Membe: Kikwete siyo kaka yangu

Membe: Kikwete siyo kaka yangu

Amemkana kaka yake hiyo laana itamtafuna atamkana riz na salma mwisho hawatamuunga mkono na akikosa urais riz tunamkabidhi china kesi ianze upya
 
sisi tunaenda kushangaa hili fisadi lenye kujiamini kama shetani.Lowasa tunamjua ni mwizi sugu lakini bado anataka uraisi.El is very amazing mtu mwizi

Comment flan amaizing
 
Wadau katika stori za hapa na pale kuna mdau siku moja aligusia topic iliyoniacha njia panda sasa nmekuja kuileta hapa maana watu mpo deep sana humu tujue kama ina ukweli wowote au ni ya kupuuzwa

Mdau alifunguka ya kwamba jina halisi la Bernad Membe ni Bakari Membe ambaye ni muislamu kabla hajawa mkristi na kuwa hata ndugu zake wengi ni waislamu wa kabila la wamwera.

Mdau alizidi kufunguka baba yake halisi (biological father) ni Mzee Mrisho Kikwete ambaye alizaa na Cecilia John Membe ambapo kwa kabila la Wamwera huchukua jina la ukoo wa Mama na kulifanya ndio jina la ukoo wa mtoto. Wamwera ni kabila linalofuata matrilenial system ambapo Mama ndiyo mwenye dhamana kubwa na mtoto.

Pia mdau alifunguka Bernad Membe amelelewa na Baba wa kufikia aitwaye Kamilius Anthony ambaye anamtaja ndiye Baba yake mzazi.

Kama hali ni hii nikajiuliza kwahio Bernard Membe na Rais Jakaya Kikwete ni mtu na Kaka yake. Wameshare Baba mmoja ila Mama tofauti tofauti????

Kitu kingine cha ziada aligusia kwamba Nnape nnauye na waziri mstaafu Profesa Mark Mwandosya ni baba na mtoto, Hapa nlishawishika kwa kigezi cha sura zao tu maana kwakweli wamefanana sana ila kwavile

Je pana ukweli wa hivi vitu????
 
Kuna hii ishu niliambiwa kwamba jakaya kikwete na Benard Membe ni watoto wa baba moja ila Membe mama yake alienda kuolewa lindi hivyo Benard membe ikibidi abadilishe jina la ukoo.,

Pia katika mjadala huo kuna mdau aliibuka na kusema kwamba Nape Nnauyr na yeye baba yake ni Profesa Mark Mwandosya.

Tujuzane tafadhali..
Ngoja tuone!
 
Mod ondoa upupu huu kwenye grupu

Siasa za maji taka!

Ni sawa na mtu aje na habari kuwa Jiwe ni mhutu na si Mtanzania

Ujinga mtupu
 
Mod ondoa upupu huu kwenye grupu

Ni sawa na mtu aje na habari kuwa Jiwe ni mhutu na si Mtanzania

Ujinga mtupu
Mkuu hii maada ni swali la ndio au hapana pamoja na maelezo ya ku backup jibu, sio statement, nadhani ungesema tu hapana ingetosha na wengine nao watakaosema ndio watatoa evidence, Simple like that
 
Kuna hii ishu niliambiwa kwamba jakaya kikwete na Benard Membe ni watoto wa baba moja ila Membe mama yake alienda kuolewa lindi hivyo Benard membe ikibidi abadilishe jina la ukoo.,

Pia katika mjadala huo kuna mdau aliibuka na kusema kwamba Nape Nnauyr na yeye baba yake ni Profesa Mark Mwandosya.

Tujuzane tafadhali..
Bernard Kamilius Membe alizaliwa tarehe 9 Novemba, 1953, Rondo, Chiponda, katika Mkoa wa Lindi, akiwa ni mtoto wa pili kati wa watoto saba (7) waliozaliwa katika familia ya Mzee Kamillius Anthony Ntachile na Mama Cecilia John Membe. Kwa kabila, Bernard Membe ni Mmwera, na kama ilivyo desturi ya Wamwera, watoto hutumia jina la ukoo wa Mama. Hivyo watoto wote saba wa familia hii ya Mzee Kamillius wamekuwa wanatumia jina la upande wa mama yao, Cecilia, yaani Membe.
 
Kuna hii ishu niliambiwa kwamba jakaya kikwete na Benard Membe ni watoto wa baba moja ila Membe mama yake alienda kuolewa lindi hivyo Benard membe ikibidi abadilishe jina la ukoo.,

Pia katika mjadala huo kuna mdau aliibuka na kusema kwamba Nape Nnauyr na yeye baba yake ni Profesa Mark Mwandosya.

Tujuzane tafadhali..
Kama yanakusumbua kawashawishi na uwalipie wafanye vipimo vya DNA
 
Wadau katika stori za hapa na pale kuna mdau siku moja aligusia topic iliyoniacha njia panda sasa nmekuja kuileta hapa maana watu mpo deep sana humu tujue kama ina ukweli wowote au ni ya kupuuzwa

Mdau alifunguka ya kwamba jina halisi la Bernad Membe ni Bakari Membe ambaye ni muislamu kabla hajawa mkristi na kuwa hata ndugu zake wengi ni waislamu wa kabila la wamwera.

Mdau alizidi kufunguka baba yake halisi (biological father) ni Mzee Mrisho Kikwete ambaye alizaa na Cecilia John Membe ambapo kwa kabila la Wamwera huchukua jina la ukoo wa Mama na kulifanya ndio jina la ukoo wa mtoto. Wamwera ni kabila linalofuata matrilenial system ambapo Mama ndiyo mwenye dhamana kubwa na mtoto.

Pia mdau alifunguka Bernad Membe amelelewa na Baba wa kufikia aitwaye Kamilius Anthony ambaye anamtaja ndiye Baba yake mzazi.

Kama hali ni hii nikajiuliza kwahio Bernard Membe na Rais Jakaya Kikwete ni mtu na Kaka yake. Wameshare Baba mmoja ila Mama tofauti tofauti????

Kitu kingine cha ziada aligusia kwamba Nnape nnauye na waziri mstaafu Profesa Mark Mwandosya ni baba na mtoto, Hapa nlishawishika kwa kigezi cha sura zao tu maana kwakweli wamefanana sana ila kwavile

Je pana ukweli wa hivi vitu????
 
vilevile, watu wamechoka na upole, wanahitaji mtu mkali at least kama kagame fulani ili aichangamshe nchi, watu wamechoka wanahitaji mtu mwenye kujambishajambisha
Hivi huyu mkuu bado anayasimamia maneno yake haya?
 
Back
Top Bottom