britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,191
- 41,698
Membe anajisumbua tu
Halafu mpango ni kumtoa kwa kura,hapo ndipo watu hawataamini.Kwi! Kwi! Kwi!
Stupid..Siasa ni mchezo mchafu sana ,mara nyingi mwenye nguvu hua ni yule mwenye dola,especially nchi za kiafrika.
Ndio maana wale wajanja ambao hujua wamepora wakiwa kwenye madaraka muda ukiisha hukaa kimya kujilia vyao taratibu.
Sasa naona umechokoza mzinga wa nyuki kumbuka ulikua kwenye system unataka kupambana na system,ambayo inakujua kindakindaki ABC zako.kukumaliza ni jambo dogo sana.
1-Imetajwa dola million ishirini (20)za Gaddafi ,unatakiwa utoe maelezo ya kutosha.
2-kutamalaki kwa dawa za kulevya awamu yako.
3-utakatishaji fedha uliokithiri awmu yako.
4-ugonvi wa Tanzania na malawi/ Tanzania na Rwanda ukiwa waziri wa mambo ya nje uhusiano ulikua mbaya.
5-ulileta makampuni mengi ya kitapeli ambayo mengi yalikua hayalipi kodi,ikiwemo kuuza kipande cha ardhi Bagamoyo kwa wageni pia kuikabidhi gas ya mtwara na Lindi kwa mkataba wa kinyonyaji. hapa nakumbuka Simbachawene aliuleta huu mkataba bungeni kwa haraka,ni wabunge 60 tu waliopitisha ,wapinzani kina Lissu walisema serikali ina haraka gani?
,jiandae kupangua hoja ikiwa wewe ndio uliowaleta.
6-una makampuni na mahotel huko Lindi na mtwara ambayo inasemekana yaliongoza kwa ukwepaji kodi,jiandae kupambana na TRA,
Mengi yataibuka na usije shangaa ukapewa kesi ambayo utahangaika nayo sana,itakupa uchovu wa akili na mwili.
Kwakua bado una ndoto za kuwa rais wa nchi hii komaa,ila system huwezi ishinda hata siku moja,hili nawe unajua, na kwa vile wanadamu tumeumbwa na kiburi nakuachia wewe mwenyewe uchague,Lowassa aliliona hilo ,na mwisho wake hua ni stroke ,diabets au paralasing ukiwa bunkrupy kabisa.
HATA ALBASHIRI ALIKUWA AMEZUNGUKWA NA WAPUMBAVU FLANI WALOKUWA WAKIMWAMINISHA KUWA YEYE NI ALPHA NA OMEGA PIA WALIMSIFIA KWA KUDHIBITI WAPINZANI KWAMBA YEYE NI MWAMBA ULIOSHINDIKANA CHA AJABU BEI YA MKATE IMEFANYA ANYEE DEBE HUKO ALIKUWA AKIWASWEKA WAPINZANI WAKE NAKUKUMBUSHA TU NDUGU YANGU USINICHUKIE BECAUSE RULE OF KARMA IS ALWAYS BESIDES OFFENSORS.Ndivyo unavyodanganyana na Wapuuzi Wenzio mkiwa katika Vijiwe vyenu vya Gongo, Komoni na Wanzuki?
HATA GOLIATH ALIKUWA MBABE SANA LAKINI KILICHOMKUTA ALIKOSA HATA MUDA WA KUSIMULIA NA KWA KUWA YEYE ANAMTEGENEA mungu BASI NGOJA SISI TUMUOMBE MUNGU KISHA TUAONA KATI YA mungu NA MUNGU YUPI NI MKUUMagifuli mpaka 2025, huu ndo ukweli mchungu. Tumuombe mungu bunge letu tukufu lisiongeze ukomo wa rais kutawala, hivi ni jasiri gani atasimama kupingana na JPM tena kutokea ndani ya CCM?? Huyu JPM tumuache hivi hivi. Miaka michache rugemalira na seth walihonga hadi ikulu, chin ya magufuli wananyea ndoo keko..... jamaa ana maamuzi magumu mpaka waliomuweka wanamuogopa.
