Membe: Kikwete siyo kaka yangu

Membe: Kikwete siyo kaka yangu

Heri ya Membe kuliko ma-mvi. Jamaa wa kaskazini ametumia, bado anatumia gharama kubwa kutafuta kuwa mpangaji magogoni,jumba namba moja nchini. Nini chanzo cha hizo pesa,nini lengo lake,atarudishaje hizo gharama. Kama CCM hawana mwingine zaidi yake, watakuwa wameshindwa asubuhi. Mr white hair hasafishiki

Huu ukaskazini ndio unatufanya wakaskazini tuchangishane fedha kwa ajili ya Lowassa. Wewe Msengerema kuwa na adabu acha ubaguzi. Mbona nyie waswahili mmetutawala Mara 2.
 
Kuna ushahidi wa kimazingira japo hakuna wa kijinai. Utajiri alio nao hajawahi kueleza chanzo chake. Tangu amalize chuo kikuu, Lowasa amekuwa kwenye utumishi wa umma. Awaambie watanzania alikuwa akipata mapato gani kwenye utumishi wa umma mpaka kuweza kuwa tajiri. Ni ushahidi huo wa kimazingira ndiyo uliomfanya Mwalimu Nyerere kutamka wazi kuwa Lowasa ni mwizi.

Utajiri wa Lowasa, chanzo chake kinaweza kuelezwa kwa uwezekano wa aina mbili tu, Rushwa au wizi.

Mkuu hasafishiki kwa kivip, maana hana tuhuma wala hatujaona akiburuzwa mahakamani, au wewe una ushahidi kidogo utueleze na wana JF tuelewe....
 
kaka yake wa nini sasa uku mwambieni yeye ni wa baba wa kufikia alikuja na mama kwa ndoa ya pili
 
Heri ya Membe kuliko ma-mvi. Jamaa wa kaskazini ametumia, bado anatumia gharama kubwa kutafuta kuwa mpangaji magogoni,jumba namba moja nchini. Nini chanzo cha hizo pesa,nini lengo lake,atarudishaje hizo gharama. Kama CCM hawana mwingine zaidi yake, watakuwa wameshindwa asubuhi. Mr white hair hasafishiki
kitu unachotakiwa kujua ni kwamba, Lowasa angepigwa chini endapo atateuliwa na ccm ingedondoka kama wapiga kura wasingekuwa watz. lakini kwa watz hawa tulionao, ndugu yangu amini usiamini lowasa akisimama atapata kura nyingi kuliko hata alizopata kikwete, kwasababu watz huwa wanasahau na kudanganyika kwa kitu kidogo sana.

vilevile, watu wamechoka na upole, wanahitaji mtu mkali at least kama kagame fulani ili aichangamshe nchi, watu wamechoka wanahitaji mtu mwenye kujambishajambisha kama lowasa, ikiwa na maana kuwa utawala wa jk watu wameona umekuwa wa upole sana na nchi inachezewa tu ndicho kitu watu wamechoka.

kwa upande wangu, ni bora tupate rais fisadi atakayefanya kazi, hata akiiba lakini basi alete maendeleo. kagame anaiba sana na ana biashara nyingi sana amejilimbikizia kigali lakini analeta maendeleo yanayoonekana. lowasa akiingia lazima ataiba sana lakini ataleta maendeleo. kuna faida gani kuwa na mtu msafi ambaye haleti maendeleo yeyote? shule alizojenga lowasa hadi leo zimekaa kimbulula tu zinamsubiri apate urais aziboreshe.....

ulishaona mikutano ya lowasa? kokote anakotembelea wanampokea kwa wingi kuliko hata machadema, hivi jiulize kuna kitu gani watz wamekiona kwa lowasa kinachowavutia hadi kusahau richmond, utaona kuna potential moja lowasa anayo ambayo haijakuwepo kwenye utawala wa jk na watz wameona lowasa ndio atafanya. jamaa ni mchapa kazi sana pamoja na kwamba najua akiingia gesi yetu lazima ipigwe.
 
Kwani nani aliye mwambie Membe kuwa JK ni kaka yake?
 
Mkuu hasafishiki kwa kivip, maana hana tuhuma wala hatujaona akiburuzwa mahakamani, au wewe una ushahidi kidogo utueleze na wana JF tuelewe....

Kwa kweli jana nilimuona geita nikajiuliza,hivi kweli hili ni tishio?Kuna kila dalili ya kuchomoka kabla ya october.ni pesa watu wanafuata ila huyo mzee hana ubavu wa kusimama na m4c. Eti ahadi yake ya kwanza kwa wanageita ni magwangala ,mawe ya mzungu yanaibiwa na vijana wasio na maeneo ya uchimbaji sasa sijui atawapaje wanageita vitu vya wizi. Lakini zaidi je hayo ndiyo mahitaji ya wanageita?
 
