Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 21,854
- 27,025
Hapo kwenye red huwa panatatiza kidogo. Wanaliotia nia urais wenye mamvi ni Mwandosya, Ghalib Bilal, Lowassa. Lakini ukitaja ma-mvi/white hair ni mmoja tu! EL! Hawa wengine mvi zao zina kasoro gani? Au za EL ndo original? Predzaa!Heri ya Membe kuliko ma-mvi. Jamaa wa kaskazini ametumia, bado anatumia gharama kubwa kutafuta kuwa mpangaji magogoni,jumba namba moja nchini. Nini chanzo cha hizo pesa,nini lengo lake,atarudishaje hizo gharama. Kama CCM hawana mwingine zaidi yake, watakuwa wameshindwa asubuhi. Mr white hair hasafishiki