Muda ni mwalimu mzuri sana, Wacha tusubiri.
ALIHUDUMU KAMA KURUTA NA SIO KAMA CANAL KAMA UNA AKILI UTKUWA UMEELEWALowassa hakuhudumu kitengo?
Duh, mnajua kutisha wengine!Siasa ni mchezo mchafu sana ,mara nyingi mwenye nguvu hua ni yule mwenye dola,especially nchi za kiafrika.
Ndio maana wale wajanja ambao hujua wamepora wakiwa kwenye madaraka muda ukiisha hukaa kimya kujilia vyao taratibu.
Sasa naona umechokoza mzinga wa nyuki kumbuka ulikua kwenye system unataka kupambana na system,ambayo inakujua kindakindaki ABC zako.kukumaliza ni jambo dogo sana.
1-Imetajwa dola million ishirini (20)za Gaddafi ,unatakiwa utoe maelezo ya kutosha.
2-kutamalaki kwa dawa za kulevya awamu yako.
3-utakatishaji fedha uliokithiri awmu yako.
4-ugonvi wa Tanzania na malawi/ Tanzania na Rwanda ukiwa waziri wa mambo ya nje uhusiano ulikua mbaya.
5-ulileta makampuni mengi ya kitapeli ambayo mengi yalikua hayalipi kodi,ikiwemo kuuza kipande cha ardhi Bagamoyo kwa wageni pia kuikabidhi gas ya mtwara na Lindi kwa mkataba wa kinyonyaji. hapa nakumbuka Simbachawene aliuleta huu mkataba bungeni kwa haraka,ni wabunge 60 tu waliopitisha ,wapinzani kina Lissu walisema serikali ina haraka gani?
,jiandae kupangua hoja ikiwa wewe ndio uliowaleta.
6-una makampuni na mahotel huko Lindi na mtwara ambayo inasemekana yaliongoza kwa ukwepaji kodi,jiandae kupambana na TRA,
Mengi yataibuka na usije shangaa ukapewa kesi ambayo utahangaika nayo sana,itakupa uchovu wa akili na mwili.
Kwakua bado una ndoto za kuwa rais wa nchi hii komaa,ila system huwezi ishinda hata siku moja,hili nawe unajua, na kwa vile wanadamu tumeumbwa na kiburi nakuachia wewe mwenyewe uchague,Lowassa aliliona hilo ,na mwisho wake hua ni stroke ,diabets au paralasing ukiwa bunkrupy kabisa.
Kwahiyo na jiwe akitoka madarakani 2020 itabidi atueleze yeye ni raia halali wa wapi!!hatari sanaSiasa ni mchezo mchafu sana ,mara nyingi mwenye nguvu hua ni yule mwenye dola,especially nchi za kiafrika.
Ndio maana wale wajanja ambao hujua wamepora wakiwa kwenye madaraka muda ukiisha hukaa kimya kujilia vyao taratibu.
Sasa naona umechokoza mzinga wa nyuki kumbuka ulikua kwenye system unataka kupambana na system,ambayo inakujua kindakindaki ABC zako.kukumaliza ni jambo dogo sana.
1-Imetajwa dola million ishirini (20)za Gaddafi ,unatakiwa utoe maelezo ya kutosha.
2-kutamalaki kwa dawa za kulevya awamu yako.
3-utakatishaji fedha uliokithiri awmu yako.
4-ugonvi wa Tanzania na malawi/ Tanzania na Rwanda ukiwa waziri wa mambo ya nje uhusiano ulikua mbaya.
5-ulileta makampuni mengi ya kitapeli ambayo mengi yalikua hayalipi kodi,ikiwemo kuuza kipande cha ardhi Bagamoyo kwa wageni pia kuikabidhi gas ya mtwara na Lindi kwa mkataba wa kinyonyaji. hapa nakumbuka Simbachawene aliuleta huu mkataba bungeni kwa haraka,ni wabunge 60 tu waliopitisha ,wapinzani kina Lissu walisema serikali ina haraka gani?
,jiandae kupangua hoja ikiwa wewe ndio uliowaleta.
