Membe: Kikwete siyo kaka yangu

Membe: Kikwete siyo kaka yangu

Bernard Kamilius Membe alizaliwa tarehe 9 Novemba, 1953, Rondo, Chiponda, katika Mkoa wa Lindi, akiwa ni mtoto wa pili kati wa watoto saba (7) waliozaliwa katika familia ya Mzee Kamillius Anthony Ntachile na Mama Cecilia John Membe. Kwa kabila, Bernard Membe ni Mmwera, na kama ilivyo desturi ya Wamwera, watoto hutumia jina la ukoo wa Mama. Hivyo watoto wote saba wa familia hii ya Mzee Kamillius wamekuwa wanatumia jina la upande wa mama yao, Cecilia, yaani Membe.
Umekanusha au umekazia maelezo yake mkuu?
 
Mh. Membe uwe kaka yake yake na kikwete uwe mdogo wake, uwe mjomba wake, uwe binamu yake hayanihusu. Mie kura yangu ya ndio ndio inakuhusu.
 
Back
Top Bottom