.
Amesema asingeficha kama angezaliwa baba mmoja yeye na Jakaya!
Chanzo: Michuzi
Kwani nani aliye mwambie Membe kuwa JK ni kaka yake?
Mkuu hasafishiki kwa kivip, maana hana tuhuma wala hatujaona akiburuzwa mahakamani, au wewe una ushahidi kidogo utueleze na wana JF tuelewe....
asitudanganye hawa ni baba mmoja. sisi tutaamini kwa matokeo ya DNA tu pale kwa mkemia mkuu na si kwa maneno
Heri ya Membe kuliko ma-mvi. Jamaa wa kaskazini ametumia, bado anatumia gharama kubwa kutafuta kuwa mpangaji magogoni,jumba namba moja nchini. Nini chanzo cha hizo pesa,nini lengo lake,atarudishaje hizo gharama. Kama CCM hawana mwingine zaidi yake, watakuwa wameshindwa asubuhi. Mr white hair hasafishiki
sisi tunaenda kushangaa hili fisadi lenye kujiamini kama shetani.Lowasa tunamjua ni mwizi sugu lakini bado anataka uraisi.El is very amazing mtu mwizi