6-una makampuni na mahotel huko Lindi na mtwara ambayo inasemekana yaliongoza kwa ukwepaji kodi,jiandae kupambana na TRA,
Mengi yataibuka na usije shangaa ukapewa kesi ambayo utahangaika nayo sana,itakupa uchovu wa akili na mwili.
Kwakua bado una ndoto za kuwa rais wa nchi hii komaa,ila system huwezi ishinda hata siku moja,hili nawe unajua, na kwa vile wanadamu tumeumbwa na kiburi nakuachia wewe mwenyewe uchague,Lowassa aliliona hilo ,na mwisho wake hua ni stroke ,diabets au paralasing ukiwa bunkrupy kabisa.
Wanyarwanda nawakubali mkisema kuiteka nchi yoyote mnaweza sanaUmemaliza kila Kitu Mkuu na namuonea mno huruma kwani yajayo hayatokuwa yakufurahisha Kwake. Hicho Kipengele chako #4 ndiyo nimekipenda zaidi. Sijajua Membe amejiamini nini wakati Yeye ni Mtu wa ' System ' tena wa ' Senior Level ' kabisa leo hii anakuja kutaka Kutunishiana Misuli na wenye ' System ' hii mpya huku akijua fika ya kwamba ' almost 65% ' ya yale aliyokuwa akiyajua ya ' System ' sasa yamebadilika na hakuna ambacho anakijua sana sana ataishia tu kupewa ' Umbea ' mdogo mdogo na ambao hautokuwa na Tija / Mantiki yoyote Kwake. Amefanya Jaribio baya sana na ambalo asipoangalia litakuja Kumgharimu mno Siku si nyingi.
Si mumwache ajisumbuwe mkuu? Mbona nyie ndo mnasumbuka sana?😀Membe anajisumbua tu
Sure,Moja ya upumbavu wa wengi wetu ni kuamini kuwa kuna kitu kinaitwa "system mpya". Kwa wabobezi wa taaluma za usalama na ujasusi,hakuna kitu kinaitwa "system mpya". As long as ni sytem,basi kuna matundu,mashimo na viziba matundu/mashimo.full stop.
Membe kapiga kiberiti kichaka panya wote mmekurupuka ! kwa Taarifa yako Membe ndio aliyempa kazi ya kitengo Kapilimba , kapilimba aliingizwa tume na Kikwete ili kudivert kura 2015 , baadaye jiwe akapewa jina ampaishe kuwa DG , hii ni timu 1
sitaendelea kukujulisha usiyoyajua kwa sasa ila nitarudi baadaye ukipenda nifanye hivyo , kwa jiwe kumwangusha Membe kunahitaji ushawishi kwa wajumbe ( ambao ameisha upoteza ) , lakini si kwa njama duni za MATAGA mbumbumbu , jipangeni upya wenzenu wako kazini miaka 4 sasa
usije kusema hatukuambia , Chaos !
MKIMBIZI BWANA ! HIVI UNAMJUA VIZURI MBOBEZI AU UNAMSIKIA??Umemaliza kila Kitu Mkuu na namuonea mno huruma kwani yajayo hayatokuwa yakufurahisha Kwake. Hicho Kipengele chako #4 ndiyo nimekipenda zaidi. Sijajua Membe amejiamini nini wakati Yeye ni Mtu wa ' System ' tena wa ' Senior Level ' kabisa leo hii anakuja kutaka Kutunishiana Misuli na wenye ' System ' hii mpya huku akijua fika ya kwamba ' almost 65% ' ya yale aliyokuwa akiyajua ya ' System ' sasa yamebadilika na hakuna ambacho anakijua sana sana ataishia tu kupewa ' Umbea ' mdogo mdogo na ambao hautokuwa na Tija / Mantiki yoyote Kwake. Amefanya Jaribio baya sana na ambalo asipoangalia litakuja Kumgharimu mno Siku si nyingi.
Fala mama yako na baba yakoStupid..
Mbona jiwe ana makashfa kibao ya huko nyuma..??
Umechelewa kujikomba vyeo vimeisha..
Fala wewe.