Heri ya Membe kuliko ma-mvi. Jamaa wa kaskazini ametumia, bado anatumia gharama kubwa kutafuta kuwa mpangaji magogoni,jumba namba moja nchini. Nini chanzo cha hizo pesa,nini lengo lake,atarudishaje hizo gharama. Kama CCM hawana mwingine zaidi yake, watakuwa wameshindwa asubuhi. Mr white hair hasafishiki

akili za kimasikini sana hizo..tafuta na wewe pesa zako..acha kuwa na wivu wa kike
 
Nina wasi wasi na hata mkewe Membe, mbona anataka kumfanana na mke wa Jk? hawa watu wana siri ya mtungi.

acha wafanane tu lakini kuingia ikulu ni ndoto na hatakaa awe waziri tena kwenye sserikali ijayo...
 
magufuli rais2015,mtu anayekubalika vijini na mijiji na hasiye na mtandao wa kundi la watu la kumnadi bali anajinadi mwenye kwa utumishi wake unaokubalika kwa watz wote.

Hivi huyo Magufuli kaelezea kwa wananchi zile pesa 262Billion alizitumia kufanyia nini!!?😱
 
magufuli rais2015,mtu anayekubalika vijini na mijiji na hasiye na mtandao wa kundi la watu la kumnadi bali anajinadi mwenye kwa utumishi wake unaokubalika kwa watz wote.
CCM MAGUFULI ndo mtu pekee mwenywe uwezo wakuwanadi wabunge wenu kwenye majukwa ja siasa na watu wakakubali vinginevyo mtatengeneza serikali ya mseto,najua urais mtapata lkn wabunge,jipange fanya maamuzi ya tija.
Nakubaliana na wewe 100% kwa 100% kuwa taifa letu hapa lilipofika, linamuhitaji rais wa type ya Magufuli, Mwigulu Nchemba ndie awe Waziri Mkuu wake, yaani Tanzania sasa inahitaji rais wa some kind of dictatorship ambapo Magufuli anafit sifa hizo, ila ukiangalia historia za uchaguzi wa CCM, siku zote they never pick the best but the worst!. Ile 2005 kati ya watatu waliofika mwisho, Dr. Salim, Prof. Mwandosya na Jakaya Kikwete, kwenye every aspect, JK ndio alikuwa the worst, tukianzia kwenye Brain powers, kumlinganisha JK, Dr. Salim na Prof. Mwandosya, JK ni kama kilaza, ila ndie aliyechaguliwa!. Tukija kwenye uadilifu personal, JK was the worst, lakini ndie aliyechaguliwa!. Unaweza kuniambia JK alichaguliwa kwa sifa zipi?!.

Sasa hiki ndicho kinachokwenda kutokea, CCM itampitisha mgombea ambae ni chaguo la watu, atakayewaletea CCM ushindi wa kishindo, kati ya watangaza nia wote, chaguo la watu ni moja tuu!, na ndilo litakalopitishwa!. Hizi kelele la ufisadi, rushwa, matumizi makubwa ya fedha etc, etc ni kelele tuu za chura kisimani, ndani ya CCM rushwa na ufisadi sio kikwazo bali ni miongoni mwa sifa za kuchaguliwa, kama unajua jinsi Kikwete alivyochaguliwa!.

Maadam sasa ngoma iko uwanjani, just wait and see!.

Pasco.
 
"Lindi mlituunga mkono pwani, sasa ni zamu yetu pwani kuwaunga mkono Lindi" by. Salima J.k. Ccm ya waswahili itadumu..!!
 
Membe na JK ni mtu na kaka yake ni watoto wa baba mmoja.Hawa wote walisoma shule za mission kwa majina ya kikristo na baada ya kumaliza jk akabadilisha majina na kurudia majina yake lakini membe hakufanya hvyo na kubaki na jina la kikristo asilete porojo tunajua ndo mana jk, ritz1 na mama yake wanamsupport sasa sijui kama akiwa raisi anaweza kuwashtaki endapo watabainika kuwa wamehujumu uchumi
 
Huu ukaskazini ndio unatufanya wakaskazini tuchangishane fedha kwa ajili ya Lowassa. Wewe Msengerema kuwa na adabu acha ubaguzi. Mbona nyie waswahili mmetutawala Mara 2.

Na wakavurunda vibaya mno hao wacheza viduku hawafai kuwa viongozi kazi yao kusasambua na mambo ya shughuli
 
Kamwe asilani mcheza viduku hawez kuwa rais tena labda rais wa body ya korosho
 
Back
Top Bottom